mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Mungu anaiona dhamira yetu, nayo atasimama na kufanya mapenzi yake kwetuAhsante akuzidishie umri na mafanikio mama angu.. Hope tutavuka kipindi hiki salama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu anaiona dhamira yetu, nayo atasimama na kufanya mapenzi yake kwetuAhsante akuzidishie umri na mafanikio mama angu.. Hope tutavuka kipindi hiki salama
Kuwa makini utakuwa una umya magonjwa ya macho.... [emoji3] [emoji3]Yan tangu Jana machozi yananitoka, naamini Tundu Lissu anashinda sasa je watamtangaza?
Yan sijui matokeo yakitoka nitakuwa katika hali gani jamani Naomba mniombee
Hebu tuelezee usaliti wake mimi na wengine tupate kuujua manake kila siku unasema msaliti bila ya kuelezea.Usinifanishe mimi na msaliti wa Nchi Lissu
Usaliti ni laana
Pia Tanzania hatutaki ushoga,
Mtaje MunguYan tangu Jana machozi yananitoka, naamini Tundu Lissu anashinda sasa je watamtangaza?
Yan sijui matokeo yakitoka nitakuwa katika hali gani jamani Naomba mniombee
Amani ya Tanzania ndio inawafanya wapate kichwa cha kutaka kuingia mtaani... Kupiga miseleIngieni kazini ila msiingie barabarani, uzuri hua ni keyboard warrior
Ulaya kumejaa mashoga shida tupu kule
Sisi tupo kwenye Nchi iliyobarikiwa na Mungu, Tanzania chini ya uongzi safi wa Mzalendo Magufuli
Wale wanaokimbilia ulaya ujue wameshindwa kufanya mambo machafu huku Tanzania
Wapiga kura, hawapo humu JamiiForums, wapo mtaani.... Sasa waache waendelee kupotezeana muda tu humuMimi kila ninapopita napita na John Pombe Magufuli.
Nimeongea na watu6 leo 5 wanaume mmoja mwanamama mwenzangu.
Wale wanaume kulikua na kijana wa kama miaka25 akaniambia dada hakuna mtu mwenye akili timamu atamnyima kura Magufuli
Mwanaume mwingine wa kama miaka 45 akaniambia mdogo wangu wote hao wanaopiga kelele ni wanasiasa wachumia tumbo. Wafanye siasa tuu ila kura ni kwa Magufuli
Baada ya hapo tukaulizana kuhusu vikatio wakasema viko powaaa nikajiondokea
Wanaomuunga jpm mkono wengi wako mtaani na wameshafanya maamuzi
Kwani kwenda kwa check up ndo kwao??? Hizo propaganda mpeane nyie misukule huko huko lumumba Ila sio kwa watu werevu humu. Mwenyekiti wenu Ccm asingeamuru apigwe risasi angekuwa na ticket ya kufanyiwa check up???Huoni ameshakata tiketi ya kurudi kwao ubeligiji baada ya kuona Watanzania hawamtaki kwa usaliti wake?
Jibu swali amesaliti nini??? Unazidi tu kujidhalilisha kwa kusema jambo uliloshindwa kulitolea ushahidiUsaliti wa lissu umevuka mstari mwekundu, hastahili tena kuitwa Mtanzania
Pia Tanzania hatutaki ushoga,
Huyu mleta mada, ni mpuuzi kabisa yani [emoji28] [emoji28]
Jibu swali amesaliti nini??? Unazidi tu kujidhalilisha kwa kusema jambo uliloshindwa kulitolea ushahidi
Amstadam na team yake pamoja na vibaraka wao hawatujui watanzania na asili yao. Wanafikiri hao vibaraka wao ndio watu smart kumbe hao ni hamnazo, kuna watu smart tele mitaani. Wanawachukulia poa, wanawaona watu wa YES SIR kama hao vibaraka wao na hilo ndio limewafelishaWapiga kura, hawapo humu JamiiForums, wapo mtaani.... Sasa waache waendelee kupotezeana muda tu humu
Kwani kwenda kwa check up ndo kwao??? Hizo propaganda mpeane nyie misukule huko huko lumumba Ila sio kwa watu werevu humu. Mwenyekiti wenu Ccm asingeamuru apigwe risasi angekuwa na ticket ya kufanyiwa check up???
Wewe nawee.
Tunachokataa ni udhaifu wa chadema mnaodhani mzungu ni Mungu
Kama ni ushirikiano nao wa kijamii na kiuchumi sawa ila sio mambo ya kuweka nchi rehani
Eti bila aibu kwenye ilani mmeweka kabisa mtaweka dhamana madini ya nchi hii ili wazungu wawape pesa eeeheeee
45% itoke wapi😂😂😂😂Mjitahidi angalalu Lissu apate ushindi wa 45% dhidi ya JPM ambae keshapata ushindi wa asilimia 95%.
Endelea tu kupost mambo ya kujirudia huku ukizidi kujionesha ni kwa jinsi gani ulivyo kilaza.Msaliti wa Nchi amekata tiketi ya kurudi kwao ubeligiji baada ya kuona Watanzania wamemkataa
Nashukuru Mungu, msaliti wa Nchi ameaibishwa na kupuuzwa na Watanzania