Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Sinwar hakuwa kwenye tunnelMatunnels mengi yamefikiwa hujaona hata lile alilokuwemo Sinwar mwanzo lilifikiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sinwar hakuwa kwenye tunnelMatunnels mengi yamefikiwa hujaona hata lile alilokuwemo Sinwar mwanzo lilifikiwa
Hivi kwenye hii Vita ni nani anayetema bungo?! 44000+ au 1200+?Ni suala la muda tu kabla ya zayuni kutema bungo
Pointi yangu ni kwamba awesome au asiwemo lakini Tunnel lilifikiwa na Sinwar kwasasa ni Maiti.Sinwar hakuwa kwenye tunnel
Wakristo na wagalatia na wanaojiita wapagani wasipo zinduka duniani wataenda zindukia makaburini mbaya zaidi watakuwa wameishachelewa ila ukweli ni kwamba adui wa uislam waislam ukristo na wakristo ni Marekani Uingereza na shosti zake kadhaa sababu hao wauaji linapokuja suala la maslahi yao wao wanakuua tu hata kama uwe msalaba wa mbao Venezuela 🇻🇪 Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo na Cuba 🇨🇺 ni mifano michache kati ya mengiHii yote ni kukaririshwa na kutokuruhusu akili ifunguke nje ya boksi.
Vurugu zote hizi zinazoendelea duniani utasikia USA kahusika.
Ila still watakwambia kobazi ndio chanzo.
Tuwaulize watujibu ,
*Venezuela ni kobazi?
*Cuba ni kobazi?
*Zimbabwe ni kobazi?
*DR Congo ni kobazi?
*Vietnam ilikua kobazi?
*Russia ni kobazi!?
Kote huko unamsikia USA amehusika.
Sasa unajiuliza gaidi ni nani haswaa!?
Na point yangu ni kwamba Sinwar hakua kwenye tunnel ingawa alifyekwaPointi yangu ni kwamba awesome au asiwemo lakini Tunnel lilifikiwa na Sinwar kwasasa ni Maiti.
Ingekua kufa sana ndio kutema bungo tusingeona wazayuni wakilazimishwa kuingia jeshiniHivi kwenye hii Vita ni nani anayetema bungo?! 44000+ au 1200+?
Na Tunnel alilokuwemo lilishatekwa Magaidi wa Hamas wanaenda kuishiwa na Silaha muda si mrefu.Na point yangu ni kwamba Sinwar hakua kwenye tunnel ingawa alifyekwa
Endelea kungojea hamas kuishiwa na silaha kijanaNa Tunnel alilokuwemo lilishatekwa Magaidi wa Hamas wanaenda kuishiwa na Silaha muda si mrefu.
Nyau ana mbusu Ayatollah Khomen anasema nakuomba sana Mheshimiwa usinishambulie
View: https://youtube.com/shorts/TwySCv1Tyt8?si=n3kCTGIvyu_IDT0X
Tukirudi kwenye mada Israel hakuna sehemu kashinda sio Gaza sio Lebanon sio Yemen sio Iran.
Huko Russia anambembeleza Putin amzuie Assad asipeleke silaha kutoka Iran kwa njia ya Syria 😄
Hawana akili.Wakristo na wagalatia na wanaojiita wapagani wasipo zinduka duniani wataenda zindukia makaburini mbaya zaidi watakuwa wameishachelewa ila ukweli ni kwamba adui wa uislam waislam ukristo na wakristo ni Marekani Uingereza na shosti zake kadhaa sababu hao wauaji linapokuja suala la maslahi yao wao wanakuua tu hata kama uwe msalaba wa mbao Venezuela 🇻🇪 Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo na Cuba 🇨🇺 ni mifano michache kati ya mengi
Hehehe hawana akili kweli nadhani kuwaambia hawana akili sio tusi bali kuwapa sifa yaoHawana akili.
Kuna muda mimi nawatukana sio kwamba mimi ni mtusi hapana.
Mimi sio mtusi ila kuna muda nawatukana makusudi kwa ujinga wao kichwani.
Mkuu videos za Asange kuhusu ukatili Wa USA Iraq nazipata wapi na mm nizione.Mbona unapuyanga!?
Umesema unazungumzia Tanzania,mbona unaenda nchi za nje!??
Una uhakika wavaa kobazi masikini!?
*Saudi Arabia.
*Oman.
*Indonesia.
*Malaysia.
*Brunei Daarusalaam.
*Qatar.
*Kuwait.
*UAE/Dubai.
*Bahrain.
*Turkiye.
Hizi nchi za kimasikini!???
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Wagunduzi wengi ni wapagani sio wakristo usitudanganye bro.
Unajua mchango wa sayansi wa Uturuki na waajemi duniani!??
Hiyo Algebra unayotamba nayo hivi unajua kama ni ya Kobazi!?
Vifaa vya upasuaji hususan vya uchanaji hivi unajua kama ni vya kobazi!?
Unapozungumzia ugaidi basi hakuna gaidi kama USA, tena wacha nikutajie ugaidi wao;
*USA imekua ikifanya majaribio ya biological na chemical weapons Marshall islands,na ikiwatumia wakaazi wa hivyo visiwa kama lab rats huku ikiwapa vijidola viduchu.Je huu ni ubinadamu!?
*USA anaongoza kuvamia nchi za watu na kuingilia sovereignty zao,nikitaja za waarabu utasema nawatetea waarabu nakutajia za wagalatia wenzenu,VIETNAM,CUBA,VENEZUELA,HAITI.Hayo mataifa yote USA yamemfanya nini!?
*USA anahusika na ufadhili wa blood minerals DR Congo na nchi baadhi za Afrika magharibi.
*USA inahusika na kufadhili MAKUNDI ya kigaidi tofauti,Taliban ilifadhiliwa na USA kuivunja USSR.
ISIS ilifadhiliwa na USA kumuangusha Bashar Al Assad.
Al Qaeda walifadhiliwa na USA kupigana na Houthi Yemen ili Mansour abaki.
Aya nani gaidi hapo!??
Pasi na kusahau uhalifu wa kivita aliofanya mataifa mbali mbali ikiwemo Iraq.
Kamsome Julian Assange mzungu pure alirekodi Kila WAR CRIMINALS alizofanya USA Iraq.
Shida yenu wagalatia wa Tanzania mnachukulia kila kitu udini pasi na kutizama ukweli na uhalisia.
Huyo USA mnayemkumbatia ndio anawalazimisha mkubali watoto wenu wasagane na wafirane wanaume kwa wanaume kwa kivuli cha misaada ya kimataifa.
Wanawaanzishia hadi mashirika ya kupenyeza hizo agenda.
Wanawaletea hadi mavyakula ya GMO ili kutimiza azma zao.
Bro why can't you wake up!??
Mbona udini unawapofusha kiasi hicho aiseeee!?
Daah nyingi walizipiga pin maana walimshutumu Assange Kwa security breach na espionage kama sijakosea.Mkuu videos za Asange kuhusu ukatili Wa USA Iraq nazipata wapi na mm nizione.
NdiyoUna takwimu ?
Asante sana mkuu kwa kuchukua muda wako na kuandika haya, lakini mkuu je unakataa kuwa wavaa kobazi siyo tatizo duniani kuliko hao USA? Imagine dunia bila USA na wavaa kobazi ndiyo super power. Tuishie hapa mkuuMbona unapuyanga!?
Umesema unazungumzia Tanzania,mbona unaenda nchi za nje!??
Una uhakika wavaa kobazi masikini!?
*Saudi Arabia.
*Oman.
*Indonesia.
*Malaysia.
*Brunei Daarusalaam.
*Qatar.
*Kuwait.
*UAE/Dubai.
*Bahrain.
*Turkiye.
Hizi nchi za kimasikini!???
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Wagunduzi wengi ni wapagani sio wakristo usitudanganye bro.
Unajua mchango wa sayansi wa Uturuki na waajemi duniani!??
Hiyo Algebra unayotamba nayo hivi unajua kama ni ya Kobazi!?
Vifaa vya upasuaji hususan vya uchanaji hivi unajua kama ni vya kobazi!?
Unapozungumzia ugaidi basi hakuna gaidi kama USA, tena wacha nikutajie ugaidi wao;
*USA imekua ikifanya majaribio ya biological na chemical weapons Marshall islands,na ikiwatumia wakaazi wa hivyo visiwa kama lab rats huku ikiwapa vijidola viduchu.Je huu ni ubinadamu!?
*USA anaongoza kuvamia nchi za watu na kuingilia sovereignty zao,nikitaja za waarabu utasema nawatetea waarabu nakutajia za wagalatia wenzenu,VIETNAM,CUBA,VENEZUELA,HAITI.Hayo mataifa yote USA yamemfanya nini!?
*USA anahusika na ufadhili wa blood minerals DR Congo na nchi baadhi za Afrika magharibi.
*USA inahusika na kufadhili MAKUNDI ya kigaidi tofauti,Taliban ilifadhiliwa na USA kuivunja USSR.
ISIS ilifadhiliwa na USA kumuangusha Bashar Al Assad.
Al Qaeda walifadhiliwa na USA kupigana na Houthi Yemen ili Mansour abaki.
Aya nani gaidi hapo!??
Pasi na kusahau uhalifu wa kivita aliofanya mataifa mbali mbali ikiwemo Iraq.
Kamsome Julian Assange mzungu pure alirekodi Kila WAR CRIMINALS alizofanya USA Iraq.
Shida yenu wagalatia wa Tanzania mnachukulia kila kitu udini pasi na kutizama ukweli na uhalisia.
Huyo USA mnayemkumbatia ndio anawalazimisha mkubali watoto wenu wasagane na wafirane wanaume kwa wanaume kwa kivuli cha misaada ya kimataifa.
Wanawaanzishia hadi mashirika ya kupenyeza hizo agenda.
Wanawaletea hadi mavyakula ya GMO ili kutimiza azma zao.
Bro why can't you wake up!??
Mbona udini unawapofusha kiasi hicho aiseeee!?
Wanaukumbi.
⚡️Habari za asubuhi, wote hawa wamuliwa huko Kaskazini mwa Gaza.
🔻Sajini Orr Katz, umri wa miaka 20.
🔻Sgt. Nave Yair Asulin, umri wa miaka 21.
🔻Sajini Gary Lalhruaikima Zolat, umri wa miaka 21.
🔻Sajini Ofir Eliyahu, umri wa miaka 20.
View: https://x.com/suppressednws/status/1856194763201929559?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Huwezi badili kile unachoamini kichwani,umeshajiwekea akilini wavaa kobazi waovu hilo ni gumu kubadilishwa.Asante sana mkuu kwa kuchukua muda wako na kuandika haya, lakini mkuu je unakataa kuwa wavaa kobazi siyo tatizo duniani kuliko hao USA? Imagine dunia bila USA na wavaa kobazi ndiyo super power. Tuishie hapa mkuu
Sawa mkuu tuishie hapaHuwezi badili kile unachoamini kichwani,umeshajiwekea akilini wavaa kobazi waovu hilo ni gumu kubadilishwa.
Aya tuishie hapo.
Ulitaka Aishi mpaka Leo !? You must be kiddingYuko wapi leo hii??😆😆
Kuna mtu aliwahi kusema Nethanyahu Ndiye anaye fund hizo vita behind the scenes ili aendelee kubaki madarakaniWalikwenda kuua wakauwa ngoma droo. Netanyahu anazidi kunona wajinga wanateketea