popbwinyo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,986
- 3,615
Muulize mpiganaji yyte aliye kuwa ktk kikosi kilichoelekea Lukaya na kikapigana huko atakusimulia,Hawakuwa wanajeshi waliopata mafunzo,waliopelekwa kwanza,walikuwa wanamgambo na wananchi waliopewa crush program ya mapambano,kwa muda mfupi,ndio wakapelekwa mstari wa mbele,ungekuwa msomaji mzuri wa historia,hili jambo limeelezwa vzr kwenye filamu ya vita ya Kagera,mpaka majarida mbalimbali yanayopatikana hata kwenye maktaba ya Taifa,mimi nalifahamu hili tangu mwaka 1996,
Usishinde kwenye whatsaap tu,kasome vitabu,
Pale ndo ilikuwa vita