Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila we Dr bhana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kweli kabisa,Siyo kwa ubaya bali kwa mema tu...tupange ratiba ya kuonana hata Mara mbili kwa mwaka....tunaonana kwa ajili ya kufurahi,kubadilishana mawazo,kubadilisha mazingira,kupeana michongo na vingine vingi visivyo na madhara.
Tusibaguane wala kuweka matabaka ...Mali ni zetu lakini uhai si Mali yetu bas muda huu tupo hai tutengeneze aman na upendo sisi kwa sisi.Tanzania ni yetu bas tusitengane wandugu.NAWAPENDA SANA!
Nn tatizo mrembo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila we Dr bhana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ungewaelezea wewe unaejua zaidi mkuu maana mimi sina kumbukumbu na ulichokiandika.
Hakna hata yaan lol. [emoji23][emoji23][emoji23]Nn tatizo mrembo?
Tukutane ijumaa tukale biriani.Aunt mic u saana, sisi tukutane wapi? [emoji4][emoji4][emoji4]
Huyo
Sijui huwa wanaogopa niniWatu wanaogopa kukutana humu!sijui kwa nini!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Fanya urudi kutoka Dom makutano kama kawaida[emoji2][emoji2][emoji2]kuna chimbo letu pale kumekucha@Shunie@Mzigua mmewamis mnoo!!!mnooooo!!!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Fanya ukuje WhatsApp kunielekeza si unajua karibu na nilipo au pale bondeni loungePale walifunga siku nyingi. Kuna chimbo tutaenda siku liko Kijitonyama nao mkono wa mapishi wanajitahidi
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Unakaa wap kwanza ,jinsia!?😂Dah!hamna hata anaetamani kukutana na mm [emoji22][emoji22]
Watu wanaogopa kukutana humu!sijui kwa nini!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Where are u ,tukutane😂😂Watu wanaogopa kukutana humu!sijui kwa nini!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Kumbeee!!!!safi sana nkija ntakushtua!!Pale walifunga siku nyingi. Kuna chimbo tutaenda siku liko Kijitonyama nao mkono wa mapishi wanajitahidi
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Njoo Dom!!Mi mwenyewe natamani nikuone wewe hapo