Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 5,276
- 17,354
Jf ina watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] maisha![emoji23] maisha! [emoji23]maisha![emoji23][emoji23][emoji23] Watu wako serious na stress za maisha yao hata hawajui kama umepost jukwaa la Chit Chat and Jokes
Aisee vijana akili sijui wamezipeleka wapiJf ina watu
[emoji23]Kenge kama Kenge.
Jamani msaidieni kijana mwenzenuUjinga una run dunia
Hapana mkuu[emoji24] nataka tiba ya harakaToken nje mwendezenu mkaanze maisha mapya
Nimeamia jikoni naona vitunguu saumu na dawa dawa za kienyeji vipi nifanyeje nichomoke?Token nje mwendezenu mkaanze maisha mapya
Yaan nisaidie tu maana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌Ngoja nikusaidie kucheka maana nimecheka mpaka machozi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa hiyo umewaandikia huu uzi kenge wenzio?Natanguliza samahani kwa wote waliooa, nipo chumbani kwa mtu ambaye kasafiri, muda huu nimetoka kuzini na mkewe. Baada ya kuzini yeye kageuka kenge, niliogopa mno kumbe mumewe alimtega.
Namimi kutahamaki nimegeuka kenge, [emoji24] yaani ikabidi niiume simu meno na kuibeba mpaka mezani ukizingatia nilikua mfupi mno kuufikia uso wameza.
Hapa nimejipinda naumia kweli kweli kwani nafosi kutype kwakutumia mkia wangu, natype taratibu nisije nikakwaruza kioo na kucha nikakosa msaada.
NB: Najielewa kuongea tu ndo siwezi. Dawa gani ya haraka haraka naweza kutumia hapa?
Hapana ni kuomba msaada[emoji24][emoji24]kwa hiyo umewaandikia huu uzi kenge wenzio?
Waende poriniAnasema anaomba ushauri tu wa haraka afanyeje
jinga tu hiloJamani mtu yupo serious nyie mnamcheka
[emoji38][emoji38][emoji38]bwana kenge