Wanajeshi wa Tanzania takribani 2000 walifyekwa na majeshi ya Idd Amin; huo ndio ulikuwa mwanzo wa vita ya Kagera

Umeeleza vema, naona wengi wanaropoka kutetea bila hoja, au kupinga bila hoja.... ndo maana watanzania ni wepesi kufall ktk propaganda
Ukweli wenyewe Tanzania ilipigwa sana siku za kwanza hasa baada ya kupeleka mgambo msitari wa mbele wote waliuawa ndipo wakawa wanawatumia mgambo kama chambo kubaini majeshi ya idd Amin yalipojificha, hata ule uvamizi wa mwaka 1971 ingawa haukuwa mkubwa pia idd Amini alifanya maafa japo 1979 ilikuwa mbaya zaidi, kitu pekee kiliokoa Jeshi la Tanzania ni waasi akina Mseveni na Tito okelo ambao waliwasaidia njia za kupenya mpaka kampala.
 
Acha ujinga wa kulishwa matango pori then uje kuharahara hapa.,Palestina unaiingizaje kwenye vita hivi?Je wajua misimamo ya Baba wa Taifa juu ya Palestina katika uhai wake wote?Yaani wathani alikuwa mjinga watu wamshambulie kisha aendelee kuwatetea maisha yake yote.Pure you na chuki zako za kidini.
 
Ndo maana africa hatuwezi kutunza historia zetu wenyewe... ingawa sometimes huwa inapindishwa kwa maslahi fulani, lkn lzm kujializa hayo maslahi yana manufaa gani.
 
Mimi nilihadithiwa kwamba mgambo waliwekwa mstari wa mbele lakini sidhani kama waliuawa 2,000.

Kosa tulilofanya ni kuwatanguliza FFU na migambo mbele, ilikuwa bado haija aminika kuwa jeshi la amin limevuka mpaka,
 
Katika kuhadithiwa kwangu sikusikia Wapalestina kushiriki vita ile bali Walibya walikuwa upande wa Nduli lakini wakapata mkong'oto wa nguvu na wengi kuishia kutekwa na majeshi ya Wabongo na baada ya vita kuisha wakarudishwa kwao.

 
Katika kuhadithiwa kwangu sikusikia Wapalestina kushiriki vita ile bali Walibya walikuwa upande wa Nduli lakini wakapata mkong'oto wa nguvu na wengi kuishia kutekwa na majeshi ya Wabongo na baada ya vita kuisha wakarudishwa kwao.
Thanks brother, ndio ninamshangaa huyu zumbukuku akija mkekani na mihemko ya kimahaba kwa kitu asichokijua.
 
Vita vya Kagera: Historia yangu - Sehemu ya kwanza

Simulizi ya Mpiganaji wa Vita hicho kipigo pale mtukula lakini Tanzania ilishinda Vita... kawaida ya mpambano unapiga na unapigwa kama ngumi tu
 
Sasa wewe ni mweupe kichwani and then unataka ligi na mimi... nitakuwa nakuonea maana huna point ya kusimama na mimi so Ambaa zako tu
 
Inawezekana kabisa hilo kwani unapovamia nchi uwe umejipanga kwa mda mrefu yaani umetuma mashushushu wengi mno na kujua kambi za adui zilipo na wana jeshi ukubwa gani na wanatumia silaha zipi na ni ngapi.

Lakini unapovamia tu tegemea madhara makubwa mwanzo hata kama utakuja shinda mwishoni.
Ni kama kuingia nyumba ya mtu bila kujua kukoje ndani

Vita nyingi askari wake hufa wengi sana mwanzoni pindi wanapovamia, angalia USA walipovamia Vietnam
 
Sasa wewe ni mweupe kichwani and then unataka ligi na mimi... nitakuwa nakuonea maana huna point ya kusimama na mimi so Ambaa zako tu
Wat point you have madam?
Weye ni walewale
 
mkuu rekebisha kidogoo, sio msaada wa Palestina bali ni wa Libya.
 
Mnapo zungumzia. Vita vya kagera ni vizuri kujua Muhundo wa vikosi vyetu. Watu 2000 kuwa mbele 1978 mwanzoni tu. Ni uongo mkubwa sana. Wakati ule alikuwa uwezi kuweka askari wengi hivyo. Kulikuweko na DET kama Coy moja. Na kikosi cha POLICE watu kama 150 hivi na police. Ndipo askari wa iddi amin wakaweza kuingia mpaka mtoni kiraisi sana. Kwa sababu apakuwa na nguvu kubwa kule. Ni kama ilivyo sasa. Uwezi kuweka majeshi mpakani. Watakuwa mbali na mpaka. Askari 2000 ni Bribed ni wengi sana sana. Askari waliokufa ni raisi sana kujua. Kuesabu makaburi pale bunazi na kaboya awazidi askari 750
 
mkuu rekebisha kidogoo, sio msaada wa Palestina bali ni wa Libya.
Mkuu Hiyo ni History you cant change it like that... Fuatilia tu hiyo Vita utanielewa Wapalestina walikuja kutumaliza Tanzania... Wajua Waislam wenye Siasa kali huungana popote pale watasafiri wasaidie wenzao washinde... Palestina walikuwa Marafiki wa Uganda baada ya Amini Dada kukubali ndege ya Mateka wa Israel Itue Entebbe na Wapalestina ndio Waliokuwa Wameiteka hiyo Ndege. Amini alileta wapiganaji from Palestina Uliza Mwanajeshi yeyote utanielewa nimemaanisha na pia huwa Sikosei hoja Zangu huwa zinasimama hadi Mwisho sababu mimi Sio Politicians. Video ya Vita ya kagera pia hao Mateka walikamatwa wa Libya na Palestina Nyerere aliwasamehe Picha zao Zipo.. Najaribu kukumbuka nikizipata nitazituma humu.
 
Naona Mashoga yamevamia JF. Jamii forums ni Sehemu ya Kuonesha uwezo wako wa Akili sasa huna cha kuchangia unafanya nini humu. unatakiwa ufikilie kwenda Mbele na sio kurudi Nyuma.
Shoga babio.,weye mashuzi group hapo umechangia nn kuonyesha uwezo wako wa kukata mauno mada fanta go to hell f***er..
 
Mahusiano ya wazazi wangu walikutania huko,,,yaan huwa nafarijika mno mno

Naamini love at first sight

Ee mwenyez mungu walinde wazazi wangu,wajalie yote waombayo katika nafsi ya kukuamini wewe.
Ok kumbe habari kama hizi kwako za kuisikia, acha tu vita isikie kwa mbali. Sisi tuliosikia vishindo vyote kuelekea 1978 mwishoni japo tulikuwa wadogo acha kabisa asikwambie mtu vita sio sherehe
 
Maskin wazanaki walijitoa kumtetea rais WAo, wakakuta mvua ya mawe
 
Nadhani masimulizi yamekuwa mengi sana hasa kuhusu Vita vya Kagera, na yakichagizwa na ushindi tulioupata, sasa ni ngumu sana kupokea taarifa zinazonaharibu sifa ya ushindi.
Ila ukweli ni kuwa tumekaririshwa na kuaminishwa mambo mengi yasiyo ya kweli, na pia kwasababu historia haiwekwi sawa kuhusu nchi yetu, vizazi vijavyo vitakuwa na historia ya uwongo zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…