Wanajeshi wetu wanajisikiaje??

Alafu sisi mother anaenda kwao mpaka kina mange wanamshika ushungi apige nao picha.
wahuni na abiria wengine wanakatiza hapo pembeni[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Eeh!!mgeni kama wingu la mvua. If you know you know
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kheeeeh wee mie nisichekee kisa nn?? Hebu niachee, makasiriko yako huko huko, hainihusu.
Hamna anayekuzuia kucheka, Shida ni kwamba unaquote comment ya mtu kwa emoji [emoji848] huku watu wanajenga hoja sasa unamkata stimu yule anayechukua nondo anakuta umecomment emoji
 
Sasa sisi bongo tutafanyaje USA ili hali hata wakienda kutembea ulaya ambapo pia wanatupa misaada km yote ila USA pia wanaenda na walinzi wao.

Acha tuwatizame tu.
 
Mwenye nguvu muite PAWA
 
Marekani taifa kubwa mno hivyo hakuna tatizo wao kujisimamia kiulinzi.
Mgeni anajisimamiaje kiulinzi Nyumbani kwako wakati wwe mwenyeji ndiyo unzijua chochoroo zote za Nyumbani kwako!!?
 
Hiyo ni kawaida, na mifumo yote ya Serikali inajuwa. Siyo mara ya kwanza hilo kutokea kwani hata George Bush Jr, na Barack Obama walipokuja security protocol ilibadilika. Mind you USA ndiyo dunia
Wewe ni zile type unaweza kuonewa na Tajiri au Kiongozi ukasema ni kawaida , mifumo ya dunia ipo hivyo kwahiyo na mwachia Mungu.
 
Ina maana Usa akienda hata nchi za Ulaya napo anafanya kama alivyofanya huku bongo??
Hapana, kuna nchi wanaziamini suala la ulinzi linajitosheleza, kwa nchi nyingine za kiafrica ulinzi bado uko vhini kitecnolojia
 
Wanajeshi wanalinda mipaka ya nchi, labda swali lako lingeenda kwa Polisi na vyombo vingine vya ulinzi wa ndani
Airport zote ni military base ndiyo maana kunakua airbase near by, mfano uko dhahili hapo airwing,radar system ilikua under close monitoring of us Navy and seal team.
 
Are you talking about a Cat [emoji250] au?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wewe ni zile type unaweza kuonewa na Tajiri au Kiongozi ukasema ni kawaida , mifumo ya dunia ipo hivyo kwahiyo na mwachia Mungu.
Kama wewe ni kapuku huna lolote juu ya tajiri. Mwenye ngyvu mpishe
 
States ndio dunia yenyewe ndugu yangu japo roho inaniuma kuonekana sisi sio lolote

Roho huwa inaniuma sana
 
Wao wanalinda eneo sisi tunalinda mtu,ni kama mpira wao hukaba nafasi ya adui asipige sisi tunafuata mpira unakoelekea.
Kwa hiyo kama ni shambulizi sisi tunakimbilia paliposhambuliwa na sio palipo toka shambulio.
 
Hamna anayekuzuia kucheka, Shida ni kwamba unaquote comment ya mtu kwa emoji [emoji848] huku watu wanajenga hoja sasa unamkata stimu yule anayechukua nondo anakuta umecomment emoji
Ukiona hivyo ujue inanchekeshaa kwangu binafsiii.
Sorry lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…