Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mtu usiyemjua nia njema yake unajuaje? vitu vingine msilazimishehaina ubaya ni kwa nia njema ya kibinadamu
Saidiana na jamii iliyokuzunguka sio JFacha kua mbinafsi roho mbaya haijengi
Afadhali hao kwa sababu unamjua hata kesho asiweze kukufanyia unyang'au. Leo tumekuchangia ukabadilisha ID unataka kuchangiwa tena tunakujuaje?kwani hata hao unao wajua mbona wengi ni manyang'au
nafkiri tukiweka utaratibu mzuri tutafikia malengo ya kujuana kiundaniHumu wapo wanao saidiana na wapo wanao juana
Ila jiulize wamefahamia kwa njia gani? Mimi sijui
Wazo linaweza kuwa zur ila jiulize kwanini tunatumia ID feki na si majina halisi kama ilivyo mitandao mingine
Ukipata jibu na utakuwa umepata jibu la wazo lako
kabla ya msaada kutoka au mchango utaratibu wa kumfahamu mtu unakuwepo na kama watakuwepo wana jf walio karibu na mtaa wako wata fika kukupa pole au pongezAfadhali hao kwa sababu unamjua hata kesho asiweze kukufanyia unyang'au. Leo tumekuchangia ukabadilisha ID unataka kuchangiwa tena tunakujuaje?
Mkuu kujuana ni rahisi kulingana na watu unao hitaji kujuana naonafkiri tukiweka utaratibu mzuri tutafikia malengo ya kujuana kiundani
usiseme hakuna kitu kama hicho, we sema huwezi kwakua fikra zako nazo ndio mwisho wake, alafu swala la kujiunga muda mrefu au mfupi sio tija wala kigezo cha maarifa , hekima, na utambuzi acha uboya wa mawazo, unaweza ukawa umejiunga 2000 na mpka leo huna kinacho weza kua una mafanikio yoyoteIli iweje? Pambana tafuta maisha yako mwenyewe,
wewe umejiunga juzi tu humu unadhani walioanza toka 2009 huko hawajawahi kufikiria hilo?
Hakuna kitu kama hicho kijana anonymity izingatiwe
n kwa ajili ya nakshi ya kimtandaoMkuu kujuana ni rahisi kulingana na watu unao hitaji kujuana nao
Ila kiuharisi ni ngumu kuliko unavyo fikiria maana humu kila mtu amejiunga kwa lengo lake
Sasa jipe muda kutafakari jambo lako kuwa je kwanini watu hawataki kufahamika ikiwa wana mawazo mazuri yanayo tujenga wote?
Chukua nafasi ya kutafakari wazo lako
Kwanini unatumia jina feki na si jina lako halisi
Jiunge na kikundi cha mttani kweni ili uweze kusaidiwa kirahisi. Humu watu hawataki kujuikana kabisa, na hawana mpango na huo mpango wako wa kibashite.ahsalamu
kwenu wapendwa wa mtandao wetu pendwa jf,,,,,,
katika kukaa na kufikiri nikapata wazo zuri na lenye tija kwa kila mtu humu ndani kama tuki litekeleza na kulifanyia kazi kwani lita jenga umoja na ushirikiano na kusababisha wengine wote kuiga,
jambo langu ni kwamba tuweke utaratibu wa kutoa pole, pongezi kwa maswala nyeti ya kimaisha kwa members pindi wanapo pitia wakati mgumu kama wa msiba, kufiwa au hata kufilisika kiuchumi,,,
na piaa uwepo utaratibu wa kutoa pongez njema kwa wale wanao pitia na kuweza kuoa, kuolewa kupanda cheo kazin, kupanda daraja kimaisha na kuajiriwa,
kwa kufanya hivyo itatuweka wote pamoja,
katika kufanya hivyo kuwe na utaratibu wa rambi rambi kwa mfiwa wau mchango kwa mfanikiwa,
ili kuwatia moyo hawa wana jamii wenzetu
nawasilisha,,,,,,
Akwende zake, katumwaaaaaaaaaaaaaaaaIli iweje? Pambana tafuta maisha yako mwenyewe,
wewe umejiunga juzi tu humu unadhani walioanza toka 2009 huko hawajawahi kufikiria hilo?
Hakuna kitu kama hicho kijana anonymity izingatiwe
Sawa tuendelee na hiyo nakshi ya mtandao sio sura kama fbn kwa ajili ya nakshi ya kimtandao