Wanajeshi wa Uingereza wanaacha kazi ya jeshi licha ya malipo bora

Lee Van free

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2024
Posts
1,535
Reaction score
5,332
Wanajeshi wa Uingereza wanaacha kazi ya jeshi bila sababu za msingi,licha ya mshahara mzuri wanaolipwa,sababu. Ni Nini?

UK soldiers quit in thousands despite Labour's pay rise

Soldiers are quitting the British Armed Forces at an alarming rate, despite a pay rise over the summer, Report informs via The Telegraph. For the first time on record, there are now just two servicemen or women per thousand people in Britain. Some 15,119 left the Armed Forces in the year to October.8 hours ago
Report İnformasiya Agentliyi › other-countries

Soldiers are quitting the Armed Forces at an alarming rate, despite a pay rise over the summer.

For the first time on record, there are now just two servicemen or women per thousand people in Britain.

Some 15,119 left the Armed Forces in the year to October. Of these, 7,778 were counted as “voluntary outflow”, those choosing to leave of their own accord.

*****†**********
December 22, 2024 15:04
UK soldiers quit in thousands despite Labour’s pay rise

Soldiers are quitting the British Armed Forces at an alarming rate, despite a pay rise over the summer, Report informs via The Telegraph.

For the first time on record, there are now just two servicemen or women per thousand people in Britain.

Some 15,119 left the Armed Forces in the year to October. Of these, 7,778 were counted as “voluntary outflow”, those choosing to leave of their own accord.

The forces recruited just over 12,000 personnel in the same period, resulting in a net shrinkage of the military.

Soldiers are leaving despite the Government’s attempt to stem the recruitment crisis with a 6 per cent pay rise.
 
Uingereza hawalipi vizuri wanajeshi hasa sailors. Report yako inasema "malipo yameongezwa" ila haitokaa itokee malipo ya civilian market yawe juu ya malipo ya defence contractors. Kwa nchi nyingine ni hivyo ila kwa Uingereza ni vibaya zaidi.

Mfano ili mtu awe Royal Navy submarine captain anatakiwa awe na akili sana, experience kubwa, uwezo binafsi wa hali ya juu, ana risk kubwa ya kuachishwa kazi, hana option ya kuhama kazi sababu submarines zinamilikiwa na serikali na hawezi hama jeshi kutoka Uingereza kwenda labda Spain. Na bado submarines ni chache na zina kazi ngumu.

Wakati mtu mwenye uwezo mdogo nusu ya submarine captain anaweza ajiriwa na shirika la ndege la Uingereza, British Airways akalipwa mshahara uleule, kazi nyepesi kabisa, uzoefu wa kawaida, options za kuacha kwenda mashirika mengine zipo nyingi, risks za kuachishwa kazi ni chache, kuna uhuru wa kufanya kazi, na ndege zipo nyingi shirika hilo au mashirika mengine. Na kazi ina bonus.

Popote pale mtu mwenye uwezo mkubwa anaweza kupata kazi nzuri kwenye civilian market kuliko jeshini. Ford, Tesla, BYD, Volkwagen wanatengeneza mamilioni ya magari models mpya kila mwaka na kila miaka kama mitano magari yanaharibika wateja wananunua mengine. Wakati mfano kampuni ya Nexter ya Ufaransa tangu iunde Leclerk main battle tank mwaka 1992 mpaka leo haijawahi unda type nyingine na wateja ni nchi kama tatu tu, na vifaru vyote vilivyoundwa tangu mwaka huo bado vipo. Imagine design engineer wa hiyo kampuni ana miaka kadhaa hajawahi lipwa bonus wakati waliopo Volkwagen wanafyatua magari tu.

Boeing B-52 Stratofortless zimeanza kuundwa tangu 1952 na ya mwisho iliundwa 1962 ila mpaka leo zipo zinafanyiwa upgrade tu. Wakati Boeing za abiria zinauzwa maelfu kila mwaka na kila muongo wanatoa products kadhaa mpya kwenye assembly line na kila miaka kama 20 ndege inaacha kutumika. Hivyo kimauzo huwezi tegemea engineer wa military market alipwe sawa na civilian market. Same thing na jeshini.

Hata kwenye software, engineers waliounda NATO Link 16 walimaliza 1970s, Link 22 ni ya 1980s na mpaka leo ndio zinatumika kwenye communications zote za ndege za NATO. Wakati kwenye civilian market consumers huwa wanachoka kitu bila sababu za msingi. Windows 11 na 10 zina tofauti ndogo sana, ila watu wamelipwa kutoa Windows 11. Android versions kila mwaka, iOS kila mwaka. 3G, 4G, 5G na 6G iko njiani.

Hela zinamwagwa kwenye research na kuna malipo, marupurupu, zawadi, recognition na sense of accomplishment. Kwenye soko huru its likely watu wenye uwezo mkubwa wasiende jeshini.
Kenyan Airforce miaka ya 70s ndio ilikuwa inapeleka marubani kusoma bure ili waendeshe ndegevita, matokeo yake wakirudi wanaenda civilian market kuendesha East African Airways, last week Rais wa Nigeria amesaini sheria maofisa wa jeshi lazima watumikie miaka si chini ya 15. Walikuwa na tabia ya kusomeshwa bure wanapata ujuzi unaolipa vizuri mtaani kisha wanafanya kazi miaka michache jeshini na kuacha kazi. Mnahisi kwanini Wahindi waliacha kujiunga na JWTZ?
 
Asante sana kwa huu mkeka mtumish
 
We jamaa bhana!!!!!! Haya yote umetoa wapi????? Unajua hadi unakera
 
Labda wameshanusa kuna vita inakuja na Russia. Wameamua kuchorora mapema 🤕
Kihistoria Waingereza ni waitikiaji wazuri wa wito wa kwenda vitani. Wanaweza enda vita ambayo hawajashambuliwa wala hawajatangaziwa wao.

Mara ya mwisho mwanajeshi wa adui kukanyaga kwenye British isles ni mwaka 1797, miaka 227 iliyopita.
Mara ya mwisho Urusi kuvamiwa na wanajeshi wa adui ni 2024 hii.

Uingereza kila vita huwa inachukuliwa poa. Yani vita ya kwanza ya dunia na ya pili ya dunia yote hakuna adui alitia mguu Uingereza. Wao ni masters of logistics wanatoka uko kwao wanapigania kwako. Kati ya nchi Waingereza wanazichukulia kawaida kijeshi ni Urusi, kihistoria wana sababu.
 
'akili sana/nyingi' unazipimaje?
 
Wako mbali,ni kisiwa, nothing special
 
Waswahili wavivu ndo wanajaa mvi jeshini hawataki hata kustaafu
 
Nice analysis as a reference 👍
 
Wako mbali,ni kisiwa, nothing special
Na hivyo basi vita zote ambazo Uingereza hupigana inavuka bahari. Same effect, kama ni vigumu kuvamiwa kisa ni visiwa basi vilevile ni vigumu yenyewe kuvamia adui maana itatoka visiwani.

Kama bahari inaifanya Tanzania isiivamie Madagascar, bahari hiyohiyo si inaifanya Madagascar isiivamie Tanzania?
 
Vita hizo uingereza huzifuata mwenyewe, uingereza ingepakana na ujerumani kama poland, ingekua mhanga wa kwanza,kwa kipindi kile isingewezekana hitler avuke nchi zote aingie uingereza
 
Kihistoria Waingereza ni waitikiaji wazuri wa wito wa kwenda vitani. Wanaweza enda vita ambayo hawajashambuliwa wala hawajatangaziwa wao.

Mara ya mwisho mwanajeshi wa adui kukanyaga kwenye British isles ni mwaka 1797, miaka 227 iliyopita.
Mara ya mwisho Urusi kuvamiwa na wanajeshi wa adui ni 2024 hii.

Uingereza kila vita huwa inachukuliwa poa. Yani vita ya kwanza ya dunia na ya pili ya dunia yote hakuna adui alitia mguu Uingereza. Wao ni masters of logistics wanatoka uko kwao wanapigania kwako. Kati ya nchi Waingereza wanazichukulia kawaida kijeshi ni Urusi, kihistoria wana sababu.
kuvamia kisiwa na ardhi tambarare ni sawa?
uingereza haiwezi kuvamiwa kirahisi kwa sababu ni kisiwa, na Urusi kuvamiwa na ukraine ni jambo la kawaida maana Urusi mara zote imekuwa ikivamiwa tokea upande huu wa ardhi ya Ukraine.....

kisiwa cha uingereza hakiwezi kuichukulia poa urusi kwa sababu hawajawahi kupigana......
btw uingereza haina uwezo mkubwa kijeshi, hata ingetokea akapigana na Ukraine atapigwa tena ukraine asingehitaji msaada kama anavyotegemea msaada leo!
 
Back
Top Bottom