Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekukosea nini wewe mtoto wa mbwa, umevamia JF ukidhani ndiyo sehemu sahihi kwako kutukania watu, huo si ujanja.Huna unalolijua, bwege wewe. Ingetokea hao waandamanaji kuwauwa hao Askari wetu bado mngesema Askari wetu wamekaa kindezi tu. Maandamano yanayoendelea huko unaambiwa yamesababisha walinda amani kadhaa kupigwa risasi na kufa. Mimi siamini hao askari wetu wamekurupuka tu
Kama vipi tuondoe watu wetu ,wabaki wanapigana Kenge Hao..Afisa mmoja wa Umoja wa Mataifa amewaambia waandishi wa habari kuwa askari walinda amani wa MONISCO waliokamatwa siku ya jumapili ni kutoka Tanzania, wamekamatwa kupisha uchunguzi wa mauaji ya waandamanaji raia wa Congo.
Tangu kuzuka kwa maandamano ya kupinga walinda amani nchini DRC askari watano wameuwa, waliouwawa ni wahindi wawili, wamoroco wawili na moja aliuwawa peke yako na utaifa wake haukawekwa wazi ambao wote hawajafanya kazi zaidia ya miezi sita.
Maandamanaji wamekuwa wakivamia kambi za askari walinda amani wakishinikiza waondoke kwa kuwa wameshindwa kuleta amani kwa miaka kadhaa huku hali ikizidi kudhorota mashariki mwa Congo.
========
Afisa wa ngazi za juu wa Umoja wa Mataifa ameiambia BBC kwamba walinda amani waliokamatwa siku ya Jumapili kwa kuwapiga risasi watu wawili hadi kufa katika mpaka kati ya Congo na Uganda walikuwa wanatoka Tanzania.
Haya ni kwa mujibu wa, Naibu Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa MONUSCO, Khassim Diagne, aliyezungumza na BBC
Umoja wa Mataifa umeshtumu vikali shambulio hilo ambapo watu 15 walijeruhiwa .
Katika kipindi cha juma moja lililopita takriban watu 20 wamefariki katika maandamano ya ghasiadhidi ya walinda amani wa Umoja wa Mataifa wanaojulikana kama MONUSCO .
Raia wengi wa DR Congo wamewashtumu walinda amani hao kwa kushindwa kuwalinda raia kutokana na mashambulizi yanayotekelezwa na waasi.
Huku shambulizi hilo la siku ya Jumapili likitarajiwa kuliharibia sifa jeshi hilo la Umoja wa mataifa , wanahabari wanasema vurugu zimejitokeza kutokana na kile wakazi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wanaona kushindwa kwa kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa kusitisha mashambulizi ya makundi yenye silaha katika eneo hilo na kusababisha maandamano makali wiki iliyopita.
Waandamanaji hao walishambulia kambi mbili za Umoja wa Mataifa huko Goma na Butembo, ambapo walinda amani wanne wa Umoja wa Mataifa waliuawa.
Walinda amani wawili kati ya hao walikuwa raia wa Morocco na wengine wawili walikuwa Wahindi, wote walikuwa wamefanya kazi nchini DR Congo kwa Umoja wa Mataifa kwa muda wa chini ya miezi sita - huku mmoja wa waliouawa akiwa amekaa kwa miezi miwili na siku 22 pekee.
Mwezi Juni vikosi vya kulinda amani vya Umoja wa Mataifa viliondoka katika jimbo tofauti la mashariki - Tanganyika - baada ya kile walichokieleza kuwa kuimarika kwa hali ya usalama.
Chanzo: BBC
Atakuwa ndugu yako PAKA ndo michezo yake
Maelezo ya Kiupumbavu kama hili ( haya ) kutoka Kwa Mpumbavu niliyategemea sana tu.Congo mashariki Katu haiwezi tulia hadi PAKA akifa, kwann pande zingine zipo OK
Yeah ndiyo Mimi Mkuu. Hii Mada ingekuwa inasema Askari ( Wanajeshi ) wa Rwanda ( RDF ) ndiyo Wamewaua hao Raia wa Congo DR nakuhakikishia mpaka hivi sasa tungekuwa tuko page ya 73 au 111 kwa MImi, Rais Kagame na Rwanda ( Wanyarwanda ) Kushambuliwa.Fiston Gentamycine Kalala Mayele
Acha fix wewe, eti Ulikuwepo 😂 🤣. Nyie ndio hawa mliopo Buza halafu mnaripoti kutoka Kiev na Mouriopoh nchini Ukraine.Nimekukosea nini wewe mtoto wa mbwa, umevamia JF ukidhani ndiyo sehemu sahihi kwako kutukania watu, huo si ujanja.
Tukio zima lilioneshwa hai wakati likitokea nami nililiona.
Wamezoea kuzuia maandamano kwa mtutu wa bunduki huku nyumbani ngoja wapambane na hali yao sasa!Afisa mmoja wa Umoja wa Mataifa amewaambia waandishi wa habari kuwa askari walinda amani wa MONISCO waliokamatwa siku ya jumapili ni kutoka Tanzania, wamekamatwa kupisha uchunguzi wa mauaji ya waandamanaji raia wa Congo.
Tangu kuzuka kwa maandamano ya kupinga walinda amani nchini DRC askari watano wameuwa, waliouwawa ni wahindi wawili, wamoroco wawili na moja aliuwawa peke yako na utaifa wake haukawekwa wazi ambao wote hawajafanya kazi zaidia ya miezi sita.
Maandamanaji wamekuwa wakivamia kambi za askari walinda amani wakishinikiza waondoke kwa kuwa wameshindwa kuleta amani kwa miaka kadhaa huku hali ikizidi kudhorota mashariki mwa Congo.
========
Afisa wa ngazi za juu wa Umoja wa Mataifa ameiambia BBC kwamba walinda amani waliokamatwa siku ya Jumapili kwa kuwapiga risasi watu wawili hadi kufa katika mpaka kati ya Congo na Uganda walikuwa wanatoka Tanzania.
Haya ni kwa mujibu wa, Naibu Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa MONUSCO, Khassim Diagne, aliyezungumza na BBC
Umoja wa Mataifa umeshtumu vikali shambulio hilo ambapo watu 15 walijeruhiwa .
Katika kipindi cha juma moja lililopita takriban watu 20 wamefariki katika maandamano ya ghasiadhidi ya walinda amani wa Umoja wa Mataifa wanaojulikana kama MONUSCO .
Raia wengi wa DR Congo wamewashtumu walinda amani hao kwa kushindwa kuwalinda raia kutokana na mashambulizi yanayotekelezwa na waasi.
Huku shambulizi hilo la siku ya Jumapili likitarajiwa kuliharibia sifa jeshi hilo la Umoja wa mataifa , wanahabari wanasema vurugu zimejitokeza kutokana na kile wakazi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wanaona kushindwa kwa kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa kusitisha mashambulizi ya makundi yenye silaha katika eneo hilo na kusababisha maandamano makali wiki iliyopita.
Waandamanaji hao walishambulia kambi mbili za Umoja wa Mataifa huko Goma na Butembo, ambapo walinda amani wanne wa Umoja wa Mataifa waliuawa.
Walinda amani wawili kati ya hao walikuwa raia wa Morocco na wengine wawili walikuwa Wahindi, wote walikuwa wamefanya kazi nchini DR Congo kwa Umoja wa Mataifa kwa muda wa chini ya miezi sita - huku mmoja wa waliouawa akiwa amekaa kwa miezi miwili na siku 22 pekee.
Mwezi Juni vikosi vya kulinda amani vya Umoja wa Mataifa viliondoka katika jimbo tofauti la mashariki - Tanganyika - baada ya kile walichokieleza kuwa kuimarika kwa hali ya usalama.
Chanzo: BBC
ningekuwa mkuu wa intelligence, ilitakiwa ukamatwe wewe ufanyiwe torture Hadi Basi, mkuu wewe unaishi Tanzania, lakini una chuki na Tanzania, askari unaowachukia na kuwaombea madhila ndio wanaokulinda masaa 24hrs, nashangaa wanakuvumilia aisee au JF hawatoi ushirikianoWiki iliyopita GENTAMYCINE nilianzisha Uzi wa 'Kufumba' hapa JamiiForums ( nashukuru Werevu baadhi walinielewa nilichokuwa nakilenga ) na kuitaka nchi Moja ikatoe Askari.wake wa Kulinda Amani wanaounda Kikosi cha MONUSCO huko Congo DR ila nikaambulia Dhihaka nyingi na Kuonekana nina Chuki na hiyo nchi pamoja na Rais wake.
Taarifa ikufikie kuwa Umoja wa Mataifa kupitia Katibu Mkuu wake Umesikitishwa na Kitendo cha Wanajeshi wa Tanzania ( JWTZ ) wanaounda sehemu ya Jeshi la Kulinda Amani la MONUSCO kwa Makusudi Kuua Raia Wawili wa Congo DR ( mpaka wa Congo DR na Uganda ) katika Maandamano ya kutowataka Wao ( MONUSCO ) kuendelea kuwepo huko.
Kwa mujibu wa Afisa kutoka UN ni kwamba tayari Wanajeshi hao kutoka Tanzania wa JWTZ wanaounda Kikosi cha MONUSCO walioua Wameshakamatwa na taratibu zingine za Kinidhamu zinaendelea.
Haya tunaomba pia Serikali ya Tanzania, Balozi wa Tanzania nchini Congo DR na hata JWTZ litoe Tamko na Wote hawa Wasione Aibu Kukiri na Kuwaomba Radhi Wakongo na hata Watanzania kwani tayari Tukio hili limeshaichafua Tanzania.
Taarifa hii ( ya hili Tukio ) GENTAMYCINE nimeitoa ( nimeisikia ) kutoka Amka na BBC Asubuhi hii ya Leo tarehe 2 August, 2022.
Nimalizie tu kwa kutoa Pongezi zangu za dhati kwa Majeshi ya Kenya, Uganda na Rwanda ambayo nayo yana Wanajeshi wao huko MONUSCO kwa kuwa na Nidhamu na Maadili ya Kijeshi kiasi cha Kutolalamikiwa na Raia wa Congo DR au hata kutakiwa Kuondoka huko kama wanavyotakiwa Kuondoka Askari ( Wanajeshi ) wa MONUSCO wanaotokea nchini Tanzania.
Haya kawaondoeni upesi Askari wenu huko Congo DR kwani Raia wa Congo DR hawawataki na hawawapendi kutokana na tabia yao ya Kuua Raia hovyo badala ya Kuua Waasi ambao Wamejaa huko na kila Siku Wanatesa Watu.
Walidhani tumetuma mabwana shamba kule ,waliuwa kujilinda ,wakocongo wakajilinde wenyewe sasa
USSR
Kama vipi tuondoe watu wetu ,wabaki wanapigana Kenge Hao..
Ndio maana mbunge fulani alisema watoto wetu wanateseka huko kwao wao wanakula Bata haps Tanzania.
Mungu wabariki na uwalinde Askari wetu, ndugu zetu wanaowalinda Jirani zetu Kwa UPENDO mkuu.Afisa mmoja wa Umoja wa Mataifa amewaambia waandishi wa habari kuwa askari walinda amani wa MONISCO waliokamatwa siku ya jumapili ni kutoka Tanzania, wamekamatwa kupisha uchunguzi wa mauaji ya waandamanaji raia wa Congo.
Tangu kuzuka kwa maandamano ya kupinga walinda amani nchini DRC askari watano wameuwa, waliouwawa ni wahindi wawili, wamoroco wawili na moja aliuwawa peke yako na utaifa wake haukawekwa wazi ambao wote hawajafanya kazi zaidia ya miezi sita.
Maandamanaji wamekuwa wakivamia kambi za askari walinda amani wakishinikiza waondoke kwa kuwa wameshindwa kuleta amani kwa miaka kadhaa huku hali ikizidi kudhorota mashariki mwa Congo.
========
Afisa wa ngazi za juu wa Umoja wa Mataifa ameiambia BBC kwamba walinda amani waliokamatwa siku ya Jumapili kwa kuwapiga risasi watu wawili hadi kufa katika mpaka kati ya Congo na Uganda walikuwa wanatoka Tanzania.
Haya ni kwa mujibu wa, Naibu Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa MONUSCO, Khassim Diagne, aliyezungumza na BBC
Umoja wa Mataifa umeshtumu vikali shambulio hilo ambapo watu 15 walijeruhiwa .
Katika kipindi cha juma moja lililopita takriban watu 20 wamefariki katika maandamano ya ghasiadhidi ya walinda amani wa Umoja wa Mataifa wanaojulikana kama MONUSCO .
Raia wengi wa DR Congo wamewashtumu walinda amani hao kwa kushindwa kuwalinda raia kutokana na mashambulizi yanayotekelezwa na waasi.
Huku shambulizi hilo la siku ya Jumapili likitarajiwa kuliharibia sifa jeshi hilo la Umoja wa mataifa , wanahabari wanasema vurugu zimejitokeza kutokana na kile wakazi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wanaona kushindwa kwa kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa kusitisha mashambulizi ya makundi yenye silaha katika eneo hilo na kusababisha maandamano makali wiki iliyopita.
Waandamanaji hao walishambulia kambi mbili za Umoja wa Mataifa huko Goma na Butembo, ambapo walinda amani wanne wa Umoja wa Mataifa waliuawa.
Walinda amani wawili kati ya hao walikuwa raia wa Morocco na wengine wawili walikuwa Wahindi, wote walikuwa wamefanya kazi nchini DR Congo kwa Umoja wa Mataifa kwa muda wa chini ya miezi sita - huku mmoja wa waliouawa akiwa amekaa kwa miezi miwili na siku 22 pekee.
Mwezi Juni vikosi vya kulinda amani vya Umoja wa Mataifa viliondoka katika jimbo tofauti la mashariki - Tanganyika - baada ya kile walichokieleza kuwa kuimarika kwa hali ya usalama.
Chanzo: BBC
Endeleeni tu Kunichukulia poa sawa?KUMBE ULISEMA ZA NDAAAANI KABISAA