Wanajeshi wa Israel wanazidi kuuliwa huko Gaza

Mungekua hamubarikiwi Mungekua na akili za kuvukia walau barabara au za kuvalia viatu
 
Kwa hiyo Nyerere hakuwahi kabisa kuwatetea wapalestina?
 
Alishawahi !napingana na wewe ulichoandika eti ndiyo muanzilishi wa kuwatetea Wapestina.
Hata kama sio muanzilishi, kama amewatetea na kupinga uonezi wa wayahudi, anakuwa amejipambanua kama mpenda haki, kwa nini tusimsifie?
 
Hata kama sio muanzilishi, kama amewatetea na kupinga uonezi wa wayahudi, anakuwa amejipambanua kama mpenda haki, kwa nini tusimsifie?
Endelea kumsifia hamna aliyekukataza dunia nzima inawatetea Wapestina ukindoa Marekani na baadhi ya nchi za Ulaya.
 
Endelea kumsifia hamna aliyekukataza dunia nzima inawatetea Wapestina ukindoa Marekani na baadhi ya nchi za Ulaya.
Kwa nini wewe na baadhi ya watukufu waislamu hamtaki kumsifia kwa hilo?
 
BREAKING: Hezbollah yalenga wizara ya ulinzi ya Israel kwa mara ya pili leo.

"Wapiganaji wa Upinzani wa Kiislamu walilenga, kwa mara ya pili, msingi wa "HaKirya" (makao makuu ya Wizara ya Vita na Wafanyikazi Mkuu wa "israeli", Chumba cha Usimamizi wa Vita, na Mamlaka ya Udhibiti na Usimamizi wa Kijeshi wa Jeshi la Anga) Kilomita 120 kutoka mpaka wa Lebanon na Palestina, katika mji wa "Tel Aviv", na makombora ya balestiki ya Qader-2, na kugonga malengo yao kwa usahihi"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…