Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaukumbi,
Wakili aliyewasilisha kesi hiyo kwa niaba ya taasisi hiyo, Maira Pinheiro, alinukuliwa na vyombo vya habari vya Brazil akisema kwa vile Brazili imetia saini Mkataba wa Roma, inawajibika kuhakikisha kuwa uhalifu uliotolewa katika sheria hiyo (uhalifu wa kivita, uhalifu dhidi ya ubinadamu na mauaji ya halaiki) huchunguzwa na kuadhibiwa.
Sasa hivi hawa wanajeshi Magaidi wataendelea kukamatwa kila watakapo kuwa wanasafiri kwa Ugaidi wanaofanya huko Gaza.
Source: CNN https://search.app/3RMGSRBB1KUKwVPHA
View: https://x.com/silentlysirs/status/1875859180474761308?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Nimekuwekea tena video siyo mapicha picha uliyoyaweka wewe yawezekana picha zako ni za tukio jingine tofauti na hili tunalozungumza sasa. Wananchi wa Brazil hawaungi mkono magaidi wa Hezbollah kama huamini Ngoja nikuache uamini ujinga wako!!Aya nani muongo wenye akili watajua zwazwa awajifichi !!!!! Maandamano ya chama cha siasa kilichoondoshwa Madalakani cha mzee JAIR BOIS0NARO chama icho ndio kiliamisha EMBASSY ya Brazil kutoka Telaviv kwenda Jerusalem so unaweza sema uyo rais alikuwa anajipendekeza kwa Israel lkn wananchi awakuwa upande wa israel ndio mana nilisema izi flag za israel nikama tano tu ktk maandamano ya wafuasi wa Rais Jair Boisonaro ambao walikuwa wakipinga kuondoshwa kwa Rias wao yani uyo kibaraka wa Israel lkn sio sana sijui aliaidiwa nini adi kuamisha ule ubalozi wao. Kwasasa kaangia Madalakani mzee LULA DA SILVER ambae alaka sana kaamisha Ubalozi kutoka JERUSALEM kurudi Telaviv lkn akutosheka Rais Lula da silver akavunja kabisa Romantic kati Brazil na Israel kwasasa awana kabisa Balozi uko Israel na wamejiunga na kesi dhidi ya Israel,, natuma picha kudhibitisha yale maandamano sio ya kuunga mkono Israel kama anavodai uyo zwazwa na mwenzie akili mnazo Mtachekecha ingekuwa ni kuunga mkono Israel flag za Israel ndio zingetamalaki lkn aya yalikuwa ya chama cha siasa kilichoondoshwa Madalakani na LULA DA SILVA. PICHA, zinakuja
Hizi picha za Michongo zitakusaidia nini? Hata kauli ya Lula da Silva haiwezi kubadirisha msimamo wa wanaume!! Hakuna kitakachozuia magaidi wa Hamas Kupigwa kama Mbwa-koko!!!
Ni mtu mjinga tu haoni mauaji ya kimbari yanayofanywa na waisrael feki kwa wapalestina.Gaza hapajatokea mauaji ya kimbari (genocide), hata ICC ilipotoa amri kumchunguza netanyahu walishindwa kupata ushahidi wa genocide, walipata ushahidi wa war crimes. ulichoandika hapa ni uchafu tu, haujui maana ya genocide.
Mkuu, wewe ni mjinga sana wa elimu. just google "genocide convention of 1948", isome uone maana ya genocide ni nini. kwa makosa ya aina hiyo, kitu ambacho israel anaweza kuwa amefanya ni crimes against humanity (mauaji ya halaiki), au wa crimes (makosa ya kivita). kwenye hayo makosa ya vitani yapo manne,Ni mtu mjinga tu haoni mauaji ya kimbari yanayofanywa na waisrael feki kwa wapalestina.
Inaonekana wazi wewe hujui hata maana ya mauaji ya kimbari huko Gaza umekaririshwa na waarabu wanaotaka Sympathy kwa watu!! Kwa kawaida hakuna mauaji ya kimbari huko Gaza ni tatizo lako tu la uelewa hujui maana ya mauaji ya kimbari!!!!Ni mtu mjinga tu haoni mauaji ya kimbari yanayofanywa na waisrael feki kwa wapalestina.
Nishamalizana na mizuzu kama nyie hoja yangu ujawexa jibu picha unazoweka ndio izo waisrael wamedandia shuhuri ya watu na viBendera vyao kufanya propaganda kuwa lile tukio lilikuwa la kuunga mkono Israel nani jinga angetoka ndani!!!! Taifa la mchongo linaishi kimichongo chongo tuHizi picha za Michongo zitakusaidia nini? Hata kauli ya Lula da Silva haiwezi kubadirisha msimamo wa wanaume!! Hakuna kitakachozuia magaidi wa Hamas Kupigwa kama Mbwa-koko!!!
Wanaukumbi,
Wakili aliyewasilisha kesi hiyo kwa niaba ya taasisi hiyo, Maira Pinheiro, alinukuliwa na vyombo vya habari vya Brazil akisema kwa vile Brazili imetia saini Mkataba wa Roma, inawajibika kuhakikisha kuwa uhalifu uliotolewa katika sheria hiyo (uhalifu wa kivita, uhalifu dhidi ya ubinadamu na mauaji ya halaiki) huchunguzwa na kuadhibiwa.
Sasa hivi hawa wanajeshi Magaidi wataendelea kukamatwa kila watakapo kuwa wanasafiri kwa Ugaidi wanaofanya huko Gaza.
Source: CNN https://search.app/3RMGSRBB1KUKwVPHA
View: https://x.com/silentlysirs/status/1875859180474761308?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
😂😂😂 Mjibu tuu shekh acha ukorofiiYahudi jeusi limechafukwa 😀
Kama ulikuwa hujui hii Palestina unayoisema wewe ilianzishwa na Yaser Arafat Mwaka 1967 huko nyuma halikuwepo taifa lililokuwa linaitwa Palestina. Israel ilikuwepo zaidi ya miaka 3,000 iliyopita!! Enzi za akina Daud na Suleman. Kwa taarifa yako hiyo nchi haikuwepo na haitakuwepo!!Nishamalizana na mizuzu kama nyie hoja yangu ujawexa jibu picha unazoweka ndio izo waisrael wamedandia shuhuri ya watu na viBendera vyao kufanya propaganda kuwa lile tukio lilikuwa la kuunga mkono Israel nani jinga angetoka ndani!!!! Taifa la mchongo linaishi kimichongo chongo tu