Wanajeshi wastaafu wanaruhusiwa kujiunga na vyama vya Upinzani?

Nawasalimu kwa jina la JMT.

Hivi wanajeshi wastaafu wanaruhusiwa kujiunga na vyama vya upinzani katika majukumu yoyote yale?

Watu wa itifaki majawabu Tafadhali!
Intellectual wa jamii forum hujiulize utakapoandika utapata majibu gani! Angalia sasa unavyoaibishwa! Kwani hukujua kuwa hao wapo wengi ndani ya CCM. Au hukujua kama CCM ni Cha siasa? Mada nyingine zinaonyesha ulivyo kichwani!
 
Nawasalimu kwa jina la JMT.

Hivi wanajeshi wastaafu wanaruhusiwa kujiunga na vyama vya upinzani katika majukumu yoyote yale?

Watu wa itifaki majawabu Tafadhali!
Ndiyo maana yake. Hukumbuki General Waitara alijiunga na CHADEMA huko Mara?
 
..mwisho utashauri tufute jeshi kabisa.

..unafahamu serikali ngapi dunia hii zimepinduliwa na majeshi rasmi vs serikali ngapi zimepinduliwa na askari wastaafu?
Wanaopindua huwa ni wa vyeo vya chini baada ya kushindwa kuvumilia mbinyo kutoka kwa wenye mamlaka lakini viongozi walio karibu nao hawashiriki moja kwa moja
 
Intellectual wa jamii forum hujiulize utakapoandika utapata majibu gani! Angalia sasa unavyoaibishwa! Kwani hukujua kuwa hao wapo wengi ndani ya CCM. Au hukujua kama CCM ni Cha siasa? Mada nyingine zinaonyesha ulivyo kichwani!
Hahahaaaa...... Punguza taarabu tigo!
 
Nawasalimu kwa jina la JMT.

Hivi wanajeshi wastaafu wanaruhusiwa kujiunga na vyama vya upinzani katika majukumu yoyote yale?

Watu wa itifaki majawabu Tafadhali!
Vyama vya upinzani na CCM kuna tofauti gani? Kama mstaafu wa jeshi anaweza kugombea kupitia CCM, why not vyama vya upinzani?? Labda swali lako lingekua "mstaafu wa jeshi, anaruhusiwa kujiunga na chama cha siasa?" bila kujali ni chama gani.
 
Swala ni upinza au siasa. Kisheria vyote ni vyama vya siasa na viko sawa. CCM kujiona wako above everything ndiyo inayokuchanganya.

Anyway, jibu ni SIYO KOSA. Hata Akina Kikwete, Makamba, Kinana. Nahuye, Mahita na wengine wengi tu walikuwa jeshini.
Plus Captain Mkuchika nk nk
 
Nawasalimu kwa jina la JMT.

Hivi wanajeshi wastaafu wanaruhusiwa kujiunga na vyama vya upinzani katika majukumu yoyote yale?

Watu wa itifaki majawabu Tafadhali!
Fafanua maana swali lako ni tata.
Nadhani ungeuliza kama wanaruhusiwa kujiunga na vyama vya siasa,hapa jibu ni wazi
maana kuna wanajeshi wengi tu ni wakuu wa mikoa,na inafahamika kwamba wakuu wa mikoa na wilaya ni makada wa chama tawala.
 
Hii shida yote uliyopata kuelezea, siyo kwamba hajui.

johnthebaptist
 
Kinana na kikwete wale wote walikuwa ni wanajeshi...

Unawazungumziaje nao au hawana uhusiano na swali lako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…