WanaJF tunaomuunga mkono Lissu sasa ni muda muafaka wa kumsaidia Lissu ashinde!

WanaJF tunaomuunga mkono Lissu sasa ni muda muafaka wa kumsaidia Lissu ashinde!

dunia nzima hakuna nchi utapata uhuru usio mipaka wala haki isio mipaka, hata huyu tundu lisu anaewadanganyeni hawezi kuwapeni, kua hohe hahe ni maamuzi yako mwenyewe wala serikali haihusiki
 
Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania

Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
Mtanzania labda wewe na mama D lakini wenye kujitambua na kuipenda Tanzania yetu kura zetu kwa Lissu.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
tusikae tu humu tujidanganya,twendeni tukapige kura na tuhamasishe watu wa karibu kupiga kura
Wakumbushe hao ndugu hapo wengi wapo huko abroad kelele sasa
IMG_20201024_153656_072.JPG
 
Ndugu wana JF, kwa miaka kibao tumepiga makelele humu juu ya udhalimu, ufisadi, uonevu, na incompentency ya serikali za CCM hususan hii ya awamu ya tano

Na kama mnavyojua, Sisi wanachama wa JF huenda ni watu ambao tumo katika kundi la watu wenye elimu na tuna upeo mkubwa wa mambo katika nchi.

Sasa ni jukumu letu kuchukua hatua katika kipindi hiki cha lala salama kusaidia kuuangusha mbuyu ambayo mizizi yake imekuwa ikifyonza hatima njema ya wana wa nchi hii na kuwaacha wakiwa hohe hahe

Sasa mwana JF, ni muda muafaka sasa wa kuingia front, kuchukua hatua na kumsaidia Lissu kushinda

1. Ongea na Familia yako, washawishi walio kwenye himaya yako wamchague Lissu

Kaa chini, waelezee hali yako ya kiuchumi, waelezee hali ya mwenendo wa haki katika nchi, kama una wanafunzi waelezee mustakbali wao kielimu hasa makato ya bodi ya mikopo, waeleze kuhusu athari za kutopandisha mishahara itakavyoathiri hata pensheni yako. Waombe watu wa familia yako wampigie kura Lissu aje aboreshe maisha yao

2. Wapigie simu ndugu, jamaa na marafiki huko kijijini kwenu, mijini na popote washawishi wampatie Lissu kura

Wanachama wa JF tupo wengi sana, Iwapo kila mmoja atamtafutia Lissu kura kumi tu basi CCM itakuwa na hali mbaya sana.
Hebu tuweke commitment, kila mtu aliyechoshwa na udhalimu wa serikali hii, awashawishi watu angalau kumi anaowamudu wampigie kura Lissu

Ndugu zangu, hii ishu siyo ya Lissu peke yake, hii ngoma ni yetu sote. CCM wametupuuza kiasi cha kutosha, wametunyanyasa kiasi cha kutosha, sasa tunataka mabadiriko, Sasa ni jukumu letu kusaidia hayo mabadiriko!
Hatashinda hata kwa robo ya kura
 
Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzani

Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
Mtanzania labda wewe na mama D lakini wenye kujitambua na kuipenda Tanzania yetu kura zetu kwa Lissu.


Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Bora ufe wewe na nani? Na familia yako au na familia za wengine. Unajisemea tu hapa wakati hata kutoka barabarani hutatoka.. Nilijua magufuli kaskazini hapendwi kabisa ila nilichoona jana kwa macho yangu huku mitandaoni mnadanganyana
Huna akili wewe. Sasa kwa taarifa yako tupo tayari!
 
Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzani

Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
Akili yako imekufa kama avatar yako.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Back
Top Bottom