Wanajeshi wa Israel wagundua miundo mbinu zaidi ya kigaidi chini ya hospitali ya Shifa

View attachment 2818423

Hizi ndio nilizoona mimi. Japo sikatai hawawezi kurusha kutokea popote.
Pia kama una Iron dome alafu ulipue gorofa zima lenye familia zaidi ya hata 50 eti kisa kuna hamas mmoja anarusha karocket ka kienyeji sio utu pia.
Kumshambulia adui huku umejificha kwa raia ukitegemea adui asikulipue kisa umetumia jengo km hospital au shule yenye watoto wanasoma halafu kibaya zaidi ulienda kwao ukaua na kuchukua mateka na bado unao.
 
View attachment 2818423

Hizi ndio nilizoona mimi. Japo sikatai hawawezi kurusha kutokea popote.
Pia kama una Iron dome alafu ulipue gorofa zima lenye familia zaidi ya hata 50 eti kisa kuna hamas mmoja anarusha karocket ka kienyeji sio utu pia.

Israel anajibu mapigo, mwanajeshi hupiga kitu kinachoitwa military target, maana kwamba ukishambulia kwa kombora, ujue hapo lilipotokea tayari ni military target, haijalishi nani yuko humo.
Wewe umeitizama video niliyokuonyesha, sio kombora moja, ila makombora mengi yanachomoza mtawalia kutoka kwenye jengo halafu unategemea hilo jengo liachwe?
 
Pia hii ni propaganda.
RPG launcher launcher ndio irushe kombora hadi Tel aviv.

Bro naona kama tunachanganya mada.

Tatizo hutumii muda kudadavua taarifa, unafyatua keyboard na kujibu hoja bila kukaa uelewe kwanza, wapi nimetaja Tel Aviv....
Huyo hapo alishambulia wanajeshi waliokua wanajongea hospitali, na hakuwa mwenyewe, waliuawa watano hapo.
 
Achana na propaganda za kitoto hizo, kama waandishi wa habari hawana uwezo wa kuhoji ili jambo kwa uwazi hizo ni propaganda tu
Wakati wa vita siyo kila kitu kinakuwa na uwazi, ni uamuzi wa anayedhibiti uwanja wa vita nini kuseme nini kisisemwe, nini kionwe na nini kisionwe na huwa ni kwa maslahi mapana ya matarajio ya makamanda. Wanaweza kuwa wako sahihi au hapana.wakati wa vita siyo kama wakati wa tamasha kwamba kila mtu anaruhusiwa kuona kila kitu au kupewa taarifa yeyote aitakayo.
 
Punguzeni ushabiki huko wanakopigana hamjulikani wala hamthaminiwi. Hata ukienda mataifa ya wenzetu hao wanaopigana wanapokelewa kwa heshima kuliko wewe mmatumbi unaejioendekeza kisa udini unakisumbua iwe dini ya mudi au dininya yesu mtundikwa wote hamna maana shobo tu zinawasumbua
jambo likitokea popote popote pale achilia mabali huko duniani, hata kwa jirani yako tu, kama jamii kunaweza kuibuka tofauti ya kimitazamo juu ya jambo hilo. Na kutofautiana ni jambo la kawaida sana. Tofauti ya kimtazamo inasaidia sana kama unakusudia kujifunza, kuchota maarifa, elimu, ufahamu na kuchukua tahadhari lisikupate na wewe kama lilivyotokea kwa wengine....

so,
binafsi sio ushabiki katika kinachotokea huko mashariki ya kati. Naona mitazamo tofauti tu. Ukifuatilia kwa makini kuna mambo muhimu sana utagundua na kujifunza kutoka pande mbili za mitazamo inayotolewa...

Kwa mtazamo wangu,
Baada ya mapigano kuhitimishwa ndani ya ghaza.
Mapigano mapya yataibuka kutoka nje ya ghaza dhidi ya watakao ikalia ghaza tangu sasa...

sasa mashambulizi yatatokea wapi au upande gani, hilo ni suala la muda tu, tuvute subra....
 
Nyuzi za kongo zipo ngapi humu? Nyuzi za sudani zipo ngapi humu? Unakuta mtu anaanzisha live kinachoendelea huko gaza wakati hapo kongo hajui chochote ndio maana nasema ni ushabiki na kawaida yetu wabongo tunaamka na vitu hata tusivyovijua kisa tunashabikia kitu fulani. Kujifunza kupo ila hizi shobo zimezidi
 
Wakati wa vita siyo kila kitu kinakuwa na uwazi, ni uamuzi wa anayedhibiti uwanja wa vita nini kuseme nini kisisemwe, nini kionwe na nini kisionwe na huwa ni kwa maslahi mapana ya matarajio ya makamanda. Wanaweza kuwa wako sahihi au hapana.wakati wa vita siyo kama wakati wa tamasha kwamba kila mtu anaruhusiwa kuona kila kitu au kupewa taarifa yeyote aitakayo.
Kama umekubali inaweza kuwa sahihi au hapana , maana yake hiyo taarifa ina mashaka mpaka mwengine athibitishe OVER
 
Vita hizi zimejaa uongo mwingi.
Nilianza kuwapuuza walipokuwa wanalipua magorofa eti wanawalipua hamasi, walipomaliza wakageuka wakasema hamas wamo kwenye mahandaki.

Hakuna gaidi akae gorofani wakatu anajua atakuws target.
Ghorofa nyingi ni either outlets au inlets za underground tunnels. IDF Wako sahihi na hawawezi ku exclose any information. Naamini vita itakapoisha tutagundua mengi. Let them go ahead.
 
Achana na propaganda za kitoto hizo, kama waandishi wa habari hawana uwezo wa kuhoji ili jambo kwa uwazi hizo ni propaganda tu
Watu toka majuzi walijua wazi Israel imefukuza watu Hospital madaktari na wagonjwa ili wapate kuchimba turnel na wamechukua maiti pale hospital wakawavishe magwanda ya Hamasi waseme hao ni askari wa Hamasi

Aibu walio ipata dunia mpaa wamechanganyikiwa wanatafuta kila njia kudanganya ulimwengu kweli Al shifaa Hospital ni Central command 😄
 
Wana shika vibunduki vitatu wanasema wamekuta silaha
 
View attachment 2818423

Hizi ndio nilizoona mimi. Japo sikatai hawawezi kurusha kutokea popote.
Pia kama una Iron dome alafu ulipue gorofa zima lenye familia zaidi ya hata 50 eti kisa kuna hamas mmoja anarusha karocket ka kienyeji sio utu pia.
Hakuna kosa kubwa vitani kama kumpuuzia adui mmoja, lzm itumike gharama yoyote kumuangamiza gaidi
 
Watu toka majuzi walijua wazi Israel imefukuza watu Hospital madaktari na wagonjwa ili wapate kuchimba turnel na wamechukua maiti pale hospital wakawavishe magwanda ya Hamasi waseme hao ni askari wa Hamasi

Aibu walio ipata dunia mpaa wamechanganyikiwa wanatafuta kila njia kudanganya ulimwengu kweli Al shifaa Hospital ni Central command 😄
Ndgu zako ktk Imani wanateketea wewe umekomaa na Aibu! Aibu Aibu!
We unadhani wayahud Wana mshipa wa aibu? Kama unategemea wa Israel waone aibu basi umechemka
 
Shughuli inaendelea na hakuna kitakachosazwa....

IDF Spokesman Rear Adm. Daniel Hagari says troops found additional underground infrastructure at Shifa Hospital today, and are still searching the complex for information on the hostages.,

“We continue to deepen our operational activity at Shifa Hospital,” Hagari says in an evening press conference. “Today, we found more underground infrastructure, and to collect every bit of information on the hostages.”

“Our troops are operating in the area, investigating the tunnel shafts found in the hospital,” he adds.
Umeumbuka tena na uwongo wako[emoji1787][emoji1787] unajua huwa sisomag wala kufungua post zako kabisa maana 99.9% ya story zako zime-base kwenye lies, propaganda, hatred na fake news

Umeumbuka sasa sijui utaweka wapi sura yako[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1313][emoji1313][emoji1313]

[emoji1630] Al-Mayadeen quoting israeli media:

“Certainly, the alleged tunnel presented by the Israeli “army” is not a Hamas tunnel, but a sewage tank or a channel for power generators.
 
Umenichekesha sana, eti husomangi posts zangu, yaani kwamba hilo linikoseshe usingizi???
 
Shughuli inaendelea na hakuna kitakachosazwa....

IDF Spokesman Rear Adm. Daniel Hagari says troops found additional underground infrastructure at Shifa Hospital today, and are still searching the complex for information on the hostages.,

“We continue to deepen our operational activity at Shifa Hospital,” Hagari says in an evening press conference. “Today, we found more underground infrastructure, and to collect every bit of information on the hostages.”

“Our troops are operating in the area, investigating the tunnel shafts found in the hospital,” he adds.
Hakuna hioya hapo.

Mahandaki ya Ghaza yaba kilomita zaidi ya 500 yanaxung u ka chinink1a chini na yana tabaka zaidi tatu.

Hapo wanadanganywa wajinga tu.

Siku mbili tatu zijazo, kabla ya krismasi, mtasikia Wamefikia maafikiano.

Wataazisha uongo wowote tu ili wajiondowe huko.

Unafikiri Wamarekani watataka vijana wao waendelee kufa huko wakati wa krismasi? Maawe.
 
Back
Top Bottom