Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,087
- 16,036
Ndo hao waliokua wanaiba maziwa westgate..hahahaha..Kuruka kwa miavuli ni ngumu sana na inahitaji ustadi na ueledi wa hali ya juu. Wanajeshi hawa wamepata mafunzo ya hali ya juu ili kuweza kuruka kwa miavuli na kunyemelea adui nyakati za usiku. Hawa hawafungwi na kamba na kuvurutwa na helicopter kama watu wengine.
Alshabab ndo kipimo chenu kenge nyie