Wanajeshi wa Israeli wazingira hospitali yenye handaki ambalo ndio makao makuu ya HAMAS

Hamna handaki zuga tu hiyo
Huyu mara zote adithi zake ni zuga tu - tatizo lake hana weledi wa kutofautisha baina ya propaganda za CNN na Serikali ya Natenyahu dhidi ya Wapalestina yeye anatumika kama vuvuzela tu wa kuwakandia Wapalestina.

Hvi ukisoma maelezo yake yana mantiki yoyote kweli?
 

Kwahiyo hapo gaza inapiganiwa dini?
 
Kwani kafiri ni nani?
Neno kafir (Kafiri) hutumika kumaanisha mtu anayeukanusha Uislamu, anayeonesha kutoshukuru neema, anakuwa mbali, anakwepa na kufunika. Kama neno, linamaanisha mtu asiye na Imani.
 

Hali za hospitali bado ni tete huku Macron atoa wito Israel kuacha kuwaua wanawake na watoto wachanga Gaza​

But why Hamas wameweka Kambi yake ndani ya hospital?hawajui Kama Kuna wagonjwa? Kuna watoto? Kuna kinamama Kuna watu wapo ICU na ventilator machine?
Hamas ni zaidi ya mashetan kwa sababu ata nyoka Ana upendo kwa mwanae
 
Neno kafir (Kafiri) hutumika kumaanisha mtu anayeukanusha Uislamu, anayeonesha kutoshukuru neema, anakuwa mbali, anakwepa na kufunika. Kama neno, linamaanisha mtu asiye na Imani.

Kila jamii ina imani yake na mungu wake,sasa uislamu hauna tofauti na jamii na imani nyingine,

Ndio mana kurwani inafahamu kuna wakristo na wayahudi sasa kwanini unasema hao hawana dini?
 
Wanatumia phosphorus
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…