Wakishatoka raia na mateka wao nadhani watafanya hilo jamboNa wanasema kuna mahandaki mengine ya hapo gaza yametokea hadi nchi jirani. kama ingezewekana Israel angepiga bomu moja tu ya kuigeuza gaza chini kuwe juu na juu kuwe chini ili kuepusha usumbufu.
Kwa sababu haiwezekani kamji kazima kote kajae mashimo tu.
Tulia mpewe dozi. Si mlichokoza nyukiShirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema kwamba hakuna ushahidi wowote unaothibitisha madai ya jeshi la Israel kwamba makao makuu ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) yako chini ya Hospitali ya Al-Shifa.
Taarifa hiyo ya Human Rights Watch imetolewa huku ndege za kivita za Israel zikiendelea kulenga hospitali kadhaa katika Ukanda wa Gaza.
Shirika hilo la kutetea haki za binadamu lenye makao yake makuu New York nchini Marekani, limetahadharisha kuwa, kuendelea kwa mashambulizi karibu na Hospitali ya Al-Shifa "kunazua wasiwasi mkubwa kuhusu usalama wa maelfu ya raia waliokimbilia hifadhi kwenye hospitali hiyo."
Human Rights Watch imeongeza kuwa, viongozi wa dunia wanapaswa kuitaka Israel iwalinde raia na miundombinu ya kiraia na sio kufanya mashambulizi kinyume cha sheria.
Taarifa ya Shirika hilo la kimataifa la kutetea haki za binadamu imetolewa kukadhibisha madai ya jeshi la Israel ambalo liliituhumu Hamas kwamba imeweka makao yake makuu ya uongozi chini ya Hospitali ya Al Shifa, ambayo ndiyo hospitali kubwa zaidi katika Ukanda wa Gaza.
Harakati ya Hamas ilikadhibisha shutuma hizo za Israel na kusema kwamba, ni kisingizio kinachotumiwa na utawala huo haramu kuhalalisha "mauaji mapya ya kimbari."
Ofisi ya vyombo vya habari vya serikali katika Ukanda wa Gaza pia ilisema kuwa walikuwa tayari kupokea kamati ya Umoja wa Mataifa ili kukagua hali ya hospitali hiyo.
Huwezi kupatana na magaidiVita ni mbaya sanaa.......warudi mezani wapatane....Hasara kote kote....Israel hawatakubali lazima waharibu network ya mahandaki yao
Tupia nyoka wengiiiiiii 😂😂😂😂😂Mule ndani inawezekana kweli Kuna mtandao wa maandaki wa Hamas maana raia wa kawaida pamoja na staffs wa hospital hawataki kabisa kuondoka pamoja na kuonyea zaid ya mara 10.
Kuna jamaa alitoa wazo humo kwenye mahandaki kwann IDF wasitupie panya. Nge, tandu, taka za choo nk?
Mwendo wa kisago tu shekhKafiri wewe hasa muongo.
Wamekutana na kichaa NetanyahuNawaambiwa hamas mmeyakanyaga mwaka huu, na kila taifa linawaona nyie wachokozi tu
Iran alichora mstari, ushavukwa kabakia kelele tuMi nipo upande wa Israel kmmke PALESTINE wailaumu HAMAS na nyie waislam mihemko kama inawauma nendeni mkajiunge huko mchezee
We ngedere wa Allah mbona unatusi watuKafiri wewe hasa muongo.
Unaonea na mtu panapokuwa stalemate, kwa sasa Israel mzani uko juuVita ni mbaya sanaa.......warudi mezani wapatane....Hasara kote kote....Israel hawatakubali lazima waharibu network ya mahandaki yao
Asilimia 90 ya mashoga ni IjumaaPropoganda za kishoga mashoga wenzako ndiyo watakuamini onyesha hilo handaki hapo hospital waliweka tenki la maji wanasema handaki hili wapate sababh ya kuuwa raia lakini dunia imeishafahamu ushenzi wao.
Onyesha walichopata hapo Hospital
Netanyahu kawa mbogo kwa sasa anapiga pande zote, bado tu hajapata usawa wa kumpiga YemenNdio maana waliomba cease fire ya siku 5 Ili wakimbie.
Hapo pafukizwe gasi ya kutosha ya sumu, kisha pafunikwe na kusiribwa.
Wauliwe hao magaidiHali za hospitali bado ni tete huku Macron atoa wito Israel kuacha kuwaua wanawake na watoto wachanga Gaza
Akili matoppe tupuHamna handaki zuga tu hiyo