Wanajeshi wa Kenya wa kuruka kwa miavuli wameonyesha ugwiji wao. Mambo ya kushuka kwa kamba tumewaachia wengine.

Tony254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Posts
16,017
Reaction score
16,431
Kuruka kwa miavuli ni ngumu sana na inahitaji ustadi na ueledi wa hali ya juu. Wanajeshi hawa wamepata mafunzo ya hali ya juu ili kuweza kuruka kwa miavuli na kunyemelea adui nyakati za usiku. Hawa hawafungwi na kamba na kuvurutwa na helicopter kama watu wengine.


 
Wenzenu wanatumia drones nyie mmebakia kwenye miavuli. This stone age method of fighting does not work any longer.
 
Kulikua na ulazima wa kuwazu gumzia wao fungua na kamba?[emoji1787].wakenya wacheni madharau
 
Acha ujuha, training za Parachute SA, Russia, Cuba, France na UK. Hivi mnafikiri training mnazo peke yenu!?
Kama huna la kufanya katafune Githeri
Niletee hio parachute battalion nione
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…