Wanajeshi wa Israel wanakabiliwa na hatari kubwa ya kukamatwa nje ya nchi baada kufanya mauaji ya kimbari huko Gaza

Wanajeshi wa Israel wanakabiliwa na hatari kubwa ya kukamatwa nje ya nchi baada kufanya mauaji ya kimbari huko Gaza

8f8eec0_5742357-01-06.jpg
 
Umeona apo sasa apo utasema maandamano ya kuunga mkono Israel!!!!!!!!
 
Watu wapo kwenye mambo yao ya chama lkn kuna Israel wachache wakaona wabebe flag yao lkn awa Mazwazwa wanadai maandamano ya kuunga mkono Israel mbona atuoni sasa wakiandamana na Balozi wao kafukuzwa apo Brazil na Lula da silver mijitu miongo miongo sijui Wamesomea wapi kudanganya watu. Eti nyani ilijaa barabara kuunga mkono mashoga!!! Uzwazwa huu mnao nyinyi tu lkn watu wanaojitambua awataki upumbavu sijui taifa teule.
 
Wanaukumbi,

Wakili aliyewasilisha kesi hiyo kwa niaba ya taasisi hiyo, Maira Pinheiro, alinukuliwa na vyombo vya habari vya Brazil akisema kwa vile Brazili imetia saini Mkataba wa Roma, inawajibika kuhakikisha kuwa uhalifu uliotolewa katika sheria hiyo (uhalifu wa kivita, uhalifu dhidi ya ubinadamu na mauaji ya halaiki) huchunguzwa na kuadhibiwa.

Sasa hivi hawa wanajeshi Magaidi wataendelea kukamatwa kila watakapo kuwa wanasafiri kwa Ugaidi wanaofanya huko Gaza.

Source: CNN https://search.app/3RMGSRBB1KUKwVPHA

View: https://x.com/silentlysirs/status/1875859180474761308?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Gaza hapajatokea mauaji ya kimbari (genocide), hata ICC ilipotoa amri kumchunguza netanyahu walishindwa kupata ushahidi wa genocide, walipata ushahidi wa war crimes. ulichoandika hapa ni uchafu tu, haujui maana ya genocide.
 
Aya nani muongo wenye akili watajua zwazwa awajifichi !!!!! Maandamano ya chama cha siasa kilichoondoshwa Madalakani cha mzee JAIR BOIS0NARO chama icho ndio kiliamisha EMBASSY ya Brazil kutoka Telaviv kwenda Jerusalem so unaweza sema uyo rais alikuwa anajipendekeza kwa Israel lkn wananchi awakuwa upande wa israel ndio mana nilisema izi flag za israel nikama tano tu ktk maandamano ya wafuasi wa Rais Jair Boisonaro ambao walikuwa wakipinga kuondoshwa kwa Rias wao yani uyo kibaraka wa Israel lkn sio sana sijui aliaidiwa nini adi kuamisha ule ubalozi wao. Kwasasa kaangia Madalakani mzee LULA DA SILVER ambae alaka sana kaamisha Ubalozi kutoka JERUSALEM kurudi Telaviv lkn akutosheka Rais Lula da silver akavunja kabisa Romantic kati Brazil na Israel kwasasa awana kabisa Balozi uko Israel na wamejiunga na kesi dhidi ya Israel,, natuma picha kudhibitisha yale maandamano sio ya kuunga mkono Israel kama anavodai uyo zwazwa na mwenzie akili mnazo Mtachekecha ingekuwa ni kuunga mkono Israel flag za Israel ndio zingetamalaki lkn aya yalikuwa ya chama cha siasa kilichoondoshwa Madalakani na LULA DA SILVA. PICHA, zinakuja
Nimekuwekea tena video siyo mapicha picha uliyoyaweka wewe yawezekana picha zako ni za tukio jingine tofauti na hili tunalozungumza sasa. Wananchi wa Brazil hawaungi mkono magaidi wa Hezbollah kama huamini Ngoja nikuache uamini ujinga wako!!
 
Attachments

  • v12044gd0000cnee32vog65is40p1kpg.mp4
    19.3 MB
  • v09044g40000clfe64fog65r11p4caig.mp4
    3.8 MB
Gaza hapajatokea mauaji ya kimbari (genocide), hata ICC ilipotoa amri kumchunguza netanyahu walishindwa kupata ushahidi wa genocide, walipata ushahidi wa war crimes. ulichoandika hapa ni uchafu tu, haujui maana ya genocide.
Ni mtu mjinga tu haoni mauaji ya kimbari yanayofanywa na waisrael feki kwa wapalestina.
 
Ni mtu mjinga tu haoni mauaji ya kimbari yanayofanywa na waisrael feki kwa wapalestina.
Mkuu, wewe ni mjinga sana wa elimu. just google "genocide convention of 1948", isome uone maana ya genocide ni nini. kwa makosa ya aina hiyo, kitu ambacho israel anaweza kuwa amefanya ni crimes against humanity (mauaji ya halaiki), au wa crimes (makosa ya kivita). kwenye hayo makosa ya vitani yapo manne,
1. genocide (mauaji ya kimbari)
2. crimes against humanity (mauaji ya halaiki)
3. war crimes (makosa ya kivita)
4. crime of aggression (nchi kuvamia nchi nyingine bila sababu).

katika makosa hayo yote manne, Mahakama ya kimataifa ilipoangalia viini vya kosa, imeona Genocide (mauaji ya kimbari) hayajafanyika, kwa yote hayo unayoyaona Gaza hapajatokea mauaji ya kimbari, ila wakaona elements za makosa zilizoojenga substantial case ni "wa crimes" nayo sio kwa ajili ya mashambulizi, bali kwa sababu israel alitumia njia ya kunyima chakula kuingia Gaza. na Kiongozi wa icc ni mwarabu toka Misri. binafs ninachoamini, pale Israel anaweza kuwa amefanya makosa ya crimes against humanity kwa kupiga eneo lenye raia na hiyo war crimes.

sasa wewe ukiona kuna bomu limedondoshwa kwenye makazi ya watu unasema hiyo ni genocide, hapana, definition ya hilo kosa sio. kupiga maeneo ya raia kama anavyofanay israel ni crimes against humanity, kwa kiswahili ni MAUAJI YA HALAIKI (sio ya kimbari), tofautisha hayo makosa mawili. usichanganye mauaji ya kimbari (genocide) na mauaji ya halaiki kama yale ya gaza (crimes against humanity). na, nina uhakika, ICC hawajataja kosa la crimes against humanity kwa sababu waliona israel ana sababu za justification, magaidi wenu wengi walikuwa wanajichanganya na raia, ndio maana wamesita kidogo kutaja hilo kosa.

haya mambo huwa hayataki hasira, kama huna elimu na akili unatakiwa kusubiri wenye uelewa wakuelimishe na ukielimishwa unatakiwa ukubali kuelewa. kosa la genocide ni gumu sana kumeet vigezo vyake. kobaz wengi mnasikiliza al jazeera wanaposema kuna genocide gaza bila kujua lengo lao, lengo lao sio kwamba hawaelewi kuwa pale hakuna genocide ila kuna hayo makosa mengine, wanachotafuta ni kukoleza chumvi ili ulimwengu uone kama israel inafanya genocide. ni kampeni ya al jazeera kutangaza kwamba pale kuna genocide, ila hakuna elements za makosa ya genocide.
 
Ni mtu mjinga tu haoni mauaji ya kimbari yanayofanywa na waisrael feki kwa wapalestina.
Inaonekana wazi wewe hujui hata maana ya mauaji ya kimbari huko Gaza umekaririshwa na waarabu wanaotaka Sympathy kwa watu!! Kwa kawaida hakuna mauaji ya kimbari huko Gaza ni tatizo lako tu la uelewa hujui maana ya mauaji ya kimbari!!!!
 
Hizi picha za Michongo zitakusaidia nini? Hata kauli ya Lula da Silva haiwezi kubadirisha msimamo wa wanaume!! Hakuna kitakachozuia magaidi wa Hamas Kupigwa kama Mbwa-koko!!!
Nishamalizana na mizuzu kama nyie hoja yangu ujawexa jibu picha unazoweka ndio izo waisrael wamedandia shuhuri ya watu na viBendera vyao kufanya propaganda kuwa lile tukio lilikuwa la kuunga mkono Israel nani jinga angetoka ndani!!!! Taifa la mchongo linaishi kimichongo chongo tu
 
Propaganda zenu kwasasa azina nafasi tutawaumbua tu.
 
Wanaukumbi,

Wakili aliyewasilisha kesi hiyo kwa niaba ya taasisi hiyo, Maira Pinheiro, alinukuliwa na vyombo vya habari vya Brazil akisema kwa vile Brazili imetia saini Mkataba wa Roma, inawajibika kuhakikisha kuwa uhalifu uliotolewa katika sheria hiyo (uhalifu wa kivita, uhalifu dhidi ya ubinadamu na mauaji ya halaiki) huchunguzwa na kuadhibiwa.

Sasa hivi hawa wanajeshi Magaidi wataendelea kukamatwa kila watakapo kuwa wanasafiri kwa Ugaidi wanaofanya huko Gaza.

Source: CNN https://search.app/3RMGSRBB1KUKwVPHA

View: https://x.com/silentlysirs/status/1875859180474761308?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Walikuwa wanaona fahari kujiselfy
 
Nishamalizana na mizuzu kama nyie hoja yangu ujawexa jibu picha unazoweka ndio izo waisrael wamedandia shuhuri ya watu na viBendera vyao kufanya propaganda kuwa lile tukio lilikuwa la kuunga mkono Israel nani jinga angetoka ndani!!!! Taifa la mchongo linaishi kimichongo chongo tu
Kama ulikuwa hujui hii Palestina unayoisema wewe ilianzishwa na Yaser Arafat Mwaka 1967 huko nyuma halikuwepo taifa lililokuwa linaitwa Palestina. Israel ilikuwepo zaidi ya miaka 3,000 iliyopita!! Enzi za akina Daud na Suleman. Kwa taarifa yako hiyo nchi haikuwepo na haitakuwepo!!
 
Back
Top Bottom