WanaJF tunaomuunga mkono Lissu sasa ni muda muafaka wa kumsaidia Lissu ashinde!

Yan tangu Jana machozi yananitoka, naamini Tundu Lissu anashinda sasa je watamtangaza?
Yan sijui matokeo yakitoka nitakuwa katika hali gani jamani Naomba mniombee
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Chadema watajuta kumsimamisha msaliti wa Nchi Lissu apeperushe bendera ya Chadema Akiwaletea Chadema hata wabunge wawili mkatambike

CHADEMA ni matapeli wa siasa👇👇👇

CCM
- Lowasa huwezi gombea urais, mwache Jakaya apeperushe bendera ya chama chetu. Lowasa atakua waziri mkuu👍

CHADEMA - Jakaya dhaifu, tunataka rais mwenye maamuzi magumu😍
- Lowasa fisadi tena fisadi papa. Ajiuzuluuuuu aondokeeee hatufaiiiii anauza nchiiii😍😍

CCM - Jakaya anamaliza muda wake, Lowasa anataka kupeperusha bendera lakini hatufai... hata kama wajumbe wamempitisha kwa maslahi mapana ya taifa na kwa vizazi vijavyo tumkate Lowasa tumpe John Pombe Magufuli😁👍

CHADEMA - Lowasa ni kiongozi shupavu sana. Inabidi tumwombe ahamie kwetu, tumpe nafasi agombee urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania. Tena atakuja na mtaji wa watu na pesa. Tutashinda🤔👎

CCM - John Pombe Magufuli ameshinda na ndie rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania😍🍹🍸💃👍

CHADEMA - John Pombe Magufuli hafai, hashauriki, ana maamuzi magumu sanaaaa😆👎

CCM - Tanzania ni tajiri sana,wananchi tuchape kazi.Tujenge mashule, mahospitali, barabara,viwanda👍

CHADEMA - Serikali haijali wananchi. Serikali inajali maendeleo ya vitu na sio watu👎

CCM - Bila kuijenga madarasa watoto wetu watasoma wapi, bila hospitali mtatibiwa na bila bararabara mtapita wapi. Hakuna maendeleo ya vitu bila watu👍

CHADEMA - Tutawasemea kwa Amstadam mnatuonea, tutamwambia hatutaki barabara, wala mahospitali, wala mashule wala viwanda. Sisi tunataka maendeleo ya watu🤣👎👎

WATANZANIA - Nyie CHADEMA msituchezee, mmetuona watoto wadogoooo. Tunasema 5tena kwa John Pombe Magufuli tarehe 28.10.2020. Hakuna wa kumshinda Magufuli😍🇹🇿😍👍👍👍👍

Heri kujiunga DECI kuliko kujiunga chadema
 
Ni bora nijaribu kura kwakwenda kutoboatoboa macho ya Lissu, kuliko kumpigia kura huyo pimbi.
 
Nagombea Ubunge CCM, hali siyo nzuri, ila najaribu kuwashawishi wafuasi wangukumpa Lisu Kura !!!!
 
Uhalisia ni kwamba wafuasi wa Chadema walio wengi ni tegemezi
Ndugu wana JF, kwa miaka kibao tumepiga makelele humu juu ya udhalimu, ufisadi, uonevu, na incompentency ya serikali za CCM hususan hii ya awamu ya tano

Na kama mnavyojua, Sisi wanachama wa JF huenda ni watu ambao tumo katika kundi la watu wenye elimu na tuna upeo mkubwa wa mambo katika nchi.

Sasa ni jukumu letu kuchukua hatua katika kipindi hiki cha lala salama kusaidia kuuangusha mbuyu ambayo mizizi yake imekuwa ikifyonza hatima njema ya wana wa nchi hii na kuwaacha wakiwa hohe hahe

Sasa mwana JF, ni muda muafaka sasa wa kuingia front, kuchukua hatua na kumsaidia Lissu kushinda

1. Ongea na Familia yako, washawishi walio kwenye himaya yako wamchague Lissu
Kaa chini, waelezee hali yako ya kiuchumi, waelezee hali ya mwenendo wa haki katika nchi, kama una wanafunzi waelezee mustakbali wao kielimu hasa makato ya bodi ya mikopo, waeleze kuhusu athari za kutopandisha mishahara itakavyoathiri hata pensheni yako. Waombe watu wa familia yako wampigie kura Lissu aje aboreshe maisha yao.

2. Wapigie simu ndugu, jamaa na marafiki huko kijijini kwenu, mijini na popote washawishi wampatie Lissu kura
Wanachama wa JF tupo wengi sana, Iwapo kila mmoja atamtafutia Lissu kura kumi tu basi CCM itakuwa na hali mbaya sana.

Hebu tuweke commitment, kila mtu aliyechoshwa na udhalimu wa serikali hii, awashawishi watu angalau kumi anaowamudu wampigie kura Lissu.

Ndugu zangu, hii ishu siyo ya Lissu peke yake, hii ngoma ni yetu sote. CCM wametupuuza kiasi cha kutosha, wametunyanyasa kiasi cha kutosha, sasa tunataka mabadiriko, Sasa ni jukumu letu kusaidia hayo mabadiriko!
 
Sio sahihi kumsupport mgombea ambaye anajiandaa kukimbia nchi mara tu baada ya Uchaguzi.

Lisu ni mtalii amekuja kutuchora tu.

Anachokifanya ni kuwachezea akili watanzania , na kuhakikisha aliyotumwa anatimiza.
Umekosa cha maana cha kuandika !Hilo limeshatolewa ufafanuzi
 
Ndugu wana JF, kwa miaka kibao tumepiga makelele humu juu ya udhalimu, ufisadi, uonevu, na incompentency ya serikali za CCM hususan hii ya awamu ya tano

Na kama mnavyojua, Sisi wanachama wa JF huenda ni watu ambao tumo katika kundi la watu wenye elimu na tuna upeo mkubwa wa mambo katika nchi.

Sasa ni jukumu letu kuchukua hatua katika kipindi hiki cha lala salama kusaidia kuuangusha mbuyu ambayo mizizi yake imekuwa ikifyonza hatima njema ya wana wa nchi hii na kuwaacha wakiwa hohe hahe

Sasa mwana JF, ni muda muafaka sasa wa kuingia front, kuchukua hatua na kumsaidia Lissu kushinda

1. Ongea na Familia yako, washawishi walio kwenye himaya yako wamchague Lissu
Kaa chini, waelezee hali yako ya kiuchumi, waelezee hali ya mwenendo wa haki katika nchi, kama una wanafunzi waelezee mustakbali wao kielimu hasa makato ya bodi ya mikopo, waeleze kuhusu athari za kutopandisha mishahara itakavyoathiri hata pensheni yako. Waombe watu wa familia yako wampigie kura Lissu aje aboreshe maisha yao.

2. Wapigie simu ndugu, jamaa na marafiki huko kijijini kwenu, mijini na popote washawishi wampatie Lissu kura
Wanachama wa JF tupo wengi sana, Iwapo kila mmoja atamtafutia Lissu kura kumi tu basi CCM itakuwa na hali mbaya sana.

Hebu tuweke commitment, kila mtu aliyechoshwa na udhalimu wa serikali hii, awashawishi watu angalau kumi anaowamudu wampigie kura Lissu.

Ndugu zangu, hii ishu siyo ya Lissu peke yake, hii ngoma ni yetu sote. CCM wametupuuza kiasi cha kutosha, wametunyanyasa kiasi cha kutosha, sasa tunataka mabadiriko, Sasa ni jukumu letu kusaidia hayo mabadiriko!
1603555518988.png

Yaani wewe wa kujiunga JF 2018 ndio uje uwashawishi waasisi wa JF? Aibu!
 
Wajue mabingwa wa uongo Tanzania 👇👇👇👇👇👇👇

CCM - Lowasa huwezi gombea urais, mwache Jakaya apeperushe bendera ya chama chetu. Lowasa atakua waziri mkuu👍

CHADEMA - Jakaya dhaifu, tunataka rais mwenye maamuzi magumu😍
- Lowasa fisadi tena fisadi papa. Ajiuzuluuuuu aondokeeee hatufaiiiii anauza nchiiii😍😍

CCM - Jakaya anamaliza muda wake, Lowasa anataka kupeperusha bendera lakini hatufai... hata kama wajumbe wamempitisha kwa maslahi mapana ya taifa na kwa vizazi vijavyo tumkate Lowasa tumpe John Pombe Magufuli😁👍

CHADEMA - Lowasa ni kiongozi shupavu sana. Inabidi tumwombe ahamie kwetu, tumpe nafasi agombee urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania. Tena atakuja na mtaji wa watu na pesa. Tutashinda🤔👎

CCM - John Pombe Magufuli ameshinda na ndie rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania😍🍹🍸💃👍

CHADEMA - John Pombe Magufuli hafai, hashauriki, ana maamuzi magumu sanaaaa😆👎

CCM - Tanzania ni tajiri sana,wananchi tuchape kazi.Tujenge mashule, mahospitali, barabara,viwanda👍

CHADEMA - Serikali haijali wananchi. Serikali inajali maendeleo ya vitu na sio watu👎

CCM - Bila kuijenga madarasa watoto wetu watasoma wapi, bila hospitali mtatibiwa na bila bararabara mtapita wapi. Hakuna maendeleo ya vitu bila watu👍

CHADEMA - Tutawasemea kwa Amstadam mnatuonea, tutamwambia hatutaki barabara, wala mahospitali, wala mashule wala viwanda. Sisi tunataka maendeleo ya watu🤣👎👎

WATANZANIA - Nyie CHADEMA msituchezee, mmetuona watoto wadogoooo. Tunasema 5tena kwa John Pombe Magufuli tarehe 28.10.2020. Hakuna wa kumshinda Magufuli😍🇹🇿😍👍👍👍👍

Heri kujiunga DECI kuliko kujiunga chadema
Mwaka huu mtahangaika sana!Mlisema CHADEMA imekufa leo mnapatapa!
 
Ndugu wana JF, kwa miaka kibao tumepiga makelele humu juu ya udhalimu, ufisadi, uonevu, na incompentency ya serikali za CCM hususan hii ya awamu ya tano

Na kama mnavyojua, Sisi wanachama wa JF huenda ni watu ambao tumo katika kundi la watu wenye elimu na tuna upeo mkubwa wa mambo katika nchi.

Sasa ni jukumu letu kuchukua hatua katika kipindi hiki cha lala salama kusaidia kuuangusha mbuyu ambayo mizizi yake imekuwa ikifyonza hatima njema ya wana wa nchi hii na kuwaacha wakiwa hohe hahe

Sasa mwana JF, ni muda muafaka sasa wa kuingia front, kuchukua hatua na kumsaidia Lissu kushinda

1. Ongea na Familia yako, washawishi walio kwenye himaya yako wamchague Lissu
Kaa chini, waelezee hali yako ya kiuchumi, waelezee hali ya mwenendo wa haki katika nchi, kama una wanafunzi waelezee mustakbali wao kielimu hasa makato ya bodi ya mikopo, waeleze kuhusu athari za kutopandisha mishahara itakavyoathiri hata pensheni yako. Waombe watu wa familia yako wampigie kura Lissu aje aboreshe maisha yao.

2. Wapigie simu ndugu, jamaa na marafiki huko kijijini kwenu, mijini na popote washawishi wampatie Lissu kura
Wanachama wa JF tupo wengi sana, Iwapo kila mmoja atamtafutia Lissu kura kumi tu basi CCM itakuwa na hali mbaya sana.

Hebu tuweke commitment, kila mtu aliyechoshwa na udhalimu wa serikali hii, awashawishi watu angalau kumi anaowamudu wampigie kura Lissu.

Ndugu zangu, hii ishu siyo ya Lissu peke yake, hii ngoma ni yetu sote. CCM wametupuuza kiasi cha kutosha, wametunyanyasa kiasi cha kutosha, sasa tunataka mabadiriko, Sasa ni jukumu letu kusaidia hayo mabadiriko!
Tunashinda kwa kishindo ni lisu lisu
 
CHADEMA ilishajifia maziko yake yatafanyika 28
Malaya wa kisiasa,Mama Daudi Bashite !
1.Mbona Magoti kwenye kampeni
2.Mbona wasanii
3.Mbona Malori ya watu
4.Mbona tisheti zinatupwa baada ya kampeni
5.Mbona mbinu za wizi wa kura
6.Mbona Polisi
7.Mbona NEC?
8.Mbona TISS
9.Mbona unyonge mwingi
10.Mabango mengi
 
Twendeni tukang'oe chama dhalimu.

Twendeni tukamuondoe mtu muovu.

kutoka kiti cha enzi cha nyumba yetu
Twendeni tukaierke huru nchi yetu ili haki na maendeleo ya watu vitamalaki.
 
Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
 
Mimi familia yangu nimeiweka sawa rasmi. Nimefanya kazi kubwa kuwaweka sawa, wamenielewa!

Sasa wadau mtafutieni Lissu kura!
 
Narudia kusema tena, yoyote anayedhani kwamba Tundu Lissu atashinda Uraisi mwaka huu anajifariji na kuumiza hisia zake bure. Hilo haliwezi kutokea.
 
Kwa nilicho kishuhudia leo kwenye seminar ya wasimamizi wa vituo vya uchaguzi ni dhahiri CCM wanashirikiana na TISS kuiba kura
DSO/RSO wanasema
1.Marufuku mawakala kuingia na simu
2.Marufuku wasimamizi wasaidizi kuingia na simu
3.Marufuku kalani mwongozaji kuingia na simu
4.Marufuku wakala kuingia na kalam yake
5.Marufuku wakala kuondoka na karatasi ya matokeo

Wapinzani tumeshapigwa tayari!Yaani nimekuta kwanini niliumia kwenye hiyo seminar Ilikuwa kidogo tu nirushe ngumi
 
Back
Top Bottom