Wanajeshi wastaafu wanaruhusiwa kujiunga na vyama vya Upinzani?

Wanajeshi wastaafu wanaruhusiwa kujiunga na vyama vya Upinzani?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nawasalimu kwa jina la JMT.

Hivi wanajeshi wastaafu wanaruhusiwa kujiunga na vyama vya upinzani katika majukumu yoyote yale?

Watu wa itifaki majawabu Tafadhali!
 
Kumlinda kiongozi wa chama cha upinzani ni kujiunga na chama cha upinzani?
Hilo pumbavu mleta mada sijui hata lina akili za wapi..
Anaona ni haki na sawa kwa Wanajeshi na Polisi wanavyojiunga CCM..
Lakini hawa jamaa hawakujiunga na upinzani kama ulivyosema bali walipata ajira ya kumlinda Kiongozi wa Upinzani.
 
Hahahaaaa...... Povu linakutoka sana manka.

Kwahiyo chama cha upinzani kinaajiri wanajeshi!
 
Yule aliyekuwa msemaji wa JWTZ akateuliwa kuwa kiongozi mwandamizi ccm,imekaaje na swali lako?
Mzee wa sadism is inevitable 😂😂😂😂

Ngemela Lubinga alimnyoosha yule muandishi masikin
 
Nawasalimu kwa jina la JMT.

Hivi wanajeshi wastaafu wanaruhusiwa kujiunga na vyama vya upinzani katika majukumu yoyote yale?

Watu wa itifaki majawabu Tafadhali!

..wanaruhusiwa.

..Mmoja wa makamanda walioongoza vita vya Kagera, Maj.General Marco Mwita Marwa, jina la kivita " jenerali kambale," aliwahi kuwa mwanachama wa Chadema.

..pia baadhi ya waasisi wa mageuzi ya siasa nchini walikuwa ni wanajeshi wastaafu, kwa mfano, Capt.Mashaka Nindi Chimoto.

Chimoto ni mmoja wa waasisi wa National Committee for Constitutional Reforms ambayo baadae ilibadilishwa na kusajiliwa kama chama cha siasa.
 
Back
Top Bottom