Lucas philipo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2017
- 2,039
- 2,676
Unamaanisha NCCR_MAGEUZI ndugu?..wanaruhusiwa.
..Mmoja wa makamanda walioongoza vita vya Kagera, Maj.General Marco Mwita Marwa, jina la kivita " jenerali kambale," aliwahi kuwa mwanachama wa Chadema.
..pia baadhi ya waasisi wa mageuzi ya siasa nchini walikuwa ni wanajeshi wastaafu, kwa mfano, Capt.Mashaka Nindi Chimoto.
Chimoto ni mmoja wa waasisi wa National Committee for Constitutional Reforms ambayo baadae ilibadilishwa na kusajiliwa kama chama cha siasa.