Wanajeshi wa Israel wanazidi kuuliwa huko Gaza

Wakati huo huo, ikiwa kama Hamas wemejenga ngome zao chini ya ardhi pale Kariakoo, na chini ya Hospitali ya Muhimbili, wewe ukiwa ni IDF ungefanyaje?
 
Ukwel unachelewa kusambaa wacha tuupe mda ukwel tutaujua nani anashinda Israel or hamas or hezbollah

Ata watetezi wa ukrain walikua wanasema ivyo ivyo ila mwisho wa sku πŸ‡·πŸ‡Ί anazidi kuchukua majimbo

Ukwel unachelewa
Washabiki wa Ukraine walikua ama hawana akili ila hii mbungi ya mido ist mzayuni hatoboi ni suala la muda tu mpaka sasa israhell hajui anafanya ama anataka nini ila tuupe muda nafasi yake
 
Wawarudishe wapi jeshi lenye nguvu liende likakomboe magaidi wao waliotekwa
 
Wakati huo huo, ikiwa kama Hamas wemejenga ngome zao chini ya ardhi pale Kariakoo, na chini ya Hospitali ya Muhimbili, wewe ukiwa ni IDF ungefanyaje?
Sasa kama hizo ngome zilojengwa huko Kariakoo na muhimbili kuripuliwa mbona bado vita inaendelea na magaidi ya kizayuni kufyekwa
 
Sasa kama hizo ngome zilojengwa huko Kariakoo na muhimbili kuripuliwa mbona bado vita inaendelea na magaidi ya kizayuni kufyekwa
Uzuri wa vita sio sherehe za birthiday
Sasa kama hizo ngome zilojengwa huko Kariakoo na muhimbili kuripuliwa mbona bado vita inaendelea na magaidi ya kizayuni kufyekwa
Uzuri pia waarabu Wenye akili wanajua mziki wa Israel wanaishia kutoa matamshi ya kulaani tu, hawaingizi pua, Leo wanakuna Riyadh
 
Uzuri wa vita sio sherehe za birthiday

Uzuri pia waarabu Wenye akili wanajua mziki wa Israel wanaishia kutoa matamshi ya kulaani tu, hawaingizi pua, Leo wanakuna Riyadh
Hamas ilisema tokea mwanzo ipo na Muumba tu inachokitaka kutoka kwa wapenda haqqi amani na waislam ni dua tu wao watajua wanamalizanaje na adui mzayuni wao wakae vikao wakimaliza mzayuni anapelekewa moto tu Ghaza
 
Kisasi chao ni kuporomosha magorofa na kua watoto tu.
Hizballah wakiendelea kujizatiti mambo lazima yawe magum kwa isreli. Ni sawa kisema naenda kulinda mahindi yasiibiwe halafu unarudi na kusema mahindi na maharege vyote tumenyanganywa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…