imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Shehe punguza kunywa Kahawa chungu ukiyazidisha yanalevyaWazayuni wanajuta kuingia Ghaza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shehe punguza kunywa Kahawa chungu ukiyazidisha yanalevyaWazayuni wanajuta kuingia Ghaza
Tumeambiwa tusome na kutafuta elimu ,/unasema vip ni elimu ya dini tuh wakati zote ni elimu ?Ndiyo maana wavaa kobazi hata elimu dunia hawaitaki eti mudi kawaambia elimu ahera ndiyo nzuri wakati wako dunian. Huwa napata wakati mgumu sana kuamini kuwa Assad ni mvaa kobazi, maana yuko tofauti kabisa na the rest. Eti mtapewa mabikra 72 pindi mkifa 😂😂😂😂😂😂😂. Alafu mnaamin pamoja na mito ya pombe na maziwa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kobazi mjitafakari kwa kweli maana chanzo cha matatizo dunian ni nyie
Bila kuyumba yumba au kuleta kashfa kwa pande yoyote, wavaa kobazi na wakristo wapi wako vizuri kuhusu hii elimu ya kisayansi dhidi ya ile elimu dhahania(elimu ahera)?Tumeambiwa tusome na kutafuta elimu ,/unasema vip ni elimu ya dini tuh wakati zote ni elimu ?
Sikiliza vizuri Silaha zinazpingia Gazza zinapitia kwenye tunnels na zingine wanatengeneza wenyewe kwa kutumia Construction pipes Vietnam silaha zilikuwa zinapitia Ho chi Minh (uchochoro mkubwa unaoingia hadi kwenye Nchi ya Laos) huo uchochoro umegubikwa na Misitu mizito Silaha zilikuwa zikiingia usiku na mchana.Nimekujibu kwa mfano uliotokea Vietnam ukisema kule kulikuwa na washilika kwani Hamas yupo pekeyake
Shida kujenga hojaSikiliza vizuri Silaha zinazpingia Gazza zinapitia kwenye tunnels na zingine wanatengeneza wenyewe kwa kutumia Construction pipes Vietnam silaha zilikuwa zinapitia Ho chi Minh (uchochoro mkubwa unaoingia hadi kwenye Nchi ya Laos) huo uchochoro umegubikwa na Misitu mizito Silaha zilikuwa zikiingia usiku na mchana.
Gaza kwasasa hakuingii hata Bolti moja usifananishe kabisa Gaza na Vietnam.
Mgaidi wa Hamas walistockpile Silaha sana sana za Vita ya Mwaka na nusu au na zaidi lakini nikuambie ukweli hawatashinda hii Vita.ingekuwa kweli madai yako tungeona Hamas sasa wanatumia visu mawe lkn vita ipo vilevile
Kaka ushindi wa mezani sio kwa mwarabu ukimpiga leo! jua akitulia anakuja na plan B na kusalimisha mateka sio kwa faida ya Hamas sababu kuu mbili moja Adi leo Israel aijawai kukubali kuwa wakipewa mateka wao vita itaisha ingekuwa ndio shida yao iyo tu sikunyingi kungepatikana suruisho lkn wao wanataka vita lengo kuu kuwaamisha wakazi wote waende Misri na wale West Bank wanataka wawaamishie Jordan. Kwaiyo mateka ni chambo tu wanajua tunajua. Je Hamas wafate akili yako wawatoe mateka itakuwa kosa kubwa!! Mana Israe kwasasa anapiga Gaza uku ukiofia raia wao sasa wawe akuna uko Gaza si watalima kila kichuguu wasawazishe. Hamas wanajua ilo kwasasa Jukum la vita liko kwa Hezbullah ukisikia kutema bungo sababu ni wale wajuba mana wanaiyunguza Israel kila kona. Wanazima motoMgaidi wa Hamas walistockpile Silaha sana sana za Vita ya Mwaka na nusu au na zaidi lakini nikuambie ukweli hawatashinda hii Vita.
Warudishe Mateka waweke Silaha chini.
Ukisema hivyo wanaotakiwa kusifika ni wapagani ndio wako vizuri katika masuala ya sayansi na elimu ya secular.Bila kuyumba yumba au kuleta kashfa kwa pande yoyote, wavaa kobazi na wakristo wapi wako vizuri kuhusu hii elimu ya kisayansi dhidi ya ile elimu dhahania(elimu ahera)?
Waarabu hawaaminiki, leo watasaini Amani kesho wanaunda Vikundi vya Kigaidi 2006 Israel iliondoka Gaza lakini hatimayake ndio hiyo Magaid ya Hamas yakaziba Ombwe.Hamas sababu kuu mbili moja Adi leo Israel aijawai kukubali kuwa wakipewa mateka wao vita itaisha ingekuwa ndio shida yao iyo tu sikunyingi kungepatikana suruisho lkn wao wanataka vita lengo kuu kuwaamisha wakazi wote waende Misri na wale West Bank
Pinga kwa hojaShehe punguza kunywa Kahawa chungu ukiyazidisha yanalevya
Hoja inapokuwa Zaifu lazima nikukumbushe.Pinga kwa hoja
Hakuingii silaha eenh sawa itajulikana tu mbona tutafika tuuuSikiliza vizuri Silaha zinazpingia Gazza zinapitia kwenye tunnels na zingine wanatengeneza wenyewe kwa kutumia Construction pipes Vietnam silaha zilikuwa zinapitia Ho chi Minh (uchochoro mkubwa unaoingia hadi kwenye Nchi ya Laos) huo uchochoro umegubikwa na Misitu mizito Silaha zilikuwa zikiingia usiku na mchana.
Gaza kwasasa hakuingii hata Bolti moja usifananishe kabisa Gaza na Vietnam.
Wawarudishe mateka gani haacwhi gaidi hata mmoja idf wakawakomboe kama wanawezaMgaidi wa Hamas walistockpile Silaha sana sana za Vita ya Mwaka na nusu au na zaidi lakini nikuambie ukweli hawatashinda hii Vita.
Warudishe Mateka waweke Silaha chini.
Hakuingii Silaha labda bado wanatumia Stockpile yao walioikusanya ila nikukumbushe tu kuwa hawatashinda hii Vita.Hakuingii silaha eenh sawa itajulikana tu mbona tutafika tuuu
Wazayuni wanachinjwa tu huko nakukumbusha piaHoja inapokuwa Zaifu lazima nikukumbushe.
Stock wazayuni si walisema wameziharibu zote au waliwadanganyaHakuingii Silaha labda bado wanatumia Stockpile yao walioikusanya ila nikukumbushe tu kuwa hawatashinda hii Vita.
Warudishe Mateka halafu wasarende na walivunje Grupu hilo la Magaidi la Hamas.Wawarudishe mateka gani haacwhi gaidi hata mmoja idf wakawakomboe kama wanaweza
Zitakuwa hazijaharibiwa zote.Stock wazayuni si walisema wameziharibu zote au waliwadanganya