Wanajeshi wa Israeli wazingira hospitali yenye handaki ambalo ndio makao makuu ya HAMAS

Wanajeshi wa Israeli wazingira hospitali yenye handaki ambalo ndio makao makuu ya HAMAS

Israel wao wanawatwanga HAMAS, hawawapigi waislam wala wakristo. Kwanini mnalumbana hapa kana kwamba anayepigwa ni  muislam? Tunawajua waislam wakweli hawawezi kuwa magaidi. Na muislam wa kweli anapambana na ugaidi. Acheni udini, Israel anamtwanga Hamas hamtwangi Muslims
Wewe utakua hujui kitu, hakuna muislamu wa kweli ambae sio gaidi. Hao unaowaona wanajilipua huko na kuchinja watu kama kuku ndo uislamu wenyewe sasa
 
Na wanasema kuna mahandaki mengine ya hapo gaza yametokea hadi nchi jirani. kama ingezewekana Israel angepiga bomu moja tu ya kuigeuza gaza chini kuwe juu na juu kuwe chini ili kuepusha usumbufu.
Kwa sababu haiwezekani kamji kazima kote kajae mashimo tu.
Ahahahaaaaa...! Waigeuze chini kiwe juu na juu kuwe chini...!
 
Si tatizo kuingia tatizo watatoka hapo warudi walipotokea salama, Hamasi kawavuta taratibu sa ngojea uone kama watabaki Gaza
 
Kama kawaida HAMAS wamekua wakitumia maeneo ya raia kama eneo la kurushia makombora, sasa kuna hili handaki lipo chini ya hospitali ambayo inahudumia wananchi, Israel wameizingira na muda wowote kutatokea maafa hapo, sijui pataishaje maana hilo handaki ndio command post ya HAMAS.
========================

Israeli Defense Forces have reportedly surrounded Gaza City’s biggest hospital, which they say sits on top of an underground Hamas command center.

Heavy fighting near the al-Shifa Hospital took place Friday and Israeli forces said it had killed dozens of militants and destroyed some of Hamas’ notorious terror tunnels where they harbour leaders and stash weapons, according to CBS.
One missile landed in the courtyard of the hospital causing chaos as the Israeli forces fought deeper into Gaza Friday.

The IDF later told CNN it concluded the missle was “a misfired projectile launched by terrorist organizations inside the Gaza Strip.”

The Israeli army has repeatedly accused Hamas militants of using hospitals in the area as cover and claimed Hamas commanders hide in tunnels underneath them.

They have said they want to take control of the hospitals so they are not longer under Hamas adminstration.

IDF spokesperson Lt. Col. Richard Hecht clarified Friday: “The IDF does not fire on hospitals. We are aware of the sensitivity of the hospitals … [But] are aware that Hamas are operating within the hospitals … We are not dropping bombs on Al-Shifa,” CBS reported.
Nataman hili handaki lingekuwa chini ya msikiti Al quasa
 
Wewe utakua hujui kitu, hakuna muislamu wa kweli ambae sio gaidi. Hao unaowaona wanajilipua huko na kuchinja watu kama kuku ndo uislamu wenyewe sasa
Kwa hiyo unataka kusema kwa inch ya Tanzania ulipo wewe kuna magaidi? kundi la magaidi anaweza kujiunga mtu yeyote. HAMAS sio kundi la wafia dini bali ni kundi la kigaidi. Tofautisha makundi yanayotetea dini yao kwa mauwaji na kundi linaloamua kuua mtu wa imani yoyote.
 
Kafiri na gaidi bora gaidi. Maana gaidi ni jina lilotungwa na kafiri ili kuihadaa dunia. lkn kafiri ni jina lilotolewa na Muumba
Muumba ambaye anawahusu nyie mnayempigania tu na sisi tusiyemtambua hatuhusu kwa sababu hatuhitaji wale mabikra 72 na Haineken inayotiririka kwenye mito.
 
Basi hilo jina halina maana, sasa mbona huo uislam wenyewe ni wa hovyo zaidi??.
Mkipata matatizo huko Uarabuni mnatimkia Ulaya kwa makafir.

Europe’s Growing Muslim Population​

Muslims are projected to increase as a share of Europe’s population – even with no future migration​

 
Back
Top Bottom