Wanajeshi wa Uingereza wanaacha kazi ya jeshi licha ya malipo bora

Wanajeshi wa Uingereza wanaacha kazi ya jeshi licha ya malipo bora

Hawa jamaa ni walaini na milenda sana.

Nimefanya research nikagundua jeshi la Marekanii ni wazuri na wanatisha kwenye matumizi ya machines na silaha za kisasa lakini uwezo wa askari mmoja mmoja na ukakamavu ni mdogo sana.

Pili jamaa ni waoga balaa, nilikuwa natizama documentary US soldiers wapo kwenye milima huko Afghanistan, ilifikia muda wale Taliban wanakuja hadi kambini wanaanza kupambana na askari wa US hadi wale wafuga mbuzi wanaondoka na vitu hapo askari wa US wengine wamejificha wengine wamekimbia kambi yaani vi Taliban ilifikia hatua wanadharau US soldiers.

Halafu vijamaa vina AK-47 tuu mikononi na RPG, yaani wale Taliban wakianza kupiga risasi wale askari wa US wakahisi jamaa wapo karibu, wale US soldiers wengine wanaanza na kuangusha kilio, huku wanapiga simu kuomba air support, air support ndio ilikuwa inawasaidia muda wote.

Taliban walipoona A10 inapita juu, jamaa walikuwa wanakimbia hadi wanavua kanzu, wale waarabu hakuna kitu waliogopa kama ndege za kimarekani kuanzia hizo apache na hizo A10s, kwa maana zikifika ujue ndio kiama kimefika, na zile ndege ziliwamaliza kweli kweli. Zile ndege zikishambulia wale askari walioita air support wanashangilia balaa.....


Jeshi la US wanapambana na maadui zao katika safe distance, jamaa wanatumia machine guns kuwafukuza maadui lakini sio ku shoot kabisa maadui, unakuta jamaa ameshikilia machine gun anaipiga kweli kweli huku anaizungusha unasema leo watakufa wengi, kumbe hata maadui hawaoni anakisia wapo karibu tena umbali wa kilomita kadhaa hivyo anashoot kuwatishia tu.

Jamaa wana operate drone umbali wa zaidi ya maili 10000 na mission inafanyika, pilot yupo kwenye computer mfano yupo Israel kajifungia chumbani halafu anafanya mashambulizi kutoa air support kusaidia askari wa ardhini waliopo Iraq, na wanaua maadui.

First Gulf war ukifuatilia utacheka, kwenye battle iliitwa the battle of 73 easting, US ilipoteza askari 19 na gari moja la kijeshi, huku Iraq ikapoteza askari zaidi ya 1000 na vifaru kama 160...

US army upambanaji wake hakuna tofauti kubwa na IDF, japo IDF kwa askari mmoja mmoja wapo vizuri kimafunzo kuliko US soldiers.
Hata Hamas wanaisumbua IDF kwa sababu jamaa wanadharau askari wa IDF, yaani jamaa wanaelewa kabisa wanawazidi ukakamavu askari wa IDF ndio maana vijamaa ni AK 47 na RPG lakini wanajiamini sana.

IDF pia jeshi lake ni tech za kisasa, air support, drones, satellites, ku hack mawasiliano n.k wanaelewa askari wao wa miguu ni urojo mbele ya hao jamaa washika AK 47.... Na hamas ndio maana wanatumia tunnels wanaelewa IDF uchawi wao ni angani..

Russians askari mmoja mmoja ni wakakamavu na wapo vizuri, halafu hawaogopi, ndicho kitu hata NATO wanaogopa, Russia wana jeshi bora zaidi kuliko US, Russia wana tech hizo zote na bado wana askari wakakamavu na makini.

Ndio WW2 Soviets walipoteza askari karibu 10M, jamaa wanapambana mbele kwa mbele, mguu kwa mguu hakuna kurudi nyuma hakuna kuogopa....
 
btw uingereza haina uwezo mkubwa kijeshi, hata ingetokea akapigana na Ukraine atapigwa tena ukraine asingehitaji msaada kama anavyotegemea msaada leo!
Acha masihara wewe....


Urusi kuvamiwa na ukraine ni jambo la kawaida maana Urusi mara zote imekuwa ikivamiwa tokea upande huu wa ardhi ya Ukraine.....
Kwa Sasa imekuwa kawaida ?...
 
Back
Top Bottom