WanaJF, kwa nini tusiweke mpango wa kusaidiana katika matukio mbalimbali

WanaJF, kwa nini tusiweke mpango wa kusaidiana katika matukio mbalimbali

Ili iweje? Pambana tafuta maisha yako mwenyewe,

wewe umejiunga juzi tu humu unadhani walioanza toka 2009 huko hawajawahi kufikiria hilo?

Hakuna kitu kama hicho kijana anonymity izingatiwe
 
Humu wapo wanao saidiana na wapo wanao juana

Ila jiulize wamefahamia kwa njia gani? Mimi sijui

Wazo linaweza kuwa zur ila jiulize kwanini tunatumia ID feki na si majina halisi kama ilivyo mitandao mingine

Ukipata jibu na utakuwa umepata jibu la wazo lako
 
nafkiri tukiweka utaratibu mzuri tutafikia malengo ya kujuana kiundani
 
Afadhali hao kwa sababu unamjua hata kesho asiweze kukufanyia unyang'au. Leo tumekuchangia ukabadilisha ID unataka kuchangiwa tena tunakujuaje?
kabla ya msaada kutoka au mchango utaratibu wa kumfahamu mtu unakuwepo na kama watakuwepo wana jf walio karibu na mtaa wako wata fika kukupa pole au pongez
 
nafkiri tukiweka utaratibu mzuri tutafikia malengo ya kujuana kiundani
Mkuu kujuana ni rahisi kulingana na watu unao hitaji kujuana nao

Ila kiuharisi ni ngumu kuliko unavyo fikiria maana humu kila mtu amejiunga kwa lengo lake

Sasa jipe muda kutafakari jambo lako kuwa je kwanini watu hawataki kufahamika ikiwa wana mawazo mazuri yanayo tujenga wote?

Chukua nafasi ya kutafakari wazo lako

Kwanini unatumia jina feki na si jina lako halisi
 
Ili iweje? Pambana tafuta maisha yako mwenyewe,

wewe umejiunga juzi tu humu unadhani walioanza toka 2009 huko hawajawahi kufikiria hilo?

Hakuna kitu kama hicho kijana anonymity izingatiwe
usiseme hakuna kitu kama hicho, we sema huwezi kwakua fikra zako nazo ndio mwisho wake, alafu swala la kujiunga muda mrefu au mfupi sio tija wala kigezo cha maarifa , hekima, na utambuzi acha uboya wa mawazo, unaweza ukawa umejiunga 2000 na mpka leo huna kinacho weza kua una mafanikio yoyote
 
Mkuu kujuana ni rahisi kulingana na watu unao hitaji kujuana nao

Ila kiuharisi ni ngumu kuliko unavyo fikiria maana humu kila mtu amejiunga kwa lengo lake

Sasa jipe muda kutafakari jambo lako kuwa je kwanini watu hawataki kufahamika ikiwa wana mawazo mazuri yanayo tujenga wote?

Chukua nafasi ya kutafakari wazo lako

Kwanini unatumia jina feki na si jina lako halisi
n kwa ajili ya nakshi ya kimtandao
 
ahsalamu
kwenu wapendwa wa mtandao wetu pendwa jf,,,,,,
katika kukaa na kufikiri nikapata wazo zuri na lenye tija kwa kila mtu humu ndani kama tuki litekeleza na kulifanyia kazi kwani lita jenga umoja na ushirikiano na kusababisha wengine wote kuiga,
jambo langu ni kwamba tuweke utaratibu wa kutoa pole, pongezi kwa maswala nyeti ya kimaisha kwa members pindi wanapo pitia wakati mgumu kama wa msiba, kufiwa au hata kufilisika kiuchumi,,,
na piaa uwepo utaratibu wa kutoa pongez njema kwa wale wanao pitia na kuweza kuoa, kuolewa kupanda cheo kazin, kupanda daraja kimaisha na kuajiriwa,
kwa kufanya hivyo itatuweka wote pamoja,
katika kufanya hivyo kuwe na utaratibu wa rambi rambi kwa mfiwa wau mchango kwa mfanikiwa,
ili kuwatia moyo hawa wana jamii wenzetu
nawasilisha,,,,,,
Jiunge na kikundi cha mttani kweni ili uweze kusaidiwa kirahisi. Humu watu hawataki kujuikana kabisa, na hawana mpango na huo mpango wako wa kibashite.
 
Ili iweje? Pambana tafuta maisha yako mwenyewe,

wewe umejiunga juzi tu humu unadhani walioanza toka 2009 huko hawajawahi kufikiria hilo?

Hakuna kitu kama hicho kijana anonymity izingatiwe
Akwende zake, katumwaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom