WanaJF nisaidieni nimechepuka na mke wa mtu

Mods waneshindwa kazi sasa hivi kama maji ya kwenye dimbwi hayana mwenyewe unajichotea tu utakavyo
 
We Kenge sisi tunadili na kutafuta solusheni ya Wezi na Wabadhurifu wa matrilioni na mabilioni ya fedha za umma.. We unaleta Ukenge wako sahii.. Kenge Wewe
Natanguliza samahani kwa wote waliooa, nipo chumbani kwa mtu ambaye kasafiri, muda huu nimetoka kuzini na mkewe. Baada ya kuzini yeye kageuka kenge, niliogopa mno kumbe mumewe alimtega.

Namimi kutahamaki nimegeuka kenge, [emoji24] yaani ikabidi niiume simu meno na kuibeba mpaka mezani ukizingatia nilikua mfupi mno kuufikia uso wameza.

Hapa nimejipinda naumia kweli kweli kwani nafosi kutype kwakutumia mkia wangu, natype taratibu nisije nikakwaruza kioo na kucha nikakosa msaada.

NB: Najielewa kuongea tu ndo siwezi. Dawa gani ya haraka haraka naweza kutumia hapa?
 
Unaweza kujipiga picga tukuone?
 
Back
Top Bottom