The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Swala ni upinza au siasa. Kisheria vyote ni vyama vya siasa na viko sawa. CCM kujiona wako above everything ndiyo inayokuchanganya.Nawasalimu kwa jina la JMT.
Hivi wanajeshi wastaafu wanaruhusiwa kujiunga na vyama vya upinzani katika majukumu yoyote yale?
Watu wa itifaki majawabu Tafadhali!
Ahsante bwashee!..wanaruhusiwa.
..Mmoja wa makamanda walioongoza vita vya Kagera, Maj.General Marco Mwita Marwa jina la kivita " jenerali kambale " aliwahi kuwa mwanachama wa Chadema.
..pia baadhi ya waasisi wa mageuzi ya siasa nchini walikuwa ni wanajeshi wastaafu kwa mfano Capt.Mashaka Nindi Chimoto.
Chimoto ni mmoja wa waasisi wa National Committee for Constitutional Reforms ambayo baadae ilibadilishwa na kusajiliwa kama chama cha siasa.
Inatakiwa itungwe sheria kuzuia wanajeshi wastaafu kuajiriwa kazi ya ulinzi binafsi kwa wanasiasa hasa wale waliokuwa ngazi za 'commissioned officers' na waliopitia mafunzo maalumu ya ukomandoo kuepusha kutengeneza jeshi kivuli liwezalo kupindua nchi bila hivyo kuna kiongozi huenda akapinduliwa muda sio mrefu kwa visingizio vya 'battle confusion' na 'mental health disorder'Nawasalimu kwa jina la JMT.
Hivi wanajeshi wastaafu wanaruhusiwa kujiunga na vyama vya upinzani katika majukumu yoyote yale?
Watu wa itifaki majawabu Tafadhali!
Hapana, wanaruhusiwa kuwa wanaccm tu..Nawasalimu kwa jina la JMT.
Hivi wanajeshi wastaafu wanaruhusiwa kujiunga na vyama vya upinzani katika majukumu yoyote yale?
Watu wa itifaki majawabu Tafadhali!
Hahahaaaa....... Umeshafura manka!Hapana, wanaruhusiwa kuwa wanaccm tu..
Halafu wewe ni qyumer sana mara nyingine
Ndiyo, marehemu Maj General Marwa alijiunga na upinzani akiwa Mstaafu. Kama waziri Mkuu mstaafu anaruhusiwa bila shaka hao nao ni rukhusa tuNawasalimu kwa jina la JMT.
Hivi wanajeshi wastaafu wanaruhusiwa kujiunga na vyama vya upinzani katika majukumu yoyote yale?
Watu wa itifaki majawabu Tafadhali!
Kwenye nchi ipi?Nawasalimu kwa jina la JMT.
Hivi wanajeshi wastaafu wanaruhusiwa kujiunga na vyama vya upinzani katika majukumu yoyote yale?
Watu wa itifaki majawabu Tafadhali!
Jibu swali sasa la kada mwenzakoHao sio wastaafu ni waasi wamefukuzwa jeshini
Muulize na Zelothe wa Police na wapo wengine wengi wa jeshi la Wananchi ma PoliceWewe ni Fa.la kabisa, Mkuu wa mambo ya nje wa CCM Kanali Lubinga ni siyo Mwanajeshi?
Upinzani na CCM kuna tofauti gani?
Kosa lao ni kua wakati Magufuli na Chama dola anapambana kuifuta CHADEMA kwa kutumia Sabaya na Bashite na PoliCCM.Nawasalimu kwa jina la JMT.
Hivi wanajeshi wastaafu wanaruhusiwa kujiunga na vyama vya upinzani katika majukumu yoyote yale?
Watu wa itifaki majawabu Tafadhali!
Ahsante bwashee!
Nawasalimu kwa jina la JMT.
Hivi wanajeshi wastaafu wanaruhusiwa kujiunga na vyama vya upinzani katika majukumu yoyote yale?
Watu wa itifaki majawabu Tafadhali!
Inatakiwa itungwe sheria kuzuia wanajeshi wastaafu kuajiriwa kazi ya ulinzi binafsi kwa wanasiasa hasa wale waliokuwa ngazi za 'commissioned officers' na waliopitia mafunzo maalumu ya ukomandoo kuepusha kutengeneza jeshi kivuli liwezalo kupindua nchi bila hivyo kuna kiongozi huenda akapinduliwa muda sio mrefu kwa visingizio vya 'battle confusion' na 'mental health disorder'
Waulize kwanza Kinana, Mkamba na Luteni Kanali Jakaya Mrisho Kikwete.Nawasalimu kwa jina la JMT.
Hivi wanajeshi wastaafu wanaruhusiwa kujiunga na vyama vya upinzani katika majukumu yoyote yale?
Watu wa itifaki majawabu Tafadhali!