Ndo hao waliokua wanaiba maziwa westgate..hahahaha..Kuruka kwa miavuli ni ngumu sana na inahitaji ustadi na ueledi wa hali ya juu. Wanajeshi hawa wamepata mafunzo ya hali ya juu ili kuweza kuruka kwa miavuli na kunyemelea adui nyakati za usiku. Hawa hawafungwi na kamba na kuvurutwa na helicopter kama watu wengine.
Hakuna kitu yoyote tanzania inajua juu ya terrorism, hawa alshabaab wenyewe wanapigwa somalia wanakuja kuua watu innocent kenya, only a devil worshipper kama wewe ndio anaeeza shabikia, ikiwa msomali mmoja hapo tz aliwahangaisha, usicheze mtu ameamua kufaNdo hao waliokua wanaiba maziwa westgate..hahahaha..
Alshabab ndo kipimo chenu kenge nyie
What is KDF doing inside Somalia?, Why KDF went to Somalia, selling charcoal?.Hakuna kitu yoyote tanzania inajua juu ya terrorism, hawa alshabaab wenyewe wanapigwa somalia wanakuja kuua watu innocent kenya, only a devil worshipper kama wewe ndio anaeeza shabikia, ikiwa msomali mmoja hapo tz aliwahangaisha, usicheze mtu ameamua kufa
1.GeopoliticsWhat is KDF doing inside Somalia?, Why KDF went to Somalia, selling charcoal?.
Wale watoto wa pale Mozambique bado wanawapa kipigo hadi sasa?...sasa mkipatana na mashababi siwatamaliza jeshi nzimaDaaaahhh.
Leo tunaaga makomandoo 6 waliofyekwa na wazee wa kazi huko northern Moqambique
Hii tulishafanya kitambo Sana wakati wa JK ilikua siku miaka 50 ya Muungano tafuta YouTube huko uoneKuruka kwa miavuli ni ngumu sana na inahitaji ustadi na ueledi wa hali ya juu. Wanajeshi hawa wamepata mafunzo ya hali ya juu ili kuweza kuruka kwa miavuli na kunyemelea adui nyakati za usiku. Hawa hawafungwi na kamba na kuvurutwa na helicopter kama watu wengine.
Evidence?Hii tulishafanya kitambo Sana wakati wa JK ilikua siku miaka 50 ya Muungano tafuta YouTube huko uone
Mmmh! Hii ni changamoto kwa kweliAl shabaab watatu tu waliikalisha westgate hao jamaa wakaishia kuiba parachichi #wajingaNyiNyi
Wale watoto wa pale Mozambique bado wanawapa kipigo hadi sasa?...sasa mkipatana na mashababi siwatamaliza jeshi nzima
Wamewasogerea alshabab na hiyo miamvuli au kurukaruka tu na miamvuli kukwepa alshabab.Kuruka kwa miavuli ni ngumu sana na inahitaji ustadi na ueledi wa hali ya juu. Wanajeshi hawa wamepata mafunzo ya hali ya juu ili kuweza kuruka kwa miavuli na kunyemelea adui nyakati za usiku. Hawa hawafungwi na kamba na kuvurutwa na helicopter kama watu wengine.
Iktokea mwanajeshi kaumia au yupo kwenye mazingira hatari,anahitaji msaada wa haraka kuokolewa na bila maadui kufahamu,drones zitashuka na kumbeba?Wenzenu wanatumia drones nyie mmebakia kwenye miavuli. This stone age method of fighting does not work any longer.
Dah hiii kitu najiulizaga sanaMimi nachojiuliza hizi show za kijeshi za Kiafrika zinaweza kuwatisha wazungu kweli wakati silaha zinatoka kwao?
Yani mnajivunia kupigana na hawa walevi waliovaa yebo yebo?Dawa ya al shabaabView attachment 2060884View attachment 2060885
Ndio maana nikasema mtoa mada na wewe mnafikiria vita vya za mawe au ile misako ya kukamata walevi wa gongo. Nchi zimefunga air defense systems hata nzi akiingia wanamwona, wewe unazungumzia askari wa mwavuli kuingia bila kuonekana na adui! amka usingizini huko.Iktokea mwanajeshi kaumia au yupo kwenye mazingira hatari,anahitaji msaada wa haraka kuokolewa na bila maadui kufahamu,drones zitashuka na kumbeba?
Hamna paratroopers tz, so hakuna kufanana hapa
Kwani wale walikua wa congo wakubeba miti ama?Hello, yaani unafikiri Simba wa nyika, watafanya display ya kuonesha military strengths zao ceremonially? Only in Kenya. Kama unategemea kujua jeshi la tz ni nini kuwa kuangalia maonyesho ya sherehe, utasubiri sana.