Wanajeshi wawili wa Tanzania washikiliwa DRC kupisha uchunguzi wa mauaji ya raia

Nimekukosea nini wewe mtoto wa mbwa, umevamia JF ukidhani ndiyo sehemu sahihi kwako kutukania watu, huo si ujanja.
Tukio zima lilioneshwa hai wakati likitokea nami nililiona.
 
Kama vipi tuondoe watu wetu ,wabaki wanapigana Kenge Hao..

Ndio maana mbunge fulani alisema watoto wetu wanateseka huko kwao wao wanakula Bata haps Tanzania.
 
Atakuwa ndugu yako PAKA ndo michezo yake

Leo mbona hamjitokezi Kunidhihaki na Kunishambulia GENTAMYCINE kama mlivyozoea?

Ndiyo maana Kutwa huwa Ninawadharau mno hapa yaani Askari ( Wanajeshi ) wa Tanzania wanaounda Kikosi cha MONUSCO huko Congo DR ndiyo Wameua na hata UN General Secretary amekiri hivyo,

Wameshakamatwa na kampigia Simu Rais wa Congo DR kumuomba Radhi Wewe Mswahili usiye na Akili unakimbilia Kusema ni Rais Paul Kagame wa Rwanda ndiyo kafanya hayo na tatizo huko.

Hivi Wewe na UN nani ana mkono mrefu? Hivi kama Rwanda na Rais Kagame wamehusika na haya Mauwaji ya Raia wa Congo DR ( yanayowahusisha Wanajeshi kutoka Tanzania ) angeogopa nini Kusema? UN inaigopa Rwanda na Rais Kagame?

Siku zingine ukiona GENTAMYCINE nimeanzisha Uzi (Thread) hapa JamiiForums nakushauri kutokana na Upumbavu wako usiwe Unachagia bali waache wenye Akili Kubwa (Great Thinker) wauchangie sawa?
 
Congo mashariki Katu haiwezi tulia hadi PAKA akifa, kwann pande zingine zipo OK
Maelezo ya Kiupumbavu kama hili ( haya ) kutoka Kwa Mpumbavu niliyategemea sana tu.

Leo mbona hamjitokezi Kunidhihaki na Kunishambulia GENTAMYCINE kama mlivyozoea?

Angalia ulivyo Mpumbavu na ndiyo maana Kutwa huwa Ninawadharau mno hapa yaani Askari ( Wanajeshi ) wa Tanzania wanaounda Kikosi cha MONUSCO huko Congo DR ndiyo Wameua na hata UN General Secretary amekiri hivyo, Wameshakamatwa na kampigia Simu Rais wa Congo DR kumuomba Radhi Wewe Mswahili usiye na Akili unakimbilia Kusema ni Rais Paul Kagame wa Rwanda ndiyo kafanya hayo na tatizo huko.

Hivi Wewe Mpumbavu Mmoja wa Kiswahili na UN nani ana mkono mrefu? Hivi kama Rwanda na Rais Kagame wamehusika na haya Mauwaji ya Raia wa Congo DR ( yanayowahusisha Wanajeshi kutoka Tanzania ) angeogopa nini Kusema? UN inaigopa Rwanda na Rais Kagame?

Siku zimgine ukiona GENTAMYCINE nimeanzisha Uzi ( Thread ) hapa JamiiForums nakushauri kutokana na Upumbavu wako usiwe Unachagia bali waache wenye Akili Kubwa ( Great Thinker ) wauchangie sawa?
 
Fiston Gentamycine Kalala Mayele
Yeah ndiyo Mimi Mkuu. Hii Mada ingekuwa inasema Askari ( Wanajeshi ) wa Rwanda ( RDF ) ndiyo Wamewaua hao Raia wa Congo DR nakuhakikishia mpaka hivi sasa tungekuwa tuko page ya 73 au 111 kwa MImi, Rais Kagame na Rwanda ( Wanyarwanda ) Kushambuliwa.

Leo limewakuta wenye Chuki na PK.
 
Wewe huaminiki na hizi taarifa zako za kusikiliza maredio! Labda kama safati hii umesikiliza hiyo redio huku ukiwa huna mawenge. Kinyume na hapo, lazima tu utuvuruge kama kawaida yako.

Si ndiyo wewe uliyechanganya madesa pale juzi kati kwenye uteuzi wa wakuu wa Mikoa! Ulisikiliza redio ukiwa na mawenge yako! Ukaleta uzi wa Fatma Nyangasa kuteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro! Badala ya Fatma Mwasa.
 
Nimekukosea nini wewe mtoto wa mbwa, umevamia JF ukidhani ndiyo sehemu sahihi kwako kutukania watu, huo si ujanja.
Tukio zima lilioneshwa hai wakati likitokea nami nililiona.
Acha fix wewe, eti Ulikuwepo 😂 🤣. Nyie ndio hawa mliopo Buza halafu mnaripoti kutoka Kiev na Mouriopoh nchini Ukraine.
 
Wamezoea kuzuia maandamano kwa mtutu wa bunduki huku nyumbani ngoja wapambane na hali yao sasa!
 
ningekuwa mkuu wa intelligence, ilitakiwa ukamatwe wewe ufanyiwe torture Hadi Basi, mkuu wewe unaishi Tanzania, lakini una chuki na Tanzania, askari unaowachukia na kuwaombea madhila ndio wanaokulinda masaa 24hrs, nashangaa wanakuvumilia aisee au JF hawatoi ushirikiano
 
Walidhani tumetuma mabwana shamba kule ,waliuwa kujilinda ,wakocongo wakajilinde wenyewe sasa

USSR

Askari wengi wa Tanzania akili yao kubwa ni kuua watu wanaoandamana, hiyo tabia pia huwa tunaiona sana hapa.
 
Mungu wabariki na uwalinde Askari wetu, ndugu zetu wanaowalinda Jirani zetu Kwa UPENDO mkuu.

Ameeeen.
 
Naungana na wakongo kwamba hao monusco waondoketu sababu pamoja na uwepo wao bado machafuko hayaishi.

Kwaupande mwingine nipo pamoja na wanajeshi wetu hao kwakuwa wanahaki ya kujilinda katika mazingira magumu kama hayo,sababu kunataarifa kwamba wanajeshi kadhaa wa monusco wameuwawa kwenye hizo ghasia kwahiyo mazingira kama hayo yana sababisha hao wanajeshi wa Monusco kujilinda kikamilifu pia.

Swala lakuondoka amakubaki ni jukumu la mabosiwao kutoa maagizo kwa vikosi kuondoka ama kubaki na sio jukumu la mwanajeshi kuondoka katika eneo alilo pangiwa.
 
Bora askari wetu warejeshwe nchini tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…