WanaJF inatakiwa tuonane jamani

WanaJF inatakiwa tuonane jamani

Siyo kwa ubaya bali kwa mema tu...tupange ratiba ya kuonana hata Mara mbili kwa mwaka....tunaonana kwa ajili ya kufurahi,kubadilishana mawazo,kubadilisha mazingira,kupeana michongo na vingine vingi visivyo na madhara.

Tusibaguane wala kuweka matabaka ...Mali ni zetu lakini uhai si Mali yetu bas muda huu tupo hai tutengeneze aman na upendo sisi kwa sisi.Tanzania ni yetu bas tusitengane wandugu.NAWAPENDA SANA!
Muulize Mzigua90 akueleze ubaya wa kukutana
 
Sasa hata niandike mimi ni msagaji usagaji wangu wewe unakudhuru nn...just read it,comment then move on na mambo mengine.Huwez ukatajirika kwa kuishupalia tabia ya member wa jf
Wewe dada tuonane basi
 
Back
Top Bottom