Mkuu utakuwa umedukua mawazo yangu!! lakini sio mbaya ukidukua kwa nia nzuri na matumizi mema!! Mimi Niko mbeya kata ya kolobe! Sasahivi nimetoka dukani kuwaelimisha watu!! nilikuta wateja wawili na bwana duka, waongea kuwa" Safari hii wapinzani hawatapata hata wabunge kumi" nilikuwa pembeni nikisubiri wahudumiwe ili na Mimi nihudumiwe!
Nilipoona wanazunguza hivyo, nilijitosa ktk mazungumuzo! nakuanza kuwaelimisha!! Nashukuru Mungu aliongezeka nakijana mmoja!! wote wamenielewa! na wameahidi kura kwa kamanda Lisu!!!