Wanajeshi wa JWTZ wapewe kazi za kufanya usafi wa mitaa

Ama kweli ukali au ujinga wa mbwa hutegemea na mmiliki wake.

Mwamunyange na Mwakibolwa hawakuonekana kuzoa takataka mitaani na huko Kongo walituheshimisha sana hadi tukawa tunajiona wababe wa Afrika nyuma kidogo tu ya Misiri lakini siku hizi M23 wanatutia dole. Mafelwe naye anatutia dole.
 
Naunga mkono hoja wanakula chakula cha bure tu makambini kazi kuonyeshana ubabe baa unapowachukulia demu wao.
 
Leo nimekuta JWTZ 4 wakifanya usafi kuzunguka nyumba ya DC, 2 wanafyeka nyasi, na 2 wanareki na kuzoa takataka. Nikajisemea tu; Nhi! Ahaa!
 
WhatsApp Image 2025-12-08 at 7.10.24 AM.jpeg
 
Ajenda ya kwanza ikifeli unaanzisha nyingine upate faraja. Ulinzi imara ndiyo msingi wa maendeleo ya nchi yetu.
 
Waokote takataka zote na kupeleka dampo, wasafishe mitaro yote kando ya barabara, wasafishe vyoo vya stendi, sokoni na kwenye maeneo yote ya umma.

Mshahara ni huo huo wanaolipwa unatosha, kwakuwa, nchi inalindwa na jeshi la polisi, wao watusaidie kwenye usafi na yeyote atakaye kaidi akabidhiwe kwa polisi.
Gentleman,
huo ni wajibu muhimu sana wa kizalenda ambao wanajeshe hao hushirikiana na wananchi na kuufanya mara kwa mara maeneo mbalimbali nchini.

wanajeshi wetu wazalendo,
wako tayari kutekeleza wajibu wa kizalendo kama vile kufanya usafi na kulinda amani kwa maslahi mapana ya wTanzania wote.

vuta subra,
na kwa wakati muafaka utawaona mtaani kwako wakifanya usafi ikiwa ni pamoja na kuwasafisha magaidi, mamluki na maharamia yanayojaribu kuleta machafuko nchini.
Watasafishwa vizuri sana wakileta kimbelembele kuchafua amani ya TANZANIA :NoGodNo:
 
Kazi ya kupambana na magaidi waachiwe polisi, jeshi la wananchi wao wapige usafi.
 
jukumu la kusafisha magaidi, maharamia na mamluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibu watakaothubutu kuchafua amani ya taifa letu ni la majeshi yetu yote ya ulinzi na usalama.

watawasafisha bila huruma, bila kuona haya wala aibu kutoka kwa wapiga mayowe wa pande yoyote ile ya dunia

tell your friends openly about this:NoGodNo:
 
Waokote takataka zote na kupeleka dampo, wasafishe mitaro yote kando ya barabara, wasafishe vyoo vya stendi, sokoni na kwenye maeneo yote ya umma.

Mshahara ni huo huo wanaolipwa unatosha, kwakuwa, nchi inalindwa na jeshi la polisi, wao watusaidie kwenye usafi na yeyote atakaye kaidi akabidhiwe kwa polisi.
Wasimamiwe na jeshi la polisi na kmkm toka Pemba.
 
Waokote takataka zote na kupeleka dampo, wasafishe mitaro yote kando ya barabara, wasafishe vyoo vya stendi, sokoni na kwenye maeneo yote ya umma.

Mshahara ni huo huo wanaolipwa unatosha, kwakuwa, nchi inalindwa na jeshi la polisi, wao watusaidie kwenye usafi na yeyote atakaye kaidi akabidhiwe kwa polisi.
Malipo bei gani kwa saa Ponjoro?
 
Yamejidharirisha yenyewe, mnaenda nchi zingine kutetea raia wasiuwawe, lakini kwenu mnashindwa na ka kikosi uchwara. Yaacheni hayo majamaa. Tena ufagie kwenye vyoo vya umma
 
Gentleman,
huo ni wajibu muhimu sana wa kizalenda ambao wanajeshe hao hushirikiana na wananchi na kuufanya mara kwa mara maeneo mbalimbali nchini.

wanajeshi wetu wazalendo,
wako tayari kutekeleza wajibu wa kizalendo kama vile kufanya usafi na kulinda amani kwa maslahi mapana ya wTanzania wote.

vuta subra,
na kwa wakati muafaka utawaona mtaani kwako wakifanya usafi ikiwa ni pamoja na kuwasafisha magaidi, mamluki na maharamia yanayojaribu kuleta machafuko nchini.
Watasafishwa vizuri sana wakileta kimbelembele kuchafua amani ya TANZANIA :NoGodNo:
Vipi huyu mnyarwanda mafwele na yeye watamfagia au ndio maana mbwa wa boss nae boss
 
Back
Top Bottom