Adverse Effect
JF-Expert Member
- Oct 8, 2017
- 3,700
- 9,570
Mbona wao wanavunja Sheria! Kumsukuma Lissu sio kuvunja Sheria? Kuingia na mavazi ya nijab au ninja si kuvunja Sheria? Watu wamechoka kama mbwai iwe mbwai tu.Kufanya hivyo inaweza kutafsiriwa kama umevunja sheria.
Unataka kumpigia au kumtumia ujumbe mfupi wa SMS?N
Naomba kwanza namba za Nassoro Katuga
Mob justice ndio suluhisho pekee kwa sasa sababu mahakama zimeshindwa kutenda haki.Hawajaweka Dada yake na Mama yake tu ila mkewe na watoto wote wameanikwa, huko Mwanza jamaa wamemkata bodaboda kichwa wakamuacha na Mwili wake walipokamatwa na Polisi wakakubari kweli wao ndio wamemuua na kumkata kichwa, sasa unaijua Mob Justice wewe? Achana na ile ya Hakimu sijui Jaji anajimwambafai Oda Oda Mob Justice haina Oda
Waoga kinomanoma Nchi inaongoza kwa kua na askari waoga waoga wanaingia na Hijabu sijui Niqabu Mahakamani wanamuogopa nani kificha sura? Halafu ningekua ni mimi Jaji au Hakimu ningetoa Oda kwamba Marufuku mtu kuingia kwenye Mahakama yangu akiwa kaficha suraMbona wao wanavunja Sheria! Kumsukuma Lissu sio kuvunja Sheria? Kuingia na mavazi ya nijab au ninja si kuvunja Sheria? Watu wamechoka kama mbwai iwe mbwai tu.
tafdhari sana, hizo details zote na uzipost kila socia media- huko instagram, facebook, X, google news na sehemu zote na tuone hiyo order ya mahakama itafanyaje kazi kwa hizo media za nje... Shukrain in advance. Watasema tu- " taken by event"... non enforceable.Inachekesha sana, serikali ya Samia ipo nyuma ya muda.
Kipindi cha nyuma, kuna askari magereza walikuwa wanamsindikiza Lissu wakiwa wamevaa kininja. Walim-treat vibaya kwa kudhani kwamba hawatajulikana, lakini nyinyi ni mashahidi.
Niliwaletea full details za askari aliyemsukuma Lissu, kuanzia:
Uzi ulikaa nusu saa, mods wakaufuta.
- Mkoa aliozaliwa
- Kijiji
- Shule aliyosoma
- Mke wake
- Mtoto wake
- Namba yake ya simu
- Shule anayosoma mtoto wake
Leo magereza wamebadilisha askari. Leo walikuwa na utu na wamem-treat vizuri Lissu.
Kwa teknolojia ya sasa, huwezi jificha popote.
Hata wakizima live streaming, watu watarekodi audio za hao mashahidi, lakini pia watu wanazo miwani yenye kamera.
Wana JF, nawaahidi nitawaletea full details za mashahidi wa siri wa serikali. As soon as wanatoka kutoa ushahidi wa kijinga, na mimi nitamwaga details zao full hapa JF.
Aione
DPP
Nassoro Katuga
Mama Abdul
Mto wa Mbu
Illinois – USA
Inachekesha sana, serikali ya Samia ipo nyuma ya muda.

Hata wewe tunakujua in details, lakini kutokukuweka hadharani ni nzuri zaidi!Inachekesha sana, serikali ya Samia ipo nyuma ya muda.
Kipindi cha nyuma, kuna askari magereza walikuwa wanamsindikiza Lissu wakiwa wamevaa kininja. Walim-treat vibaya kwa kudhani kwamba hawatajulikana, lakini nyinyi ni mashahidi.
Niliwaletea full details za askari aliyemsukuma Lissu, kuanzia:
Uzi ulikaa nusu saa, mods wakaufuta.
- Mkoa aliozaliwa
- Kijiji
- Shule aliyosoma
- Mke wake
- Mtoto wake
- Namba yake ya simu
- Shule anayosoma mtoto wake
Leo magereza wamebadilisha askari. Leo walikuwa na utu na wamem-treat vizuri Lissu.
Kwa teknolojia ya sasa, huwezi jificha popote.
Hata wakizima live streaming, watu watarekodi audio za hao mashahidi, lakini pia watu wanazo miwani yenye kamera.
Wana JF, nawaahidi nitawaletea full details za mashahidi wa siri wa serikali. As soon as wanatoka kutoa ushahidi wa kijinga, na mimi nitamwaga details zao full hapa JF.
Aione
DPP
Nassoro Katuga
Mama Abdul
Mto wa Mbu
Illinois – USA
Tangu uache kutumia ARV kwa wakati umewehukaMara paap, heche na lema ndio mashahidi wa siri
Dah sikuiona hii taarifaRaia ziliruka na yule dogo aliyemsukuma, Hadi mke wake watu walijiapiza kumkula😁
Mtoto wake anaitwa Moureen
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Mungu akuondolee dhambi zako zote ampe Lucas Mwashambwa
kama hawamo tutajie waliomo. hutakagi tapeli mboye akitajwa kwenye uovu wake kwaniniUliowataja hawamo
Mafwele na mkewe anaitwa ...... mtoto wake yule wa kike anasoma ile shule anaitwa ..... alisoma shule moja na ..........Hata mkiwajua mtawafanya nini? Mbona mafwele mmempost sana na hakuna mlichomfanya? Acha mbwembwe tunajua Jinsi nyumbu wa chadema mlivyo waoga ni mikwara tu mitandaoni
Matokeo yana muda huwezi jua nini kitatokea miaka 20 mbele kutoka sasa,Taarifa hadi za michepuko wa mafwele mnazo ila hamna kilichotokea
Ndio maana Kanisa Katoliki, limewataka waumini wake kusali, kugombea Taifa Amani na Haki. Na kazi iendelea siku hizi anafanya marejeo na kuhushuria mihadhara "hema la Kawe"Ni aibukama Taifa tunashuhudia uvunjwaji wa haki na vyombo vikishindwa kusimamia haki na mtu anateseka gerezani!!
Kuna jambo lilipaswa kufanywa kwenye ishu hii!!!
Kumbe ni msukuma kama MaBeYo ,mbona MaBeYo ni mtu poa anayefuata taratibu.Jamaa mwenyewe choka mbaya alikua anatafuta cheo. Sijaona Msukuma mjinga kama yule.
Mabeyo ni mcha Mungu sana.Kumbe ni msukuma kama MaBeYo ,mbona MaBeYo ni mtu poa anayefuata taratibu.