ki2c
JF-Expert Member
- Jan 17, 2016
- 7,719
- 14,506
Raia si hana mafunzo?Halafu wakirudi Bongo salama wanalipiza hasira zao kwa raia 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Raia si hana mafunzo?Halafu wakirudi Bongo salama wanalipiza hasira zao kwa raia 😂
MombasaHiv tukizuia tank zao za mafuta kwenda Rwanda wana options nyingine kweli waanze kupanga foleni kwenye petrol station zao akili itawakaa sawa South Africa najua awawezi washaharibu pia
Kwanini wasiende kuungana na FRDC..?Under kivili cha UN wanapigana wakiwa na mkono mmoja umefungwa nyuma. Too many rules under UN. Na hizo rules zina effect efficiency yao on the battle field
Tunategemea taarifa kinyume na uongo wa mtoa mada. Kumtukana sio jibu. Muungwa hunyamaza na akijibu majibu yake ni murua, sahihi na kweli. Usitukane mkuu.Acha uchoko wewe,umeshiba maziwa ya ng'ombe wenye mapembe marefu unakuja kujambajamba hapa,jichokonoe na hayo mapembe
Kwa walichomfanyia ruto hawawezi pita njia hiyoMombasa
Kuna uongo wowote kwenye comment yake..?Umeandika upumbavu. Wewe sio Mtanzania.
mwaka gani japan ilitawala duniaNi aibu kama ni kweli wanajeshi wetu tunaowategemea wamekalishwa
Kama ni kweli hii habari..basi kama nchi tumekwisha tubaki tu kulinda mipaka yetu dhidi ya uvamizi!
Japan ni kisiwa ila kiliwahi kutawala dunia
Kuhusu majeruhi askari 190 wa SAMIDR SADC wanajeshi kutoka nchi za South Africa, Tanzania na Malawi walivyohudumiwa kiutu na M23 kisha walivyowezeshwa kuvuka mpaka chini ya uangalizi wa M23 kutoka Goma Kivu Mashariki ya Congo hadi Kigali na kuhudumiwa kama mkataba wa Geneva kwa kuheshimu utu ikiwemo kutowapiga picha kwa ajili ya kurusha mitandaoni
25 February 2025
Dar es Salaam, Tanzania
Hakuna jeshi lililokuwa na ndege yenye uwezo wa kuwasafirisha wanajeshi waliojeruhiwa vitani DRC kurudi nyumbani - Theletsane
View: https://m.youtube.com/watch?v=-SLqLuk8rXg
hayo yamebainishwa katika mahojiano.
Mkurugenzi wa Ogani ya Masuala ya Siasa, Ulinzi na Usalama wa SADC Profesa Kula Theletsane anasema hakuna kikosi chochote cha kijeshi cha nchi katika kanda hiyo ya SADC ikiwa ni pamoja na jeshi la ulinzi la South Africa SANDF, kilikuwa na ndege yenye uwezo wa kuwasafirisha kurudi nyumbani wanajeshi waliojeruhiwa vitani kutoka DRC. Anasema badala yake ilitumiwa ndege ya kibinafsi charter .
Habari zaidi zinasema kuwa jijini Dar es Salaam mkutano wa wakuu wa kijeshi wa nchi za SADC wanakutana kutekeleza maazimio ya mkutano wa wakuu wa nchi za SADC na EAC uliofanyika Dar es Salaam 08 February 2025 ambapo wakuu hao wa nchi walikubaliana kuwa sahihi ni kufungua jukwaa la mazungumzo kwa kuwa njia za kijeshi pekee haziwezi kumaliza mzozo wa Mashariki ya Congo...
SADC’s Director of Organ on Politics Defence and Security Affairs Professor Kula Theletsane says none of the military units in the region including SANDF, had a plane with the capacity to transport back home the wounded soldiers from DRC. He says a private plane was used instead.
Ukiingia kwenye 18 zao,wakati wanakubinya pumbu uwaambie ulikozitoa hizi taarifa,utaona wanaharakati uchwara free freeKilichoniuma ni heshima aliyopewa Kagame alipokuja pale Airport wakati vijana wetu wameshikiliwa mateka na vikosi vyake.
Sijui tumekuwaje Tanzania.
Jamaa bwege sana huyo yaani kabisa anatuletea habari ambayo imehaririwa na Mnyarwanda anataka ndio tuiamini? Eti Tshekeds alikuwa anajiandaa kuivamia Rwanda serious? Hata mtoto mdogo anayefuatilia hii battle hawezi kukubqliqnq nq huo uongo.Hii ni akili matope?
Mhariri ni mnyarwanda unategemwa amkaange Kagame?
Moja ya vitu ambavyo vinaua uzalendo kwa kasi ni uchawa na ubinafsi.Nchi yoyote inayoendekeza uchawa, inadumaza weledi na ubunifu wa taasisi zote. Kipindi hiki tuombe sana tusivamiwe na nchi yoyote ile, tutapoteza kila kitu.
Hata taasisi zilizotakiwa kuzingatia weledi zimejiingiza kwenye siasa na uchawa, matokeo mengi ya kushindwa na ya aibu, tuyatarajie siku za usoni.
MjingaJamaa bwege sana huyo yaani kabisa anatuletea habari ambayo imehaririwa na Mnyarwanda anataka ndio tuiamini? Eti Tshekeds alikuwa anajiandaa kuivamia Rwanda serious? Hata mtoto mdogo anayefuatilia hii battle hawezi kukubqliqnq nq huo uongo.
Kagame alishatingisha kiberiti akaona sisi ni wepesi na ana tumudu vizuri kabisa, ndio maana huwa anajiamini kupita kiasi dhidi yetu.Kagame ukiendekeza mazungumzo na yeye ndo anakupanda kichwani. Huyu dawa yake ni kumfanyia mafia tu na baadae kumpotezq kabisa.
Mkuu, Jeshi letu linatumika kisiasa zaidi na ndio maana tumefika hatua hii. Inasikitisha sana kuona tumejiingiza katika mgogoro unaotuvunjia heshima.Kilichoniuma ni heshima aliyopewa Kagame alipokuja pale Airport wakati vijana wetu wameshikiliwa mateka na vikosi vyake.
Sijui tumekuwaje Tanzania.
Akili umeziacha chooni nini? Nimeweka hadi source ya hiyo taarifa alafu unauliza tena? Au ndo dishi kuyumba?Ukiingia kwenye 18 zao,wakati wanakubinya pumbu uwaambie ulikozitoa hizi taarifa,utaona wanaharakati uchwara free free
DR Congo zenye makandokando (complexity) ya kuvuta na kupiganisha majeshi ya nje ndani ya DR Congo huku suluhu ya kudumu ya amani na usalama kushindwa kupatikana kutokana na makundi mengi kushirikishwa.
Kati ya kipindi ambacho Rwanda alijiandaa kutufanya SADC kuonekana wajinga ni kipindi hiki.Cha kufurahizha kuna wanajeshi wawili wa kike wa South Africa ni wajawazito.