Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,929
- 33,764
Dah watu mna maneno kuwa wanakalia misumari.Hawa wajomba wamegeuzwa vituko awamu hii sijapata kuona.Zile mbwembwe zao za kupasua tofali na kukalia misumari kumbe wachumba tu kwa polisi