WanaJF tunaomuunga mkono Lissu sasa ni muda muafaka wa kumsaidia Lissu ashinde!

WanaJF tunaomuunga mkono Lissu sasa ni muda muafaka wa kumsaidia Lissu ashinde!

Lissu akijitahidi ni kura laki tano, hakuna Mtanzania wakumipigia kura msaliti wa Nchi
Mjitahidi angalalu Lissu apate ushindi wa 45% dhidi ya JPM ambae keshapata ushindi wa asilimia 95%.
 
Usaliti wa lissu umevuka mstari mwekundu, hastahili tena kuitwa Mtanzania

Pia Tanzania hatutaki ushoga,
Bia yetu umesoma nilicho andika? Nimesema tuelezee usaliti wake A to Z.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Sisi tumeingia magotini tunaomba sasa! Kama kweli ni mpango wa Mungu tuendelee kutawaliwa na kubaguliwa sawa na iwe kama Muumba anavyotaka! Kama ameamua kutukomboa kutoka utumwani hakuna figisu itakayotuweza. SALA= Saidia Lissu Ashinde.
 
Mlaumuni mtu wenu kwa usaliti wa Nchi

Chadema mtajuta kusimamisha msaliti wa Nchi Lissu apeperushe bendera ya Chadema Akiwaletea Chadema hata wabunge wawili mkatambike
Endelea tu kupost mambo ya kujirudia huku ukizidi kujionesha ni kwa jinsi gani ulivyo kilaza.
 
Wewe tambua huyo mtu wenu ni msaliti wa Nchi tena amevuka mstari mwekundu

Atateteseka sana,
Kama wewe tu unaeleza mambo ambayo ukiulizwa utoe ushahidi wake unashindwa ni nani atakaekuamini na huo upupu wako???

Polee sana certified kilaza
 
Mlaumuni mtu wenu kwa usaliti wa Nchi

Chadema mtajuta kusimamisha msaliti wa Nchi Lissu apeperushe bendera ya Chadema Akiwaletea Chadema hata wabunge wawili mkatambike
Polee sana certified kilaza usiyeweza kuthibitisha usaliti wa Lissu
 
Mlaumuni mtu wenu kwa usaliti wa Nchi

Chadema mtajuta kusimamisha msaliti wa Nchi Lissu apeperushe bendera ya Chadema Akiwaletea Chadema hata wabunge wawili mkatambike
Polee sana Certified kilaza usiyeweza kuthibitisha usaliti wa Lissu
 
Usaliti wa lissu umevuka mstari mwekundu hastahili tena kuitwa Mtanzania

Pia Tanzania hatutaki ushoga,
Kama wewe tu unaeleza mambo ambayo ukiulizwa utoe ushahidi wake unashindwa ni nani atakaekuamini na huo upupu wako???

Polee sana certified kilaza
 
Chadema mtajuta kusimamisha msaliti wa Nchi Lissu apeperushe bendera ya Chadema Akiwaletea Chadema hata wabunge wawili mkatambike
Polee sana Certified kilaza usiyeweza kuthibitisha usaliti wa Lissu
 
Me Niko nafanya campaign huku; chagua Uhuru, haki na maendeleo ya watu. Wazee hawaelewi kabisa. Labda wale ambao watoto wao wamemaliza chuo na hawajaajiriwa tangu 2016. Hawa wana hasira sana!
 
Chadema mtajuta kusimamisha msaliti wa Nchi Lissu apeperushe bendera ya Chadema Akiwaletea Chadema hata wabunge wawili mkatambike
Polee sana Certified kilaza usiyeweza kuthibitisha usaliti wa Lissu
 
Usaliti wa lissu umevuka mstari mwekundu hastahili tena kuitwa Mtanzania

Pia Tanzania hatutaki ushoga,
Uchafu anao Gwajima wewe weka data hapa tuone kama jf hairuhusu tuma PM.

Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Sasa si sawa tu na madini yalivyo kwa Sasa ila lugha tu ndio tofauti

Nambie mgodi ambao kuna kampuni ya kitanzania inachimba

Wewe unaishi Tanzania kweli?

Una umri gani?

Huwa unapata wapi taarifa za mambo unayochangia hapa jf?

Mtaani, vijiweni au kwenye vyombo husika?

magu2016 jpm NAWATAFUNA Next Man Da'Vinci Bia yetu kuna shida ya elimu na taarifa huku. Saidieni

Sikiliza japo hii clip utafunguka kidogo
 
Back
Top Bottom