Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Jeshi la polisi ni imara sana.Hawa wajomba wamegeuzwa vituko awamu hii sijapata kuona.Zile mbwembwe zao za kupasua tofali na kukalia misumari kumbe wachumba tu kwa polisi
Kweli kabisaJeshi la polisi ni imara sana.
SawaUna hoja usikilizwe
Unabisha?😂😂😂😂😂
Yaani Mafwele anawachakaza atakavyo na cha kumfanya hawanaHawa wajomba wamegeuzwa vituko awamu hii sijapata kuona.Zile mbwembwe zao za kupasua tofali na kukalia misumari kumbe wachumba tu kwa polisi
Asee hii JW chini ya CDF Mkunda hadi huruma.Wamekalishwa juani na hiyo mibegi yao hadi huruma.Kama maroboti yani unakuta kasimama barabarani na mbegi wake utadhani ndege kajenga kiota sasa mjini.Polisi wamejua kuwafilimba awamu hii hadi hurumaYaani Mafwele anawachakaza atakavyo na cha kumfanya hawana
Naunga mkono hoja!Waokote takataka zote na kupeleka dampo, wasafishe mitaro yote kando ya barabara, wasafishe vyoo vya stendi, sokoni na kwenye maeneo yote ya umma.
Mshahara ni huo huo wanaolipwa unatosha, kwakuwa, nchi inalindwa na jeshi la polisi, wao watusaidie kwenye usafi na yeyote atakaye kaidi akabidhiwe kwa polisi.
Siyo inaunga mkono hoja jomba, na wapitie kwangu wafagie zizi la ngombe!Naunga mkono hoja!
Naunga mkono hoja 100%Unabisha?