Mbona unapuyanga!?
Umesema unazungumzia Tanzania,mbona unaenda nchi za nje!??
Una uhakika wavaa kobazi masikini!?
*Saudi Arabia.
*Oman.
*Indonesia.
*Malaysia.
*Brunei Daarusalaam.
*Qatar.
*Kuwait.
*UAE/Dubai.
*Bahrain.
*Turkiye.
Hizi nchi za kimasikini!???
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Wagunduzi wengi ni wapagani sio wakristo usitudanganye bro.
Unajua mchango wa sayansi wa Uturuki na waajemi duniani!??
Hiyo Algebra unayotamba nayo hivi unajua kama ni ya Kobazi!?
Vifaa vya upasuaji hususan vya uchanaji hivi unajua kama ni vya kobazi!?
Unapozungumzia ugaidi basi hakuna gaidi kama USA, tena wacha nikutajie ugaidi wao;
*USA imekua ikifanya majaribio ya biological na chemical weapons Marshall islands,na ikiwatumia wakaazi wa hivyo visiwa kama lab rats huku ikiwapa vijidola viduchu.Je huu ni ubinadamu!?
*USA anaongoza kuvamia nchi za watu na kuingilia sovereignty zao,nikitaja za waarabu utasema nawatetea waarabu nakutajia za wagalatia wenzenu,VIETNAM,CUBA,VENEZUELA,HAITI.Hayo mataifa yote USA yamemfanya nini!?
*USA anahusika na ufadhili wa blood minerals DR Congo na nchi baadhi za Afrika magharibi.
*USA inahusika na kufadhili MAKUNDI ya kigaidi tofauti,Taliban ilifadhiliwa na USA kuivunja USSR.
ISIS ilifadhiliwa na USA kumuangusha Bashar Al Assad.
Al Qaeda walifadhiliwa na USA kupigana na Houthi Yemen ili Mansour abaki.
Aya nani gaidi hapo!??
Pasi na kusahau uhalifu wa kivita aliofanya mataifa mbali mbali ikiwemo Iraq.
Kamsome Julian Assange mzungu pure alirekodi Kila WAR CRIMINALS alizofanya USA Iraq.
Shida yenu wagalatia wa Tanzania mnachukulia kila kitu udini pasi na kutizama ukweli na uhalisia.
Huyo USA mnayemkumbatia ndio anawalazimisha mkubali watoto wenu wasagane na wafirane wanaume kwa wanaume kwa kivuli cha misaada ya kimataifa.
Wanawaanzishia hadi mashirika ya kupenyeza hizo agenda.
Wanawaletea hadi mavyakula ya GMO ili kutimiza azma zao.
Bro why can't you wake up!??
Mbona udini unawapofusha kiasi hicho aiseeee!?