johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Swali lako liwe je wanaruhusiwa kujiajiri tena ,ndio au hapana?Nawasalimu kwa jina la JMT.
Hivi wanajeshi wastaafu wanaruhusiwa kujiunga na vyama vya upinzani katika majukumu yoyote yale?
Watu wa itifaki majawabu Tafadhali!
Hao sio wastaafu ni waasi wamefukuzwa jeshiniNawasalimu kwa jina la JMT.
Hivi wanajeshi wastaafu wanaruhusiwa kujiunga na vyama vya upinzani katika majukumu yoyote yale?
Watu wa itifaki majawabu Tafadhali!
Maana ya uasi unaujua?Hao sio wastaafu ni waasi wamefukuzwa jeshini
Wewe ni Fa.la kabisa, Mkuu wa mambo ya nje wa CCM Kanali Lubinga ni siyo Mwanajeshi?Nawasalimu kwa jina la JMT.
Hivi wanajeshi wastaafu wanaruhusiwa kujiunga na vyama vya upinzani katika majukumu yoyote yale?
Watu wa itifaki majawabu Tafadhali!
Mibambikiaji ina akili za kufananaKumlinda kiongozi wa chama cha upinzani ni kujiunga na chama cha upinzani?
Huyu mtu ameuliza swali la kipumbavu sanaKumlinda kiongozi wa chama cha upinzani ni kujiunga na chama cha upinzani?
Unaelewa maana ya " majukumu yoyote " bwashee?Kumlinda kiongozi wa chama cha upinzani ni kujiunga na chama cha upinzani?
Anzia kwa Askari wanaovaa hadi jezi za ccm na huku bado wako kaziniNawasalimu kwa jina la JMT.
Hivi wanajeshi wastaafu wanaruhusiwa kujiunga na vyama vya upinzani katika majukumu yoyote yale?
Watu wa itifaki majawabu Tafadhali!
Hapana bwashee wanaruhusiwa kujiunga Lumumba tu.Nawasalimu kwa jina la JMT.
Hivi wanajeshi wastaafu wanaruhusiwa kujiunga na vyama vya upinzani katika majukumu yoyote yale?
Watu wa itifaki majawabu Tafadhali!
Hilo pumbavu mleta mada sijui hata lina akili za wapi..Kumlinda kiongozi wa chama cha upinzani ni kujiunga na chama cha upinzani?
Hahahaaaa...... hahahaaaa....... Umeshafura!Huyu mtu ameuliza swali la kipumbavu sana
Hapa nazungumzia vyama vya upinzani bwashee!Yule aliyekuwa msemaji wa JWTZ akateuliwa kuwa kiongozi mwandamizi ccm,imekaaje na swali lako?
Hahahaaaa...... Povu linakutoka sana manka.Hilo pumbavu mleta mada sijui hata lina akili za wapi..
Anaona ni haki na sawa kwa Wanajeshi na Polisi wanavyojiunga CCM..
Lakini hawa jamaa hawakujiunga na upinzani kama ulivyosema bali walipata ajira ya kumlinda Kiongozi wa Upinzani.
Mzee wa sadism is inevitable ππππYule aliyekuwa msemaji wa JWTZ akateuliwa kuwa kiongozi mwandamizi ccm,imekaaje na swali lako?
Majukumu yoyote maana yake ni nini?Unaelewa maana ya " majukumu yoyote " bwashee?
Huu siyo muda wa mbege!
Nawasalimu kwa jina la JMT.
Hivi wanajeshi wastaafu wanaruhusiwa kujiunga na vyama vya upinzani katika majukumu yoyote yale?
Watu wa itifaki majawabu Tafadhali!