MWANDENDEULE
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 5,292
- 10,948
Kuna mtu anakaliaga misumari mle?Hawa wajomba wamegeuzwa vituko awamu hii sijapata kuona.Zile mbwembwe zao za kupasua tofali na kukalia misumari kumbe wachumba tu kwa polisi
Sherehe za uhuru mwaka huu hazikuwepo ungeona maonyesho ya makomando wa JW.Kuna mtu anakaliaga misumari mle?
Gentleman,Waokote takataka zote na kupeleka dampo, wasafishe mitaro yote kando ya barabara, wasafishe vyoo vya stendi, sokoni na kwenye maeneo yote ya umma.
Mshahara ni huo huo wanaolipwa unatosha, kwakuwa, nchi inalindwa na jeshi la polisi, wao watusaidie kwenye usafi na yeyote atakaye kaidi akabidhiwe kwa polisi.
Hatari na nusu.Jeshi la mbogamboga linashinda juani kwa maelekezo ya mafwele?!
Bora wafanye usafi tu mapimbi hawa
Jeshi gani et lipo kuwadhibiti na kuua raia wake sababu ya mtu mmoja awe rais?!
Shit!
Kazi ya kupambana na magaidi waachiwe polisi, jeshi la wananchi wao wapige usafi.Gentleman,
huo ni wajibu muhimu sana wa kizalenda ambao wanajeshe hao hushirikiana na wananchi na kuufanya mara kwa mara maeneo mbalimbali nchini.
wanajeshi wetu wazalendo,
wako tayari kutekeleza wajibu wa kizalendo kama vile kufanya usafi na kulinda amani kwa maslahi mapana ya wTanzania wote.
vuta subra,
na kwa wakati muafaka utawaona mtaani kwako wakifanya usafi ikiwa ni pamoja na kuwasafisha magaidi, mamluki na maharamia yanayojaribu kuleta machafuko nchini.
Watasafishwa vizuri sana wakileta kimbelembele kuchafua amani ya TANZANIA
jukumu la kusafisha magaidi, maharamia na mamluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibu watakaothubutu kuchafua amani ya taifa letu ni la majeshi yetu yote ya ulinzi na usalama.Kazi ya kupambana na magaidi waachiwe polisi, jeshi la wananchi wao wapige usafi.
Wasimamiwe na jeshi la polisi na kmkm toka Pemba.Waokote takataka zote na kupeleka dampo, wasafishe mitaro yote kando ya barabara, wasafishe vyoo vya stendi, sokoni na kwenye maeneo yote ya umma.
Mshahara ni huo huo wanaolipwa unatosha, kwakuwa, nchi inalindwa na jeshi la polisi, wao watusaidie kwenye usafi na yeyote atakaye kaidi akabidhiwe kwa polisi.
NaamWasimamiwe na jeshi la polisi na kmkm toka Pemba.
Malipo bei gani kwa saa Ponjoro?Waokote takataka zote na kupeleka dampo, wasafishe mitaro yote kando ya barabara, wasafishe vyoo vya stendi, sokoni na kwenye maeneo yote ya umma.
Mshahara ni huo huo wanaolipwa unatosha, kwakuwa, nchi inalindwa na jeshi la polisi, wao watusaidie kwenye usafi na yeyote atakaye kaidi akabidhiwe kwa polisi.
Wanajeshi wana mishahara, malipo yanini tena?Malipo bei gani kwa saa Ponjoro?
Vipi huyu mnyarwanda mafwele na yeye watamfagia au ndio maana mbwa wa boss nae bossGentleman,