Wanajeshi wa Kenya wa kuruka kwa miavuli wameonyesha ugwiji wao. Mambo ya kushuka kwa kamba tumewaachia wengine.

Wanajeshi wa Kenya wa kuruka kwa miavuli wameonyesha ugwiji wao. Mambo ya kushuka kwa kamba tumewaachia wengine.

Kuna siku waliwahi kufanya hiki wakati wa JK, hadi JK mwenyewe akakoshwa vibaya sana na kuwaomba waende waka-"shake hands" naye baada ya kuwa wameshuka. Hili nalo walishafanya, tena walifanya kali zaidi kuzidi hiki ulichoonyesha wewe hapa.
By the way, mimi kama layman niulize swali; lipi ni zoezi hatari zaidi kufanya kati ya komandoo kushuka kwa mwavuli na kushuka kwa kamba akitokea juu kwenye helicopter?
Kushuka kwa miavuli ni hatari zaidi. Unaweza kuvunjika mgongo, mat*ko au hata kufariki kabisa.
 
Wewe unaongea usichokijua.
Hizo ni tactics za kijeshi na zote zinafanywa kwa operation maalum kulingana na mahitajio ya operation yenyewe, siyo kila operation ni miavuli au kamba.

Uliza siku nyingine.
 
Wewe unaongea usichokijua.
Hizo ni tactics za kijeshi na zote zinafanywa kwa operation maalum kulingana na mahitajio ya operation yenyewe, siyo kila operation ni miavuli au kamba.

Uliza siku nyingine.
Hiyo ya kujifunga kamba sio operation ya kijeshi. Hio ilikuwa ni kituko tu. Wao wanakuwa ni target practice nzuri sana kwa wanajeshi wenye shabaha. Eti wanavutwa kwa kamba huku wakining'inia kama bendera.
 
Unaendelea kudhirisha kuwa hujui.
Unajua hiyo ni operation ya aina gani?
Targert yake ni nini?
 
Kushuka kwa miavuli ni hatari zaidi. Unaweza kuvunjika mgongo, mat*ko au hata kufariki kabisa.
Unaongea utadhank Tz hakuna askari wa miavuli.
Wapo wengi tu na wamefanya hizo show mara nyingi tu pia.
Usichojua ni kwamba.
Operation kwa kutumia miavuli ina targets zake tofauti kabisa na targets za operation za kutumia kamba,, hata adui ni wa aina tofauti pia.

Kwavile huulizi sitakupa hizo nondo.
 
Hii niliiona zamani kweli jwtz waki perform , Nenda YouTube utakuta 😂😂😄😄
 
Jamaa mmoja mmemshangilia nikama malaika[emoji23][emoji23] tanzania hamna paratroopers
Bila shaka wewe dish limeyumba. Mwenzio alieleta mada kaona amechemka katulia. Wewe umeona umeshindwa huko umegeukia paratroopers.
 
Kuruka kwa miavuli ni ngumu sana na inahitaji ustadi na ueledi wa hali ya juu. Wanajeshi hawa wamepata mafunzo ya hali ya juu ili kuweza kuruka kwa miavuli na kunyemelea adui nyakati za usiku. Hawa hawafungwi na kamba na kuvurutwa na helicopter kama watu wengine.

Kushuka kwa parachuti na kushuka kwa kamba kutoka kwenye Ndege,kamba ikikatika madhara yapoje,
 
Bila shaka wewe dish limeyumba. Mwenzio alieleta mada kaona amechemka katulia. Wewe umeona umeshindwa huko umegeukia paratroopers.
Hapa kwa mazoea tunaletanga facts, na mimi niliuliza niletewe evidence ya any paratrooper battalion you have, simple
 
Back
Top Bottom