WanaJF inatakiwa tuonane jamani

kweli kabisa,

Nakumbuka zamani tuliwahi kuwa na Chai day( search humu imo), tulikuwa tunakutana na kunywa pamoja huku tukijadili ujasiria mali. Ndipo nilipoonana na Max uso kwa uso, siku tamu zile hazitarudi.
 
Tukutane Weekend moja ila tufahamiane kwa Majina halisi tu na sio Majina ya huku jf[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…