Kuruka kwa miavuli ni ngumu sana na inahitaji ustadi na ueledi wa hali ya juu. Wanajeshi hawa wamepata mafunzo ya hali ya juu ili kuweza kuruka kwa miavuli na kunyemelea adui nyakati za usiku. Hawa hawafungwi na kamba na kuvurutwa na helicopter kama watu wengine.
Mkuu, unataka nikupe siri za jeshi? Wewe endelea kuangalia ceremonial shows za kunogesha sherehe!. Siku ukikutana nao location, utajua kama duniani kuna viumbe.
Wacha siasa leta hapa tuone, hao jamaa kidogo wenyu walifunzwa tandem jumps hapo diani, badala matusi, leta hapa paratroopers wenyu tujionee, wakenya hii hapa if you want more nitakuletea
Mkuu, unataka nikupe siri za jeshi? Wewe endelea kuangalia ceremonial shows za kunogesha sherehe!. Siku ukikutana nao location, utajua kama duniani kuna viumbe.