KENPAULITE
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,511
- 3,313
Hao yebo yebo wameamua kujitoa mhanga wewe na boot yako unatamani kurudia familia yako jioniYani mnajivunia kupigana na hawa walevi waliovaa yebo yebo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao yebo yebo wameamua kujitoa mhanga wewe na boot yako unatamani kurudia familia yako jioniYani mnajivunia kupigana na hawa walevi waliovaa yebo yebo?
huku tumemwachia tembo HarmonizeKuruka kwa miavuli ni ngumu sana na inahitaji ustadi na ueledi wa hali ya juu. Wanajeshi hawa wamepata mafunzo ya hali ya juu ili kuweza kuruka kwa miavuli na kunyemelea adui nyakati za usiku. Hawa hawafungwi na kamba na kuvurutwa na helicopter kama watu wengine.
Mkuu, unataka nikupe siri za jeshi? Wewe endelea kuangalia ceremonial shows za kunogesha sherehe!. Siku ukikutana nao location, utajua kama duniani kuna viumbe.Kwani wale walikua wa congo wakubeba miti ama?
Haujashiba muturaa...ongeza ingineWacha siasa leta hapa tuone, hao jamaa kidogo wenyu walifunzwa tandem jumps hapo diani, badala matusi, leta hapa paratroopers wenyu tujionee, wakenya hii hapa if you want more nitakuletea
Kwani nyinyi pekee ndio mnajua siri[emoji23]Mkuu, unataka nikupe siri za jeshi? Wewe endelea kuangalia ceremonial shows za kunogesha sherehe!. Siku ukikutana nao location, utajua kama duniani kuna viumbe.