jambo likitokea popote popote pale achilia mabali huko duniani, hata kwa jirani yako tu, kama jamii kunaweza kuibuka tofauti ya kimitazamo juu ya jambo hilo. Na kutofautiana ni jambo la kawaida sana. Tofauti ya kimtazamo inasaidia sana kama unakusudia kujifunza, kuchota maarifa, elimu, ufahamu na kuchukua tahadhari lisikupate na wewe kama lilivyotokea kwa wengine....
so,
binafsi sio ushabiki katika kinachotokea huko mashariki ya kati. Naona mitazamo tofauti tu. Ukifuatilia kwa makini kuna mambo muhimu sana utagundua na kujifunza kutoka pande mbili za mitazamo inayotolewa...
Kwa mtazamo wangu,
Baada ya mapigano kuhitimishwa ndani ya ghaza.
Mapigano mapya yataibuka kutoka nje ya ghaza dhidi ya watakao ikalia ghaza tangu sasa...
sasa mashambulizi yatatokea wapi au upande gani, hilo ni suala la muda tu, tuvute subra....