Lucas philipo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2017
- 2,039
- 2,676
Unamaanisha NCCR_MAGEUZI ndugu?..wanaruhusiwa.
..Mmoja wa makamanda walioongoza vita vya Kagera, Maj.General Marco Mwita Marwa, jina la kivita " jenerali kambale," aliwahi kuwa mwanachama wa Chadema.
..pia baadhi ya waasisi wa mageuzi ya siasa nchini walikuwa ni wanajeshi wastaafu, kwa mfano, Capt.Mashaka Nindi Chimoto.
Chimoto ni mmoja wa waasisi wa National Committee for Constitutional Reforms ambayo baadae ilibadilishwa na kusajiliwa kama chama cha siasa.
Kwani ukistaafu hurusiwi kuajiriwa na mwajiri mwingine. Ukistaafu ni sawa na mwanamke aliyepewa talaka au kufiwa anaweza kuolewa na mwanaume mwingine na maisha yakaendelea.Nawasalimu kwa jina la JMT.
Hivi wanajeshi wastaafu wanaruhusiwa kujiunga na vyama vya upinzani katika majukumu yoyote yale?
Watu wa itifaki majawabu Tafadhali!
Wanaopindua huwa ni wa vyeo vya chini baada ya kushindwa kuvumilia mbinyo kutoka kwa wenye mamlaka lakini viongozi walio karibu nao hawashiriki moja kwa moja
Unamaanisha NCCR_MAGEUZI ndugu?
Nawasalimu kwa jina la JMT.
Hivi wanajeshi wastaafu wanaruhusiwa kujiunga na vyama vya upinzani katika majukumu yoyote yale?
Watu wa itifaki majawabu Tafadhali!
Akili yako inakutu ndomana unaulizaga ushuzi!!Nawasalimu kwa jina la JMT.
Hivi wanajeshi wastaafu wanaruhusiwa kujiunga na vyama vya upinzani katika majukumu yoyote yale?
Watu wa itifaki majawabu Tafadhali!
Hahahaaaa...... Manka umechanganya mbege na kimpumu lazima uteseke!Akili yako inakutu ndomana unaulizaga ushuzi!!
Asee Kajambie lumumba eroo kwani lazima ujambie humu? ustuletee ukuda...
Mods wazamu fagia haya matakataka!!!
Ukitaka kujua akili za vitoto vilivyozaliwa kwenye mikesha ya mwenge johnthebaptist ndiye mfano halisi. Amejizolea sifa kem kem humu JF kama mwanzisha mada za kipumbavu nambari one kama kilivyo chama chake CCM.Hilo pumbavu mleta mada sijui hata lina akili za wapi..
Anaona ni haki na sawa kwa Wanajeshi na Polisi wanavyojiunga CCM..
Lakini hawa jamaa hawakujiunga na upinzani kama ulivyosema bali walipata ajira ya kumlinda Kiongozi wa Upinzani.
This is point mwana jiwe ndo chanzo cha haya.jiwe alikuwa mtu wa ovyoo sanaKosa lao ni kua wakati Magufuli na Chama dola anapambana kuifuta CHADEMA kwa kutumia Sabaya na Bashite na PoliCCM.
hawa wangeomba uteuzi wa ukuu wa wilaya, na kuahidi kuwapoteza CHEDEMA, sio kumlinda Mbowe tena
“Huwezi kutusaliti ukasavaivu”
Amelaaniwa yule MFU kwa kweli.
Hivi Tanzania kuna chama cha upinzani? Kingekuwepo wanajeshi wasingekuwa wanakuwa deployed CCM!Nawasalimu kwa jina la JMT.
Hivi wanajeshi wastaafu wanaruhusiwa kujiunga na vyama vya upinzani katika majukumu yoyote yale?
Watu wa itifaki majawabu Tafadhali!
Nawasalimu kwa jina la JMT.
Hivi wanajeshi wastaafu wanaruhusiwa kujiunga na vyama vya upinzani katika majukumu yoyote yale?
Watu wa itifaki majawabu Tafadhali!
Hahahaaaa...... hahahaaaa....... Umeshafura!
we utakuwa mama wa uswahilini... unapumba sanaHahahaaaa...... Manka umechanganya mbege na kimpumu lazima uteseke!
Mbona wanaruhusiwa kujiunga na CCM hadi wanakuja kuwa wabunge? Kangi Lugola ni Polisi mstaafu, kada kindakindaki wa CCM hadi kuwa Waziri wa mambo ya ndani!.Nawasalimu kwa jina la JMT.
Hivi wanajeshi wastaafu wanaruhusiwa kujiunga na vyama vya upinzani katika majukumu yoyote yale?
Watu wa itifaki majawabu Tafadhali!
Bwashe johnthebaptist Zelothe Steven aliyekuwa RPC ktk mikoa kadhaa sasa ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha. Inakuwaje hapo?Muulize na Zelothe wa Police na wapo wengine wengi wa jeshi la Wananchi ma Police
Kumlinda kiongozi wa chama cha upinzani ni kujiunga na chama cha upinzani?
Hauelewi nn ndugu? Hao ndugu"watuhumiwa" wapo walio fukuzwa kwa taarifa wanazo zitoa, wengine wamepata changamoto za kiafya wakiwa kazini kwa Maelezo yao. Wakapoteza sifa za kuendelea kulitumikia jeshi.Hivyo wanaruhusiwa kwa Mujibu wa Sheria za nchi kujitaftia kipato Chao kwa njia halali Kama ilivyo kwa raia wengine.Inatakiwa itungwe sheria kuzuia wanajeshi wastaafu kuajiriwa kazi ya ulinzi binafsi kwa wanasiasa hasa wale waliokuwa ngazi za 'commissioned officers' na waliopitia mafunzo maalumu ya ukomandoo kuepusha kutengeneza jeshi kivuli liwezalo kupindua nchi bila hivyo kuna kiongozi huenda akapinduliwa muda sio mrefu kwa visingizio vya 'battle confusion' na 'mental health disorder'
Acha ujinga! kila mtu ana uhuru wa kuchagua chama akitakacho!! hata ambao hawajastafu, wanaweza kuwa wanachama wa vyama vingine! Ccm muache kuhozi utashi wa watu!Nawasalimu kwa jina la JMT.
Hivi wanajeshi wastaafu wanaruhusiwa kujiunga na vyama vya upinzani katika majukumu yoyote yale?
Watu wa itifaki majawabu Tafadhali!
Wajiunge mara ngapi?Nawasalimu kwa jina la JMT.
Hivi wanajeshi wastaafu wanaruhusiwa kujiunga na vyama vya upinzani katika majukumu yoyote yale?
Watu wa itifaki majawabu Tafadhali!