Wanajeshi wastaafu wanaruhusiwa kujiunga na vyama vya Upinzani?

Wanajeshi wastaafu wanaruhusiwa kujiunga na vyama vya Upinzani?

Nawasalimu kwa jina la JMT.

Hivi wanajeshi wastaafu wanaruhusiwa kujiunga na vyama vya upinzani katika majukumu yoyote yale?

Watu wa itifaki majawabu Tafadhali!
Swala ni upinza au siasa. Kisheria vyote ni vyama vya siasa na viko sawa. CCM kujiona wako above everything ndiyo inayokuchanganya.

Anyway, jibu ni SIYO KOSA. Hata Akina Kikwete, Makamba, Kinana. Nahuye, Mahita na wengine wengi tu walikuwa jeshini.
 
..wanaruhusiwa.

..Mmoja wa makamanda walioongoza vita vya Kagera, Maj.General Marco Mwita Marwa jina la kivita " jenerali kambale " aliwahi kuwa mwanachama wa Chadema.

..pia baadhi ya waasisi wa mageuzi ya siasa nchini walikuwa ni wanajeshi wastaafu kwa mfano Capt.Mashaka Nindi Chimoto.

Chimoto ni mmoja wa waasisi wa National Committee for Constitutional Reforms ambayo baadae ilibadilishwa na kusajiliwa kama chama cha siasa.
Ahsante bwashee!
 
Nawasalimu kwa jina la JMT.

Hivi wanajeshi wastaafu wanaruhusiwa kujiunga na vyama vya upinzani katika majukumu yoyote yale?

Watu wa itifaki majawabu Tafadhali!
Inatakiwa itungwe sheria kuzuia wanajeshi wastaafu kuajiriwa kazi ya ulinzi binafsi kwa wanasiasa hasa wale waliokuwa ngazi za 'commissioned officers' na waliopitia mafunzo maalumu ya ukomandoo kuepusha kutengeneza jeshi kivuli liwezalo kupindua nchi bila hivyo kuna kiongozi huenda akapinduliwa muda sio mrefu kwa visingizio vya 'battle confusion' na 'mental health disorder'
 
Nawasalimu kwa jina la JMT.

Hivi wanajeshi wastaafu wanaruhusiwa kujiunga na vyama vya upinzani katika majukumu yoyote yale?

Watu wa itifaki majawabu Tafadhali!
Hapana, wanaruhusiwa kuwa wanaccm tu..
Halafu wewe ni qyumer sana mara nyingine
 
Wewe ni Fa.la kabisa, Mkuu wa mambo ya nje wa CCM Kanali Lubinga ni siyo Mwanajeshi?
Upinzani na CCM kuna tofauti gani?
Muulize na Zelothe wa Police na wapo wengine wengi wa jeshi la Wananchi ma Police
 
johnthebaptist,
Vyama vya upinzani vinatambulika kisheria na msajili wa vyama vya siasa.

Hivyo mtanzania yeyote hatakuwa amefanya kosa akijiunga na chama chochote cha siasa chenye usajili wa muda au chenye usajili wa kudumu katika daftari la Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania. Kisha kushiriki katika shughuli halali za chama hicho kwa namna yoyote ile iwe ya kisiasa , utumishi, kujitolea, uongozi n.k

Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa
Karibu kwenye tovuti ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa . Kupitia tovuti hii, utapata taarifa za uhakika juu ya shughuli za Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini na taarifa za uhakika juu ya Vyama vya Siasa.

Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imejikita katika usimamizi wa Sheria ya Vyama vya Siasa Na 5 ya mwaka 1992 na Sheria ya Gharama za uchaguzi ya mwaka 2010 ili kuhakikisha uwepo na ukuaji wa demokrasia ya vyama vingi nchini.
SOMA ZAIDI KUHUSU OFISI HII :bofya
Source : ORPP Website
 
Nawasalimu kwa jina la JMT.

Hivi wanajeshi wastaafu wanaruhusiwa kujiunga na vyama vya upinzani katika majukumu yoyote yale?

Watu wa itifaki majawabu Tafadhali!
Kosa lao ni kua wakati Magufuli na Chama dola anapambana kuifuta CHADEMA kwa kutumia Sabaya na Bashite na PoliCCM.
hawa wangeomba uteuzi wa ukuu wa wilaya, na kuahidi kuwapoteza CHEDEMA, sio kumlinda Mbowe tena

“Huwezi kutusaliti ukasavaivu”
Amelaaniwa yule MFU kwa kweli.
 
Nawasalimu kwa jina la JMT.

Hivi wanajeshi wastaafu wanaruhusiwa kujiunga na vyama vya upinzani katika majukumu yoyote yale?

Watu wa itifaki majawabu Tafadhali!

Hivi Jenerali Mboma aliwahi kugombea ubunge kwa ticket ya chama gani?

Vipi Kinana, Kikwette, Makamba, Komba na wengi wa namna hiyo akiwamo Nape?

Vipi hawa walio in active in service waliowahi kuteuliwa hasa na jiwe kwenye nafasi za utendaji kwenye lile chama letu lenye kupinduaga hata matokeo ya kura?

Au ni yale yale ya kujitoa ufahamu tu tunapokuwa pande za Lumumba?

Hiiiiii bagosha!
 
MDUDE NYAGALI, KUWA CHADEMA KULIPELEKEA YEYE KUKAA MAHABUSU SIKU 400 NA MATESO MAKUBWA

JESHI LA POLISI LAHITAJI KUFUMULIWA NA KUUNDWA UPYA ILI LIFUATE SHERIA NA KATIBA



Mwanachama Mdude Nyagali anaandika kitabu kuhusu mateso ya kukaa jela zaidi ya siku 400 , kutekwa zaidi ya mara mbili kisa ni kuwa mwanachama wa chama cha upande wa upinzani.

Mdude Nyagali anasema mifumo ya utawala wa chama kimoja kutokubali uwepo wa vyama vingi vya kisiasa kama katiba inavyotamka.

Hivyo kuwa mwanachama wa mfano chama cha CHADEMA unachukuliwa kama adui wa taifa!

Mdude Nyangali anasimulia mateso aliyopitia yanayofanana na waliopitia wanajeshi wastaafu wa JWTZ special forces ... waliokuwa wameajiriwa kama walinzi binafsi (vip protection) wa kiongozi wa chama cha CHADEMA ...

Simulizi za Mdude Nyagali inakufanya nywele kusisima kwa hofu ya aina ya ukatili mkubwa unaotendwa vyombo vinavyohusika na usalama wa raia....

Maofisa wa Polisi kuendesha gari zisizo na number plate, Mdude Nyagali kutekwa mbele ya Askofu wa Kanisa la Pentekoste na kadamnasi ya watu....

Ndani ya dakika 10 ya kipigo kikali Mdude Nyagali alikuwa amevimba macho haoni, damu zikivuja toka puani na masikioni huko amekandamizwa na spea tairi katika floor (chini) ndani ya gari hiyo ya Polisi isiyo huku Polisi hao wakidai ni kikosi maalumu cha polisi ...

Mdude Nyagali aelezea aina za vifaa vilivyotumiwa na watesi wake ambao ni 'watu wasiojulikana mapolisi ' ....

Source : Mubashara Studio
N.B johnthebaptist
 
Inatakiwa itungwe sheria kuzuia wanajeshi wastaafu kuajiriwa kazi ya ulinzi binafsi kwa wanasiasa hasa wale waliokuwa ngazi za 'commissioned officers' na waliopitia mafunzo maalumu ya ukomandoo kuepusha kutengeneza jeshi kivuli liwezalo kupindua nchi bila hivyo kuna kiongozi huenda akapinduliwa muda sio mrefu kwa visingizio vya 'battle confusion' na 'mental health disorder'

..mwisho utashauri tufute jeshi kabisa.

..unafahamu serikali ngapi dunia hii zimepinduliwa na majeshi rasmi vs serikali ngapi zimepinduliwa na askari wastaafu?
 
Nawasalimu kwa jina la JMT.

Hivi wanajeshi wastaafu wanaruhusiwa kujiunga na vyama vya upinzani katika majukumu yoyote yale?

Watu wa itifaki majawabu Tafadhali!
Waulize kwanza Kinana, Mkamba na Luteni Kanali Jakaya Mrisho Kikwete.
 
Back
Top Bottom